Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Kwanini Wahindu wanawachukia sana Waislam ambao ni ndugu zao na kuwapenda Wakristo na Wabudha?

Nilikuwa namjibu member aliyesema kwamba Waislamu ni wamoja ndiyo nikampa hiyo mifano kwamba kama Waislamu ni wamoja kwa nini Saudi Arabia anatesa Waislamu Yemeni? Kwa nini Saudi Arabia anabomoa nchi ya Kiislamu Somalia na hataki Somali iwe na amani? Labda ungesoma kwanza alichoandika yule niliyemjibu!
Uislamu kama dini umekamilika wala hakuna dosari ndani yake lakini wewe unahuukumu uislamu kwa matendo ya waislamu kosa ndipo linapoanzia apo Russia ni wakristo na Ukraine vile vile ni wakristo mbona kuna vita? Muislamu ni mtu kama wewe ana madhaifu kama yako akikosea amekosea yeye siyo uislamu nadhani umenipata mpaka apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa maana nyingine kwa Muislamu kama wewe siyo Muislamu kwa upande wake ni kwamba ubinadamu wako una mapungufu au kasoro hata kama hatokwambia usoni lkn deep inside anaamini hivyo, …
Ila kuna ka ukweli; ila angalia usitolewe FATWA 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kimsingi dini zote zinaelekeza kupendana, sasa sijui hiyo Hindu vs Muslims inatoka wapi?
 
kuna wasomali pale minesota marekani ukimuuliza habari gani dada yangu yeye atakujibu kwanza are you muslim> ukisema hapanaa anachukia utazania umemtukania babae! Msudani kaskazini mpaka leo anashangaa undugu mzuri kati ya waislamu na wakristo ambao watanzania tunao.
 
Wasomali ni wajinga na watu hovyo mno
kuna wasomali pale minesota marekani ukimuuliza habari gani dada yangu yeye atakujibu kwanza are you muslim> ukisema hapanaa anachukia utazania umemtukania babae! Msudani kaskazini mpaka leo anashangaa undugu mzuri kati ya waislamu na wakristo ambao watanzania tunao.
 
Tatizo waislamu hawajafundishwa kuishi na binadamu wengine kwa amani, kila popote wanakwenda ni fulu chuki, na ukisoma maandiko yao yamekaa kibaguzi baguzi, kuna hata maandiko yao wameagizwa wachinje wasio waislamu, hivyo kuishi nao ni mtihani.
Hawa tunaoishi nao kwa amani uswahilini ni ile wamekiuka maagizo ya dini yao, ila wakiyafuata tutanyukana sana.

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Kitendo tu cha kumwita mtu wa imani nyingine ni KAFIRI kinaonyesha chuki ya asili isiyo na sababu.

Juzi kuna maandamano hapo Pemba ya waislamu wa huko hawataki lijegwe Kanisa. Na Waislamu wapo kimya ina maana wanaunga mkono.

Ila wao wanataka wajenge Msikiti popote pale.

Imani yao inasema mtu hakubaliki kwao hadi awe Mwislamu.
 
Sawa, usichanganye Utalii na kuishi, UAE ni nchi ya Kiislamu na ukitaka kuishi huko wana masharti na kanuni za Kiislamu ambazo ni lazima uzifwate!
Ni kweli kila nchi na Sheria, zake hata Tanzania kuna sheria zake pia ukikiuka utawajibishwa, ukienda Marekani pia kuna sheria zao

Lakini..........lazima tukubali kuwa kuna kupigwa, Waislamu huwa hawaamini kwamba Kupigwa kupo.wanajiona wakamilifu sana, tofauti na wakristo wanajiona bado sio wakamilifu na hawawachukii waislamu.wakristo wanaona hukumu itatolewa na Mungu.....biblia imetabiri sana kupigwa Na manabii wa Uwongo wapo watakuja wengi, siongelei kuhusu ukweli wa biblia au uwongo wa biblia
Naongelea kuhusu Mkristo (habagui mtu wa dini yoyote, na Mungu pia habagui mtu yoyote anamjalia, chochote uhai , riziki pumzi anatupenda sote, that is what christianity teaches us)
Pia naongelea kuhusu muislamu (Anachuki sana anawachukia wakristo anajiona yuko very perfect, lakini kumbe tumepigwa sababu hiyo sio nature ya Mungu, nawakubali sana some muslims wale wenye upendo kwa wakristo, hawana ubaguzi wao wanaamini hukumu atatoa Mungu hawa na Wakristo(wanaoishi ukristo) hakika wote ni wa Mungu)
 
Hawa wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya kihindu wanawachukia sana waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan

Hii chuki inatokana na nini? Tukumbuke hawa wote ni wahindi jamii moja

Zamani kutokana na hii chuki kulipelekea waislam kujitenga na kuunda nchi yao ya Pakstan
Ila kuna waislam walibaki kwenye nchi yao ya asili ya India na kupelekea mgogoro hadi leo

Hawa wahindu wanaupendo wa dhati kwa wakristo na wabudha ila hawataki kuwasikia wahindi ambao ni waislam

Na ukichunguza kwa kina wahindi wengi waislam walikimbilia Africa na nchi nyingine kutokana na hizi chuki

Nchini India jamii za kiislam zinaishi kwa wasiwasi sana na ukibainika muislam anaona binti wa kihindi anaweza kufa kifo cha kutatanisha

Cha ajabu kule Pakstan jamii ya kihindi inachuki na ukristo kuliko wahindu

Sijawahi kushuhudia huu uhasama wa kidini nchi yeyote zaidi ya India
Nilikua sijui ila wahindi ni wabinafsi sana
 
Ni kwa sababu dini ya kiislamu inawafundisha waislamu kuwachukia binadamu wenzao, na pia inawafundisha kuwanyanyapaa binadamu wenzao mfano angalia Taliban wanachokifanya kule Afghanistan jinsi wanavyowaona hasa wanawake
 
Mkuu ndio maana haya yangu ya mwisho niliandika dini kuu zote zilikuwa na expansionism na haya ndio matokeo yake. Hata hivyo hakuna sehemu Wakristo walienda kuanzisha vita, vita yao ilikuwa ni response ya wao kupigwa na kuonekana mabwege. Hadi Constantinople inapigwa wapo tu kisha unawaita wenye fujo.

Watu kama Mehmed II walishaapa kuufuta Ukristo ndio maana Wakristo hata mahasimu waliungana. Hadi Spain ilikuwa ishakuwa dini nyingine, crusader ilianza pale dini moja ilipoamua kuweka chini unyonge na kutumia nguvu.

Hizo tawala za Kirumi kueneza Ukristo ni within their territorial integrity hata kama yalikuwa makoloni. Na dini moja ilisaidia kuondoa upinzani wa kiimani kwa mtawala hivyo sioni kama lilikuwa ni jambo la kiimani pekee lililofanikisha ueneaji.

Hata Siege of Masada ilitokea baada ya Wayahudi kuacha unyonge bora wafe ila hawaachi dini. Medieval times hakukuwa na ustaarabu ukikaa kinyonge unapotea
Dah!...kumbe hizi dini kuu zote zimesambaa duniani baada ya damu kumwagika.
 
I adore you brother.
Ni kweli ukristo wa kale ulikua wa wendawazimu. Nadhani hawa Muslims extremist wa sasa hawaingii hata 1/10 ya extremism ya wakristo wa kale.
But I like that part every religion has a darkest side too.
Wacha tuone.
Wapo baadhi ya waislam mpaka huwa wanaona aibu kuwa muislam kwa namna baadhi ya waislam kwa wanayoyafanya. Wanajipa haki mno baadhi yao hapa duniani.
Tatizo ni wale salafist (extremist), hao ndio wametuletea makundi kama Isis.
 
Mkuu ndio maana haya yangu ya mwisho niliandika dini kuu zote zilikuwa na expansionism na haya ndio matokeo yake. Hata hivyo hakuna sehemu Wakristo walienda kuanzisha vita, vita yao ilikuwa ni response ya wao kupigwa na kuonekana mabwege. Hadi Constantinople inapigwa wapo tu kisha unawaita wenye fujo.

Watu kama Mehmed II walishaapa kuufuta Ukristo ndio maana Wakristo hata mahasimu waliungana. Hadi Spain ilikuwa ishakuwa dini nyingine, crusader ilianza pale dini moja ilipoamua kuweka chini unyonge na kutumia nguvu.

Hizo tawala za Kirumi kueneza Ukristo ni within their territorial integrity hata kama yalikuwa makoloni. Na dini moja ilisaidia kuondoa upinzani wa kiimani kwa mtawala hivyo sioni kama lilikuwa ni jambo la kiimani pekee lililofanikisha ueneaji.

Hata Siege of Masada ilitokea baada ya Wayahudi kuacha unyonge bora wafe ila hawaachi dini. Medieval times hakukuwa na ustaarabu ukikaa kinyonge unapotea
Nakusoma vizuri mkuu. Lakini kama hoja ni kujilinda (Self-defense/Responsive Aggression) basi hata Uislamu una haki kuitumia hoja hii kujilinda. Mwanzoni kabisa Uislamu unaanza kuhuburi wa mtume Muhammad S.A.W wapagani waliwaua sana Waislamu hadi wengine kukimbilia Afrika Egypt na Ethiopia ambako wafalme wa Kikristo waliwapa hifadhi.

Dini ya Ukristo katika historia imepitia vipindi vikubwa vitatu ambavyo vimeshuhudia mabadiliko ya mpangilio wa dini, uongozi wa kidini, mabadiliko ya kiumini na mabadiliko ya kifalsafa/kimapokeo. Tusipoyanyumbua haya hatuwezi kupata nini haswa kilipelekea Ukristo ukawa kama ulivyo leo:

Kipindi cha kwanza cha Ukristo, kilianza mnamo karne ya kwanza baada ya Yesu kupaa ambapo wanathiolojia wanaamini ni mwaka 34 AD. Kipindi hiki dini ya Ukristo ilikuwa inaongozwa na Mitume wa Yerusalemu na kanisa lilikuwa halijajitenga na Sinagogi. Kwenye Biblia hapa ni kuanzia kitabu cha Matendo ya Mitume 1-10 (Book of Acts).

Kuanzia sura ya kwanza hadi ya kumi ya kitabu cha Matendo ya Mitume, washirika wote wa Ukristo walikuwa ni Wayahudi tu. Falsafa yao ilikuwa ni ileile iliyojikita kwenye mafundisho ya Bwana Yesu, kwamba Mpende Adui Yako, Geuza Shavu la Pili, Ukinyang'anywa Joho toa na Kanzu kabisa. Wakristo walikuwa ni watu walioteswa sana na kuuwawa na Wayahudi na Wapagani.

Kitabu cha Ufunuo wa Yohana (The Book of Revelation), kiliandikwa mwaka 90 AD. Zile zilikuwa ni barua kwa makanisa ya Kikristo yaliyokuwepo Anatolia/Uturuki. Mtume Yohana aliandika kuyaonya makanisa sana saba kwamba waendelee kwenye njia yao hiyohiyo ya kivumilia mateso mpaka kufa, bila kufanya lolote lile kutaka kujitetea.

Kitu ambacho lazima nikubali ni kwamba, tofauti kabisa na Uislamu dini ya Ukristo iliweza kuenea tokea karne ya 1 hadi 3 kupitia kuuwawa na kuteswa na wafalme wa dola la Rumi. Kinachostaajabisha kidogo ni kwamba kadiri ambavyo wafalme wa Rumi waliongeza kuwaua wakristo ndivyo Wakristo waliendelea kuhubiri injili bila woga hadi kuwafanya warumi wengi wavutiwe na kuwa Wakristo.

Martyrdom was a main pillar of Christianity for a consecutive period of three hundred years. Wewe ukijiunga na Ukristo basi unaagana kabisa na familia yako, maana muda wowote unaweza kutupwa kwenye uwanja wa simba au kuchomwa moto hadharani.

Kama nilivyosema hapo mwanzoni, mwaka 412 AD baada ya mfalme Konstantino kushinda vita ya daraja la Milvi (Battle of the Milvian Bridge), ndipo Ukristo ukaanza kubadilika kuanzia muundo, wauamini na falsafa. Ukristo uligeuka kuwa kijidini (a cult) hadi kuwa dini ya taifa la Roma.

Konstantino aliufanya Ukristo kuwa dini halisi yenye ngazi za kiutawala ( A formal religion with Ecclesiastical Hierarchy). Wakristo wengi walipewa vyeo vikubwa ndani ya dola la Rumi, na askofu wa mji wa Roma akawa na ushawishi mkubwa juu ya mfalme na makanisa yote yaliyokuwa ndani ya dola la Rumi (Ecclesiastical Authority).

Kitendo cha kuunganisha dini na dola kilizaa matatizo kwasababu sheria nyingi za dini zilikuwa ni za dola pia, na zinatiliwa mkazo na dola (Religious Laws were enforced by state apparatus). Hivyo wale ambao walikuwa siyo Wakristo wakabaki na uamuzi wa aidha wawe wakristo au watengwe na kunyanyaswa. Ili kupata fursa, upendeleo na vyeo warumi wengi wakawa wakristo.

Mkuu T14 Armata niliahidi ntarudi, sasa naomba niandike kwa ufupi mno na kutoa mifano.

ENTER THE PAGAN PERSECUTION: Kuna ushahidi wa kutosha unaonesha kwamba Konstantino alianza kuvunja mahekalu ya wapagani na kujenga makanisa. Kuna askofu mmoja aitwae Eusebius alikuwa anasifia kabisa jinsi ambavyo Konstantino alivunja hekalu la mungu Asclepius.

Heri Konstantino, Theodosius alikuwa ana balaa zito mno katika watawala wakristo wa dola la Rumi. Huyu ndiyo alikuwa Nero wa wakristo. Kiufupi alipiga marufuku kabisa hata kufanya ibada na kutoa sadaka kwa miungu ya kipagani. Ukisoma The Theodocian Code utaona misimamo ya wakristo ilivyokuwa kuwa hatari.

Jingine, aliweka amri kwamba watu waende kazini kwenye siku zenye ibada za kipagani. Ukipinga tu ilikuwa inakula kwako. Akafika mbali zaidi kupambana hata na wakristo wenzake waliopinga mafundisho ya utatu mtakatifu.

MABADILIKO YA KIFALSAFA/KIMAPOKEO
Ukiwasoma wanafalsafa wa kwanza wa kanisa (Church Fathers) kama wakina Thomas Aquinas na Augustine of Hippo, ambao maandiko yao yamekuwa na ushawishi mkubwa kwa wakristo utaogopa na kushanga. Kiufupi, hakuna kujilinda ila ni unazi mtupu (Fanaticism).

Ukisoma kazi za Thomas Aquinas kama Summa Theologica, amendika mambo ambayo yako kabisa kinyume na mafundisho ya Bwana Yesu na mitume wake. Mle ndani amesema watu wanaokufuru, wazushi au wanaopingana na mafundisho ya kanisa (Blashphemers and Heretics) hawatakiwi kutengwa na kanisa, bali pia kuuwawa.

Haya ni maneno yake Mtakatifu Thomas Aquinas "Heretics deserve not only to be separated from the Church by excommunication, but also to be severed from the world by death."

Papa Paulo wa tatu (Pope Paul III)alivyokuwa ameanzisha chombo cha kupambana na wapinga Ukristo (The Inquisition) alitumia falsafa ya Aquinas. Hata Jesuits wanatumia hii falsafa kuhalalosha mauaji yao maovu duniani kote.

Kiufupi, kama ilivyo kwenye Uislamu kwamba mtu akibadili dini auwawe basi hata katika Ukristo iko hivyo-hivyo. Maelfu ya watu walipoteza maisha kwasababu ya hizi mambo. Wafransiskani na Wadominikani walichinjana mno mnamo karne ya 8 kisa walipishana falsafa za kimapokeo.

Mkuu ukisema kwamba Wakristo walipambana ili kujilinda utakuwa unasahau kwamba vita ya miaka thelathini (Thirty Years War, 1618-1648) baina ya falme za kiprotestanti na kikatoliki zilitokana na kupishana mafundisho na siyo kujilinda.

==========================


Ukisoma mafundisho ya Bwana Yesu Kristo, hakuna sehemu aliruhusu Wakristo kutumia upanga au silaha. Hakulazimisha watu wamfuate. Ndani ya karne mbili Wakristo wameishi kwa kuonewa na kuuwawa na Warumi bila kujilinda, na Ukristo ukaendelea mno.

Hili la kujilinda kwa majambia na magenge ya wauaji kama Jesuits, Parabalani, Path-Finders, Knight Templers, Crusaders n.k linathibitisha kwamba Ukristo hauna tofuati kabisa na dini zingine.
 
Mleta mada hata wewe ungependa nyumba yako ipakane na msikiti au kanisa? Tuanzie hapo.
 
Shida ni Mafundisho ya Dini ya Uislamu, Waislamu wanafundishwa kwamba Mtume Muhammad (SAW) ndiyo wa mwisho kwa maana hiyo hakuna mwingine hivyo basi binadamu wote ni lazima wamkubali na kumfwata, shida inaanzia hapo, tatizo la India ni kwamba Uislamu hauutambui Uhindu na Waislamu wanaamini kwamba watu wote mwishowe ni lazima wawe Waislamu.

Hata Ukristu ulikuwa hivyo zamani lkn tofauti ni kwamba Ukristu unabadilika na muda wakati Uislamu uko vile vile, hivyo siyo India tu hata hapa Tanzania ni swala la muda tu kabla hakijanuka, kwa sababu ya kuamini hivyo nilivyoandika hapo juu, kwa maana nyingine kwa Muislamu kama wewe siyo Muislamu kwa upande wake ni kwamba ubinadamu wako una mapungufu au kasoro hata kama hatokwambia usoni lkn deep inside anaamini hivyo, …
Hiili nikweli mkuu
 
Tatizo ni wale salafist (extremist), hao ndio wametuletea makundi kama Isis.
Salafiyya sio extremism na Isis sio Salafist. Moja katika makosa yanayofanywa na baadhi ya wasomi wa kimagharibi ni kuwaita Isis salafist. Isis ni khawaarij.

Niishie hapo.
 
Back
Top Bottom