ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Hatari sanaAtachinjwa au kuna mtu atajilipua wafe wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaAtachinjwa au kuna mtu atajilipua wafe wote
Dini ya chuki ipo, na inajulikanaHawa wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya kihindu wanawachukia sana waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan
Hii chuki inatokana na nini? Tukumbuke hawa wote ni wahindi jamii moja
Zamani kutokana na hii chuki kulipelekea waislam kujitenga na kuunda nchi yao ya Pakstan
Ila kuna waislam walibaki kwenye nchi yao ya asili ya India na kupelekea mgogoro hadi leo
Hawa wahindu wanaupendo wa dhati kwa wakristo na wabudha ila hawataki kuwasikia wahindi ambao ni waislam
Na ukichunguza kwa kina wahindi wengi waislam walikimbilia Africa na nchi nyingine kutokana na hizi chuki
Nchini India jamii za kiislam zinaishi kwa wasiwasi sana na ukibainika muislam anaona binti wa kihindi anaweza kufa kifo cha kutatanisha
Cha ajabu kule Pakstan jamii ya kihindi inachuki na ukristo kuliko wahindu
Sijawahi kushuhudia huu uhasama wa kidini nchi yeyote zaidi ya India
Shida ni Mafundisho ya Dini ya Uislamu, Waislamu wanafundishwa kwamba Mtume Muhammad (SAW) ndiyo wa mwisho kwa maana hiyo hakuna mwingine hivyo basi binadamu wote ni lazima wamkubali na kumfwata, shida inaanzia hapo, tatizo la India ni kwamba Uislamu hauutambui Uhindu na Waislamu wanaamini kwamba watu wote mwishowe ni lazima wawe Waislamu.
Hata Ukristu ulikuwa hivyo zamani lkn tofauti ni kwamba Ukristu unabadilika na muda wakati Uislamu uko vile vile, hivyo siyo India tu hata hapa Tanzania ni swala la muda tu kabla hakijanuka, kwa sababu ya kuamini hivyo nilivyoandika hapo juu, kwa maana nyingine kwa Muislamu kama wewe siyo Muislamu kwa upande wake ni kwamba ubinadamu wako una mapungufu au kasoro hata kama hatokwambia usoni lkn deep inside anaamini hivyo, …
Imani nikitu hatari sana nihisia za ndani kabisa kwa mwanadamu kwa hiyo kila mtu anacho amini hapo ndio utata unakuja mwingine kulazimisha kuamini asicho kiamini mwisho mauaji, chuki na kutengana
MUNGU ATUNUSULU KWA TAIFA LETU.
Ukristo unabadilika kutokana na miaka inavyoenda ndio maana papa anahalalisha ndoa zajinsia moja !!!??Shida ni Mafundisho ya Dini ya Uislamu, Waislamu wanafundishwa kwamba Mtume Muhammad (SAW) ndiyo wa mwisho kwa maana hiyo hakuna mwingine hivyo basi binadamu wote ni lazima wamkubali na kumfwata, shida inaanzia hapo, tatizo la India ni kwamba Uislamu hauutambui Uhindu na Waislamu wanaamini kwamba watu wote mwishowe ni lazima wawe Waislamu.
Hata Ukristu ulikuwa hivyo zamani lkn tofauti ni kwamba Ukristu unabadilika na muda wakati Uislamu uko vile vile, hivyo siyo India tu hata hapa Tanzania ni swala la muda tu kabla hakijanuka, kwa sababu ya kuamini hivyo nilivyoandika hapo juu, kwa maana nyingine kwa Muislamu kama wewe siyo Muislamu kwa upande wake ni kwamba ubinadamu wako una mapungufu au kasoro hata kama hatokwambia usoni lkn deep inside anaamini hivyo, …
Bila yashaka unamuongelea s.a.w ila nani alokwanbia uislam umeanza enzi ama wakati wa s.a.wUkristo haujawahi kuamini kwamba ni lazima kila mtu amuamini Mungu wao. Wapi Ukristo uliwahi tumia nguvu kueneza injili?
Wahindu ni dini kongwe kuliko Uislamu. Mtume kazaliwa kakuta Wahindu wapo na mambo yao kina Krishna sijui ng'ombe na Budha. Mara Waislamu wakaenea mpaka maeneo ya Wahindu na kutaka kubadili tamaduni. Uislamu haujui kuadapt tamaduni za eneo husika ndio maana hadi Botswana wanakula tende na kuvaa kanzu, wa Bolivia watafanya hivyo, wa Honduras watafanya hivyo, wa Burma hivyo. Wakati tende ni asili ya Waarabu hata kabla ya Uislamu kuwepo zililiwa, usingekuwepo muujiza wa kuwalisha vanilla zao lililokuwa Mexico tu hapa duniani. Kanzu kabla ya Uislamu kuwepo zilivaliwa, wasingevaa mashuka ya kimasai kwani wangeyatoa wapi? Hata kuhiji ni ukouko Uarabuni, wasingehiji Venezuela hawakuwa hata wanaijua.
Dini inampasa mtu kutumia lugha moja ambayo haijazinduliwa na dini hiyo ila ni utamaduni wa Waarabu. Mwishowe jamii zenye tamaduni imara na za kale zaidi zinapata ugumu kuukubali Uislamu. China, Japan, India wote wana historia ya maelfu ya miaka na imani zao. Leo uwaambie kufuga ndevu, kufunga mwezi mtukufu, kuoa wake wanne na mambo ya sunna wanakushangaa. Fujo inakuja pale unapowalazimisha.
Dini kuu zote ni dini za watu waliokuwa na expansionism na wauaji. Kama Wahindu wangekuwa na expansionism watu wengi duniani wangekuwa Wahindu
Kwani kufa kwa Imam ndiyo mwisho wa ibada?Kwann kiongozi wa dini ya kiislam aliagiza kuuwawa kwa salman km hiyo dini haispot mauaji?
Nimejifunza jamboKama tatizo lingekuwa Waislamu kwani Dubai wengi wao ni wa dini gani na msuguano kama huo umeuona?
Qatar napo kuna Wahindi wengi msuguano kama huo umeuona?
Kuwait kuna Wahindi wengi msuguano wa namna hiyo umeusikia?
Kote huko Wahindi wana nyumba zao za ibada.
Kuna kipindi ilikuwa ni mwezi wa Ramadhani futari iliandaliwa kabla ya kuswali magharibi ili baada ya swala watu wale. Kwa ghafla kundi la nyani likavamia na kula futari. Kumaliza swala nyani wanakula futari.
Viongozi wakasema tusiwafukuze! Wakaenda temple ya karibu kuwaambia kuna suala limetokea kwenye nyumba yetu ya ibada tunaomba mtusaidie kuli tatua. Walipofika wakakuta nyani wanakula futari, walifurahi sana! Wakalipia gharama ya chakula chote kwa ujumla. Sikujua ina maanisha nini! Kuuliza nikaambiwa ile temple nyani ni mungu wao! Tungeliwakimbiza laiti wangelituona ingelikuwa mtafaruku mkubwa! Wahindu wana miungu mingi! Kuwa makini na kila kiumbe ukiwa kwenye jamii yao hususani India.
Kwa Waislam kuna dhehebu linaloitwa Salafi. Salafi nao wamegawanyika; kuna wa moto kiasi na wa moto kabisa. Hawa chao ni sahihi cha kwako si sahihi, ukimfuata upo sahihi usipomfuata umepotea. Hawa ndoa zao wanafungishana wao tu! Wengine wanafika mbali kabisa asie Muislam kwao wanamuona amekuja bahati mbaya duniani. Fahamu pia; mpaka Waislamu dheheb la Sunni kwa upande wa Salafi wanawaona Sunni wamepotea hivyo utapewa majina mabaya kweli.
Sasa Muhidu mwenye dini nyingi na miungu mingi wawe ndani ya jamii moja na Salafi unategemea nini? Chuki itakuwepo baina yao na uhasama mkubwa!
Bw. Mkubwa! Mimi sizungumzi kwa fikra iliyojengwa baada ya kile kilichowasilishwa na vyombo vya habari na majarida mbalimbali ndipo akili ibebe majumuisho na kutoa jicho la mustakabali hiki kitu kipo hivi!Wewe buana unachekesha
Wewe unamamlaka gani ya kuutambua ukafkri?
Au mnalishana matango
Vipi wewe icho kitabu cha quran kilichoitwa satanic verses kwann mlitangaza kumuua uyo sakman? Hamuon kuwa mnajpiga makof kwa ujinga?
Ukristo unabadilika kutokana na miaka inavyoenda ndio maana papa anahalalisha ndoa zajinsia moja !!!??
Dini zipo nyingi ila Uislam ndio dini ya halali hili halina ubishi ingawaje ukimuona mtu anakulazmisha kua muislam huyo anamatatizo yake binafsi kama muislam ila sio tatizo la uislam
Kama wewe unaona dini yako sio dini pekee na ya maana kwamtazamo wako kwanini usiwe budha ukawa mkristo c kwasababu unaamini kua ukristo ndio dini yakweli
Mliaminishwa mashuleni kwenu kuoa wake wanne ni illegal leo munaaminishwa ushoga na usagaji ni halali(uislam kwakujua hili ukaeka wake wanne)
Waislam ndugu zao waislam hao wahindu waaabudu ng'ombe cjui jua wakatafte ndugu zao
Shida yenu mnauchukia ukweli lakini tutawapa tuuu
Mwisho uislam haujabadilika nahautabadilika mpaka kiama mkitupenda mkituchukia huo ndio ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
"Dini pekee iliyoletwa na Mungu..."Dini ya kiislamu ni dini pekee ambayo imeletwa na Mungu since memorial, tokea mtu wa kwanza kuja ulimwenguni baba yetu Nabii Adam A.S., Isipokuwa Mungu aliileta kutokana na relevation tofauti tokea miaka hiyo ambapo sisi waislamu tunatambua zama nne muhimu ambazo ni zama za Taurat, Injil, Zaburi, na ya mwisho kabisa ndio hii Qur-an ambayo ameteremshiwa Nabii Muhammda S.A.W, ambapo yeye ndio Mtumwe wa Mwisho katika ulimwengu huu.
Unaposema Wahindi ni dini kongwe kuliko waislamu tutakushangaa sana bora ungeleta maandiko kuhusu ukongwe wa dini na mila za kihindi kwamba zilikuwepo kabla ya Nabii Adam A.S.,
NaaaamKama tatizo lingekuwa Waislamu kwani Dubai wengi wao ni wa dini gani na msuguano kama huo umeuona?
Qatar napo kuna Wahindi wengi msuguano kama huo umeuona?
Kuwait kuna Wahindi wengi msuguano wa namna hiyo umeusikia?
Kote huko Wahindi wana nyumba zao za ibada.
Kuna kipindi ilikuwa ni mwezi wa Ramadhani futari iliandaliwa kabla ya kuswali magharibi ili baada ya swala watu wale. Kwa ghafla kundi la nyani likavamia na kula futari. Kumaliza swala nyani wanakula futari.
Viongozi wakasema tusiwafukuze! Wakaenda temple ya karibu kuwaambia kuna suala limetokea kwenye nyumba yetu ya ibada tunaomba mtusaidie kuli tatua. Walipofika wakakuta nyani wanakula futari, walifurahi sana! Wakalipia gharama ya chakula chote kwa ujumla. Sikujua ina maanisha nini! Kuuliza nikaambiwa ile temple nyani ni mungu wao! Tungeliwakimbiza laiti wangelituona ingelikuwa mtafaruku mkubwa! Wahindu wana miungu mingi! Kuwa makini na kila kiumbe ukiwa kwenye jamii yao hususani India.
Kwa Waislam kuna dhehebu linaloitwa Salafi. Salafi nao wamegawanyika; kuna wa moto kiasi na wa moto kabisa. Hawa chao ni sahihi cha kwako si sahihi, ukimfuata upo sahihi usipomfuata umepotea. Hawa ndoa zao wanafungishana wao tu! Wengine wanafika mbali kabisa asie Muislam kwao wanamuona amekuja bahati mbaya duniani. Fahamu pia; mpaka Waislamu dheheb la Sunni kwa upande wa Salafi wanawaona Sunni wamepotea hivyo utapewa majina mabaya kweli.
Sasa Muhidu mwenye dini nyingi na miungu mingi wawe ndani ya jamii moja na Salafi unategemea nini? Chuki itakuwepo baina yao na uhasama mkubwa!
Kwa Tanzania ni ngumu Sana hii kutoa, hebu fikiria viongozi wa dini ya kiislamu na kikristo wanashirikiana mpaka wanacheza mpira kwa pamoja, ni nani wa kuhamasisha hizo chuki Kama viongozi wetu wanashirikiana?Shida ni Mafundisho ya Dini ya Uislamu, Waislamu wanafundishwa kwamba Mtume Muhammad (SAW) ndiyo wa mwisho kwa maana hiyo hakuna mwingine hivyo basi binadamu wote ni lazima wamkubali na kumfwata, shida inaanzia hapo, tatizo la India ni kwamba Uislamu hauutambui Uhindu na Waislamu wanaamini kwamba watu wote mwishowe ni lazima wawe Waislamu.
Hata Ukristu ulikuwa hivyo zamani lkn tofauti ni kwamba Ukristu unabadilika na muda wakati Uislamu uko vile vile, hivyo siyo India tu hata hapa Tanzania ni swala la muda tu kabla hakijanuka, kwa sababu ya kuamini hivyo nilivyoandika hapo juu, kwa maana nyingine kwa Muislamu kama wewe siyo Muislamu kwa upande wake ni kwamba ubinadamu wako una mapungufu au kasoro hata kama hatokwambia usoni lkn deep inside anaamini hivyo, …
Kwanza Usalafi ni mmoja tu. Na kuugawanya kama wanavyofanya baadhi ya watu hasa wasomi wa Kimagharibi kwenye mapote mfano "Quietist Salafism" au "Salafi Jihadist" ni makosa.Salafi wamegawanyika makundi anuwai.
Niliposema kundi la moto zaidi namaanisha aina ya kundi nje ya kile walicho masheikh ( Sheikh Ibn Taymiya, Sheikh Ibn Qayyim, Sheikh Muhammad bin Abdul Wahab, Sheikh Ibn Baaz, Sheikh Alban, Sheikh Ibn Uthaymeen, Sheikh Fawzan) ni batili.
Nimekutana nao hawa! Kipo kitabu kilochoandikwa na Sheikh Muhammad Al Yaqoubi (kwa lugha ya Kiingereza Refutation of ISIS) aina hii imezungumziwa.
Aina hii haikubaliani na chochote kilicho nje ya masheikh niliowaainisha. Mtazamo wao nje ya hao masheikh hakuna dini na ndani ya hao Masheikh hakuna dini. Kwa mantiki hiyo watakuita Khulafi, mtu wa bidaa na wanafika mbali huambia wenzao wanafanya shirk! Hufika mbali huwatenga na kuwatoa kwenye Uislam kabisa na wana jazba kubwa!
Binafsi mimi ni shahidi wa mwenyewe nimekutana nao mimi. Ndio aina ya Salafi niliokutana ninaowazungumzia.
na Tz nan aliwafundisha watu kwenda amboni na kibiti ? mna ttzo hkn namna ya kujidefend , popote mlipo hamkubalik kwa tabia yenu ya kutoheshimu iman za watuWahindi ni wapumbavu kama tulivyo waafrika,kuwa na uhasama na dini ambazo zimeletwa na wengine ni ujinga wa kiwango cha lami.
Mwingereza ndio chimbuko LA ugomvi huo-na alifanya hivyo ili iwe rahisi kuitawala India.
Niondolee makasiriko aiseeakil zenu mgando hata muazimwe akili mtabakia mazezeta tu , huyo jamaa kaandika strong points ila bado hujaelewa na unamuona zuzu km ww
Umemaliza kila kitu MKUUKuna uelewa mbaya juu ya kila wanao jilipua kuwa Ni waislamu kwasababu Tu Wana majina ya kiislamu au mavazi ya kiislamu....au inchi wanazo toka.
Lkn pia sio kila wanao jilipua wanapigana Vita ya kidini....kuna wengine wahuni ambao hata Dini hawaijui wanafuata matamanio Yao Tu.
Kwanza Uislamu unasema kuwa anayeua mtu mmoja basi ni Sawa Sawa na kama ameua watu wote na mwenye kuokoa Maisha ya mtu mmoja ni Sawa Sawa nakuokoa Maisha ya watu wote....kuna ambao Wanapaswa Kuuwawa Kwa haki...mfano kama umeua nafsi Kwa makusudi basi nawe itabidi uuwawe...kwani ktk kulipiza kisasi kuna kuwa na Uhai mzuri...Kwa maana watu wataogopa kuuwana ovyo.
Sasa waislamu Kwanza wanaruhusiwa kupigana Tu endapo maadui wameanza chokochoko dhidi ya waislamu...na kwahiyo watapigana kuondoa udhalimu na kusimamisha haki katika jamii na endapo hao madhalimu wakasilimu amri nakuacha basi waislamu nao wanatakiwa waache kupigana.
Vile vile katika hiyo Vita waislamu hawatakiwi kuwapiga makundi maalumu...kama wazee,wanawake na watoto isipokuwa wanaume mashababi ambao ndio hushika silaha....na kama haitoshi haitakiwi kuharibu mazao wala kuwapiga wanyama....sasa hapo ndo utaona tofauti ya wahuni ambao wanajificha nyuma ya Uislamu...wao wanavaa mabomu na kuua watoto,wakina mama nawazee na watu wasio na hatia...hao sio waislamu wanao ijua Dini Bali ni wahuni Tu.
Hiyo ndio Hali halisi linapokuja swala la Dini ya kiislamu
Anaekupa story hio umwambie akupe na kipande cha aya inayosema hvyoNi kweli kwenye Quran kuna kifungu kinachomruhusu muislam kujitoa muhanga na endapo atafanya hivyo atapewa mabikra 72 akifika ahera? Hii ni kweli au stori tu za mitaani?.