Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Ukristo haujawahi kuamini kwamba ni lazima kila mtu amuamini Mungu wao. Wapi Ukristo uliwahi tumia nguvu kueneza injili?

Wahindu ni dini kongwe kuliko Uislamu. Mtume kazaliwa kakuta Wahindu wapo na mambo yao kina Krishna sijui ng'ombe na Budha. Mara Waislamu wakaenea mpaka maeneo ya Wahindu na kutaka kubadili tamaduni. Uislamu haujui kuadapt tamaduni za eneo husika ndio maana hadi Botswana wanakula tende na kuvaa kanzu, wa Bolivia watafanya hivyo, wa Honduras watafanya hivyo, wa Burma hivyo. Wakati tende ni asili ya Waarabu hata kabla ya Uislamu kuwepo zililiwa, usingekuwepo muujiza wa kuwalisha vanilla zao lililokuwa Mexico tu hapa duniani. Kanzu kabla ya Uislamu kuwepo zilivaliwa, wasingevaa mashuka ya kimasai kwani wangeyatoa wapi? Hata kuhiji ni ukouko Uarabuni, wasingehiji Venezuela hawakuwa hata wanaijua.

Dini inampasa mtu kutumia lugha moja ambayo haijazinduliwa na dini hiyo ila ni utamaduni wa Waarabu. Mwishowe jamii zenye tamaduni imara na za kale zaidi zinapata ugumu kuukubali Uislamu. China, Japan, India wote wana historia ya maelfu ya miaka na imani zao. Leo uwaambie kufuga ndevu, kufunga mwezi mtukufu, kuoa wake wanne na mambo ya sunna wanakushangaa. Fujo inakuja pale unapowalazimisha.

Dini kuu zote ni dini za watu waliokuwa na expansionism na wauaji. Kama Wahindu wangekuwa na expansionism watu wengi duniani wangekuwa Wahindu
Umejitahidi kutoa hoja ingawa zote zina mapungufu nilichopenda hukutumia lugha mbovu

1. Hoja yako ya kwanza ni ile hoja kongwe ya kibubusa(old dogma)
Kwamba Ukristo haukuenea kwa Upanga. Hii ni hoja dhaifu sana ktk ulimwengu wa sasa huitaji kuwa Mwanahistoria kulijua hilo unahitaji udadisi zaidi
  • Soma chanzo cha Crusades kuanzia mwishoni mwa karne 8 mpaka karne ya 12
  • Tafuta Documentaries na Makala kuhusu Crusades
  • Google
Utajionea vitu vya kutisha

2. Hoja yako ya pili kubwa ni kuwa Buddiism, Hinduism na Confuciusim ni dini za zamani kuushinda uislam kitu ambacho sio cha kweli
Na hii ilikuwa mbinu ya muda mrefu ya European Orientalists ku limit uislam tokea wakati wa Mtume Muhammad SAW tu. wakaupa jina la Mohammedanism kitu ambacho si sahihi, labda kama unazungumzia kitu kingine, lakini unapozungumzia Uislam ulianza kwa Nabii Adam AS mpaka kufikia kwa Muhammad SAW. Na hii hata ukienda Tandale kwa Ustaadh yoyote atakwambia hivyo
Mind you vitendo vya ubaguzi ambavyo vimekuwa vikitendwa na Wahindu na Mabudha vimekuwa vikichochewa zaidi na SIASA wanasiasa wanajua na wanaogopa kwamba hizo dini zikisambaratishwa na Uislam watakosa ngao ya kujificha

Kitu kingine nimekiona umetaja Tende, Kiarabu, Ndevu na Vazi la Kanzu.
Mtu yeyote mwenye elimu butu ya Sayansi Jamii anajua kwamba kila imani/itikadi HUSAFIRI na utamaduni wake hakuna imani inayosambaai bila kufuatana na Utamaduni wake, kwa mfano ktk Ukristo utaona;
- Mahitaji ya Christmas Trees & Flowers during Christmas
-Uvaaji wa Suti hata kwenye joto
-Matumizi ya Lugha ya Kiingereza na Kilatini

3. Umezungumzia kuwa hizo dini za Hinduism, Buddhism na Confusions kuwa zenyewe hazina expansion agenda
Umeshindwa kuelewa kuwa contents za dini hizi ziko Limited kwa watu fulani wa eneo fulani TU.zimekosa sifa ya UNIVERSALITY Kwa wa mfano Hinduism hiyo utambulisho wake tu umebeba identity ya kabila fulani tu ambao wako karibu na maeneo yanapakana na Hindus River
Wewe Mzulu Mluguru au hata Mhindi ambaye sio wa kabila la Hindu hiyo dini inakuhusu nini
Na ndio maana zimedumaa pale pale zikiwa na mtaji mkubwa wa UBAGUZI NA UADUI

Kwa kumalizia tu haya hebu Google
-Zakir Naik
-Salum Boss/ WEREVU MNO AU WAJINGA MNO
- Bad Muslim, Good Muslim,,,,,,,,,,, Prof Mahmoud Mamdani
 
Kabla ya ujio wa Mzungu hawakuwa na chuki wala udini, waliishi pamoja. Sera ya DIVIDE AND RULE ndiyo imeleta yote haya. Hii hata huku Afrika imeacha ukabila mwingi maana watu walitambuana kwa kabila, tofauti na huko walipojali dini.

Pia kule India ni watu ambao wanarithishana chuki kutoka kizazi hadi kizazi, suala hili ni gumu sana jambo kama hili kuisha. Kila mtoto akizaliwa alikuwa akipewa sumu dhidi ya adui wanayemchukia. Jambo hili limefanya hadi baadhi ya koo kule kwao kuishi hivyo hadi leo, hivyo usitegemee hilo suala la uhasama likaisha wakati linasambazwa kizazi kimoja hadi kingine

Pre-colonial period India haikuwa na uhasama wa kidini kati ya waislamu na wahindu, na hata watafiti wengi wamethibisha hilo
Acha unafiki mnafanya madhambi kwa jina la Allah halafu mnawasingizia wazungu.Divide and rule ipo pengine hata kwenye jamii yako.Wazungu wapo neutral sana acha kuwasingizia,unapoambiwa usalimie kwa kiarabu badala ya lugha yako huoni kama hiyo ni division?utai-practise vipi lugha yako ya asili kama salamu unaianza kwa lugha isiyo yako?matokeo yake ni sehemu mlipo wengi utamaduni wenu hupotea,huu ni upumbavu uliopitiliza.Warangi,wanyaturu pamoja na uislamu wao bado wana lugha yao ya asili nadhani kwa sababu wanajitambua na kiasili si wabantu!
 
Sharia inasemaje endapo mtu/muislam akiamua kuukacha uislam?
 
Umejitahidi kutoa hoja ingawa zote zina mapungufu nilichopenda hukutumia lugha mbovu

1. Hoja yako ya kwanza ni ile hoja kongwe ya kibubusa(old dogma)
Kwamba Ukristo haukuenea kwa Upanga. Hii ni hoja dhaifu sana ktk ulimwengu wa sasa huitaji kuwa Mwanahistoria kulijua hilo unahitaji udadisi zaidi
  • Soma chanzo cha Crusades kuanzia mwishoni mwa karne 8 mpaka karne ya 12
  • Tafuta Documentaries na Makala kuhusu Crusades
  • Google
Utajionea vitu vya kutisha

2. Hoja yako ya pili kubwa ni kuwa Buddiism, Hinduism na Confuciusim ni dini za zamani kuushinda uislam kitu ambacho sio cha kweli
Na hii ilikuwa mbinu ya muda mrefu ya European Orientalists ku limit uislam tokea wakati wa Mtume Muhammad SAW tu. wakaupa jina la Mohammedanism kitu ambacho si sahihi, labda kama unazungumzia kitu kingine, lakini unapozungumzia Uislam ulianza kwa Nabii Adam AS mpaka kufikia kwa Muhammad SAW. Na hii hata ukienda Tandale kwa Ustaadh yoyote atakwambia hivyo
Mind you vitendo vya ubaguzi ambavyo vimekuwa vikitendwa na Wahindu na Mabudha vimekuwa vikichochewa zaidi na SIASA wanasiasa wanajua na wanaogopa kwamba hizo dini zikisambaratishwa na Uislam watakosa ngao ya kujificha

Kitu kingine nimekiona umetaja Tende, Kiarabu, Ndevu na Vazi la Kanzu.
Mtu yeyote mwenye elimu butu ya Sayansi Jamii anajua kwamba kila imani/itikadi HUSAFIRI na utamaduni wake hakuna imani inayosambaai bila kufuatana na Utamaduni wake, kwa mfano ktk Ukristo utaona;
- Mahitaji ya Christmas Trees & Flowers during Christmas
-Uvaaji wa Suti hata kwenye joto
-Matumizi ya Lugha ya Kiingereza na Kilatini

3. Umezungumzia kuwa hizo dini za Hinduism, Buddhism na Confusions kuwa zenyewe hazina expansion agenda
Umeshindwa kuelewa kuwa contents za dini hizi ziko Limited kwa watu fulani wa eneo fulani TU.zimekosa sifa ya UNIVERSALITY Kwa wa mfano Hinduism hiyo utambulisho wake tu umebeba identity ya kabila fulani tu ambao wako karibu na maeneo yanapakana na Hindus River
Wewe Mzulu Mluguru au hata Mhindi ambaye sio wa kabila la Hindu hiyo dini inakuhusu nini
Na ndio maana zimedumaa pale pale zikiwa na mtaji mkubwa wa UBAGUZI NA UADUI

Kwa kumalizia tu haya hebu Google
-Zakir Naik
-Salum Boss/ WEREVU MNO AU WAJINGA MNO
Kama uislam ulianza toka enzi za Adam kutokana na jinsi mlivyo fundishwa madrasa, je nguzo tano za uislam alizitekeleza vpi?
Hijja? Kumuamini Muhammad? Etc,ili uwe muislam kamili lazima uamini kwamba Muhammad ni mtume wa Allah.
 
Wavaa kobazi ni wapuuz Sana ,ndio Maana mchina kwake anawawapasua mbupu hizo na kuwang'oa figo na maini ,useless animals
 
Ajabu kweli binadamu Kwa asili ana hekima bila kujali ana dini ama hana,sasa hawa waislam kuonesha ubaguzi kwa jamii zisizo-share nao tamaduni hapo ndipo shaka huanza maana si ubinadamu huo.Ukienda mfano kyela wanaishi bila bugudha tena wakishirikishwa kila jambo lakini nenda sehemu walizo wengi ni kukera tu,MUNGU gani wa hivyo?
Yule mungu wao Allah ana matatizo mengi Sana amechanganyikiwa.
 
Hujawafanyia uadilifu Masalafi hapa ewe ndugu yangu Hammaz. Ni hayo tu.

Kisai Kazakh destroyer Abuu Dharr AbuuMaryam
Salafi wamegawanyika makundi anuwai.

Niliposema kundi la moto zaidi namaanisha aina ya kundi nje ya kile walicho masheikh ( Sheikh Ibn Taymiya, Sheikh Ibn Qayyim, Sheikh Muhammad bin Abdul Wahab, Sheikh Ibn Baaz, Sheikh Alban, Sheikh Ibn Uthaymeen, Sheikh Fawzan) ni batili.

Nimekutana nao hawa! Kipo kitabu kilochoandikwa na Sheikh Muhammad Al Yaqoubi (kwa lugha ya Kiingereza Refutation of ISIS) aina hii imezungumziwa.

Aina hii haikubaliani na chochote kilicho nje ya masheikh niliowaainisha. Mtazamo wao nje ya hao masheikh hakuna dini na ndani ya hao Masheikh hakuna dini. Kwa mantiki hiyo watakuita Khulafi, mtu wa bidaa na wanafika mbali huambia wenzao wanafanya shirk! Hufika mbali huwatenga na kuwatoa kwenye Uislam kabisa na wana jazba kubwa!

Binafsi mimi ni shahidi wa mwenyewe nimekutana nao mimi. Ndio aina ya Salafi niliokutana ninaowazungumzia.
 
Acha uongo ukabila upo toka enzi kabla hata ya ukoloni,tofauti ya mila baina ya makabila ndio chanzo cha migongano baina ya jamii moja na nyingine na ndio maana hata uislamu umekuwa na utamaduni mmoja wa kiarabu ili kuueneza kirahisi.
Kasome vizuri historia ya bara lako siyo ulete aliyokufundisha mzungu anayoficha uhuni wake, kabla ya huyo hajaja kulikuwa na intermarriage kati ya kabila moja hadi jingine. Makabila yaliingiliana kwenye shughuli mbalimbali.
 
Acha unafiki mnafanya madhambi kwa jina la Allah halafu mnawasingizia wazungu.Divide and rule ipo pengine hata kwenye jamii yako.Wazungu wapo neutral sana acha kuwasingizia,unapoambiwa usalimie kwa kiarabu badala ya lugha yako huoni kama hiyo ni division?utai-practise vipi lugha yako ya asili kama salamu unaianza kwa lugha isiyo yako?matokeo yake ni sehemu mlipo wengi utamaduni wenu hupotea,huu ni upumbavu uliopitiliza.Warangi,wanyaturu pamoja na uislamu wao bado wana lugha yao ya asili nadhani kwa sababu wanajitambua na kiasili si wabantu!
Hebu soma ulichoandika kwanza halafu jioige kifua kwa kuwa hujielewi. Ninazungumzia kitu ambacho hadi watafiti wa mgogoro ule walirithibitisha kwa kuangalia Pre colonial na Post colonial hali ilivyokuwa, wewe uliyeshiba kande huna uthibitisho unaleta mengine
 
Basi uislamu una shaka si kama mnavyounadi yanayotokea yote ni Kwa mwongozo wa hiyo hiyo quran,wewe ukikataa kisa mtazamo wako basi na hao mnaowaita wahuni wanawaona mmepotea,nimewahi kusikia mawaidha ya msikiti mmoja wakimsifia Osama unadhani wale si waislamu safi kuliko wewe?
Sisi waislamu tumeamrishwa tuifuate Mafundisho yaliyo kwenye Qurani na sunah na wala siyo mtu kwasababu ni mwislamu ..Quran na sunah ndio muongozo wetu uyo osama walimtengeneza wenyewe awafanyie kazi yao walipofanikisha ndio wakamuona kuwa ni threat na kutaka ku neutralize trust me yale majengo yaliyolipuliwa pale USA mwaka 2001 si osama aliyefanya vile bali ni njama zao wenyewe ili wapate kibali cha kuingia middle east kiraisi kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uislam ulianza toka enzi za Adam kutokana na jinsi mlivyo fundishwa madrasa, je nguzo tano za uislam alizitekeleza vpi?
Hijja? Kumuamini Muhammad? Etc,ili uwe muislam kamili lazima uamini kwamba Muhammad ni mtume wa Allah.
Uislam ni kujinyenyekeza kwa Muumba na kufuata mafundisho yake kupitia kwa Mtume aliyetumwa ktk umma wenu

- Sisi ktk umma wetu ili uwe Muislam lazima uamini,ufuate na umnyenyekee Muumba + Muhammad Prophethood

-Wakat wa Musa AS ili uwe Muislam lazima uamini,ufuate na umnyenyekee Muumba + Moses Prophethood

-Wakat wa Solomon AS ili uwe Muislam lazima uamini,ufuate na umnyenyekee Muumba + Solomon Prophethood

Na ndio maana tunasema Uislam wa Muislam haukamiliki mpaka amuamini Jesus AS, kama Mtume wa Mungu

Uislam na Nguzo Tano

Ukiambiwa Nyumba ina nguzo 5, unavyofahamu wewe
Nguzo 5 = Nyumba ????

Au umebahatika kupata plot sehemu unasimamisha Nguzo 5 unawaita jamaa kuwaonyesha Mjengo wako, utakuwa timamu kweli ?

-Nguzo 5 Tupu Sio Uislam
-Uislamu Sio Nguzo 5 tu

Ukitaka kujua chochote ni LAZIMA ujifunze au uulize wanaojua
 
Ajabu kweli binadamu Kwa asili ana hekima bila kujali ana dini ama hana,sasa hawa waislam kuonesha ubaguzi kwa jamii zisizo-share nao tamaduni hapo ndipo shaka huanza maana si ubinadamu huo.Ukienda mfano kyela wanaishi bila bugudha tena wakishirikishwa kila jambo lakini nenda sehemu walizo wengi ni kukera tu,MUNGU gani wa hivyo?
Narudia tena uislamu hauna dosari wala kasoro mafundisho yote yapo kwenye kitabu na sunah muislamu ni kama wewe ni binadamu kama wewe kwani hakuna wakristo wachawi au majambazi? uislamu umekamilika uyo anayewafanyia watu vitimbi bado ajaujuwa uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Movement sio ya serkali ni ya wananchi waislam wanaoona dubai ni sehem ya waislam pekee ndg
Wewe hata imani yako inakataza kusema usidhalilishe watu thabiti wanaofuata imani uliyopo kwa wote kuonekana wana tabia kama zako. Bora ujitangaze si mmoja wao kuliko kujiweka huko na kufanya yaliyoikataza.

Hapa unadanganya wazi tena kwa lengo la kupotosha watu waangukie dhambini kama ulivyoanguka wewe kwa uongo, Dubai hakuna movements hizo na hayo makanisa yapo mengi kuliko idadi hiyo uliyoitaja. Mji mzima yanafika ishirini. Bado kuna Ministries nyingi sana, kule hulazimishwi imani.

Dubai kuna mahekaly ya Wahindu, Budhdha na wengineo wanaabudu kwa amani hakuna anayewaingilia imani yao.
 
Ukristo haujawahi kuamini kwamba ni lazima kila mtu amuamini Mungu wao. Wapi Ukristo uliwahi tumia nguvu kueneza injili?

Wahindu ni dini kongwe kuliko Uislamu. Mtume kazaliwa kakuta Wahindu wapo na mambo yao kina Krishna sijui ng'ombe na Budha. Mara Waislamu wakaenea mpaka maeneo ya Wahindu na kutaka kubadili tamaduni. Uislamu haujui kuadapt tamaduni za eneo husika ndio maana hadi Botswana wanakula tende na kuvaa kanzu, wa Bolivia watafanya hivyo, wa Honduras watafanya hivyo, wa Burma hivyo. Wakati tende ni asili ya Waarabu hata kabla ya Uislamu kuwepo zililiwa, usingekuwepo muujiza wa kuwalisha vanilla zao lililokuwa Mexico tu hapa duniani. Kanzu kabla ya Uislamu kuwepo zilivaliwa, wasingevaa mashuka ya kimasai kwani wangeyatoa wapi? Hata kuhiji ni ukouko Uarabuni, wasingehiji Venezuela hawakuwa hata wanaijua.

Dini inampasa mtu kutumia lugha moja ambayo haijazinduliwa na dini hiyo ila ni utamaduni wa Waarabu. Mwishowe jamii zenye tamaduni imara na za kale zaidi zinapata ugumu kuukubali Uislamu. China, Japan, India wote wana historia ya maelfu ya miaka na imani zao. Leo uwaambie kufuga ndevu, kufunga mwezi mtukufu, kuoa wake wanne na mambo ya sunna wanakushangaa. Fujo inakuja pale unapowalazimisha.

Dini kuu zote ni dini za watu waliokuwa na expansionism na wauaji. Kama Wahindu wangekuwa na expansionism watu wengi duniani wangekuwa Wahindu
Dini ya kiislamu ni dini pekee ambayo imeletwa na Mungu since memorial, tokea mtu wa kwanza kuja ulimwenguni baba yetu Nabii Adam A.S., Isipokuwa Mungu aliileta kutokana na relevation tofauti tokea miaka hiyo ambapo sisi waislamu tunatambua zama nne muhimu ambazo ni zama za Taurat, Injil, Zaburi, na ya mwisho kabisa ndio hii Qur-an ambayo ameteremshiwa Nabii Muhammda S.A.W, ambapo yeye ndio Mtumwe wa Mwisho katika ulimwengu huu.

Unaposema Wahindi ni dini kongwe kuliko waislamu tutakushangaa sana bora ungeleta maandiko kuhusu ukongwe wa dini na mila za kihindi kwamba zilikuwepo kabla ya Nabii Adam A.S.,
 
Kwann kiongozi wa dini ya kiislam aliagiza kuuwawa kwa salman km hiyo dini haispot mauaji?
Nazungumza na wewe kwa lugha ya kutaka utafakari na ndiyo maana naileta kwa mfumo wa somo la ufahamu.

Ukiwa kama haujafahamu/umeshindwa kufahamu usiseme haueleweki na hayaeleweki! Sema; nimeshindwa kuelewa ulichokiwasilisha hivyo fafanua zaidi ili nifahamu.
 
Hujawafanyia uadilifu Masalafi hapa ewe ndugu yangu Hammaz. Ni hayo tu.

Kisai Kazakh destroyer Abuu Dharr AbuuMaryam
Kuna watu kuandika uongo sijui ni jambo jema au ni jambo la kusifiwa.

Mpaka kuwajibu mtu unapata shida na uzito. Sasa mtu ambaye mpaka muda huu anasema Salafi ni dhehebu, huyu wa kupuuzwa. Maana hata katika ujinga hakai.
 
Kwani kobazi ni mavazi gani? maana nimepata tabu kujua na kila nikiangalia google wanacho niletea afu nikija kuringanisha na kinachoandikwa humu naona kama kimaana havina uhusianao kabisa kwasababu hivi viatu vinavaliwa hata na wasio waisilamu

1660472005034.png
 
salafiyyuun hawashiki isipokuwa quran na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia na si kinyume chake, sijui umekutana na watu gani wanaojiita masalafi.

Back
Top Bottom