omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 609
- 770
tafuta pesa acha mpoyoyo mademu wazuri utaishia kuwaona kwenye tv.bado una promote lugha za mabeberu kama vile zitakuletea debe la unga mezani.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuta pesa acha mpoyoyo mademu wazuri utaishia kuwaona kwenye tv.bado una promote lugha za mabeberu kama vile zitakuletea debe la unga mezani.?
Watoto wa sahivi lugha yao ya kwanza ni kiswahilikarne hii hii, ndio maisha yao, hakuna mabadiliko yeyote fuatilia mkuu
Wew kilaza situka, hii lugha ya taifa usije kuaibika, hata uwe na pesa kiasi gani utaishia huko chitohori
mwenzako hata vikao vya AU anakimbia kisa kinge......
[/QUOT
unaweza kujua kingereza lakini kisicho kuwa na point ndani yake,acha maisha ya kuambiwa.
Watoto wa sahivi lugha yao ya kwanza ni kiswahili
Kiingereza ambacho hakina point ndio kipi hicho mkuu
Ndio...Mimi sipo dar ila watoto hasa wanafunzi hawafahamu kabisa lugha zao za asili.sio kweli, unataka kusema hawajui lugha za makabila yao, achana na hawa wa dar,
kwaiyo wewe unataka kuniambia kuwa waingereza wote wana point,acha kuaminisha upumbavu wako kuwa wa wengi.Hata zile nchi ambazo kingereza ni lugha ya mama bado vilaza wapo,kwaiyo acha ujinga kuwa kujua kingereza ndo kuyaweza maisha,au ndo kuweza kuwasemea watanzania shida walizo nazo.
Sio Dar tu watoto wengi wa mijini hawajui lugha mama lugha yao ya kwanza ni kiswahili.sio kweli, unataka kusema hawajui lugha za makabila yao, achana na hawa wa dar,
Hao ni wachache kati ya kundi kubwa lililopo TanzaniaNdio...Mimi sipo dar ila watoto hasa wanafunzi hawafahamu kabisa lugha zao za asili.
Sio Dar tu watoto wengi wa mijini hawajui lugha mama lugha yao ya kwanza ni kiswahili.
Vijijini ni sawa kabisa wengi wanajua lugha mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
Mimi binafsi nimejaribu kuangalia mwenendo wa watanzania, elimu yetu na kujua lugha ya kimataifa (Kiingereza) ambaya usipoijua kwa dunia hii ya sasa basi unapoteza fursa nyingi sana hapa duniani na kuonekana mtu ambaye hujasoma (kukaza) (,"kitu ambacho sio kweli kwa upande mwingine")
Kwanza kabisa wote tunajua kuwa Tanzania lugha yake ya taifa ni kiswahili, hivyo basi, kabla ya kiswahili kuna lugha ya kikabili ambayo huanza kutumia (kiha, kisukuma, kipare n. K).
-Hio ndio lugha ya kwanza kabisa Mtoto anayokutana nayo katika hatua za ukuaji, kumbaka mtoto anapokuwa na umri wa miaka (0-10) anakuwa na uwezo mkubwa wa kujifunza lugha yoyote (hata kihind, kikorea, kiarabu n. K) na kuongea kiurahisi sana bila kutumia nguvu yeyote. Anavyozidi kukua anazidi kupoteza uwezo kujifunza lugha mpya, hapa inabidi atumie mbinu mbalimbali (more practices), japo lugha mama hatoweza kuisahau.
Maisha yetu watanzania, Mtoto anazaliwa lugha ya kwanza kisukuma, hiyo lugha anatumia kama mawasiliano kila sehemu, anakuja kujua kunakishwahili anapoanza darasa la kwanza, (hapa ndipo walimu wanafanya kazi ya kuwambia watoto speak kiswahili). watu wa kijijini hapa watanielewa, miaka yote saba anasoma masomo kwakiswahili anamaliza la saba (15year) kiingereza hajui.
-Anaanza form one ndio anakutana na speak english, (kumbuka huu ni wakati ambao binadamu yeyote inamuwia ngumu sana kujua lugha unless otherwise awe ana practice more frequence kuongea na wenzake), mbaya zaidi hana hao wenzake wa kuongea nao, hata wakitoka shule nyumbani ni kuongea kilugha +kiswahili (kwa mbali, kijijin wanajua). Anakalili masomo, physics, chemistry, civics anafaulu huyoo advance.
Advance hawafundishi kuongea kiingereza, anakalili huko shaaa one ya pcb hadi chuo, chuo hakuna kukosoana hujui Kiingereza, unakalili madesa ya lecture shwaaaa gpa kalii 4.6, shaa unaomba kazi secta yeyote unapata shavu, huko ndiko unaenda kukumbuka kuwa lugha ya Kiingereza hujui.
hayo ndio maisha halisi ya wasomi wetu Tanzania. lugha ya Kiingereza bado ni tatizo.Lugha ya Kiingereza itaendelea kuwa tatizo tu. Hakuna namna, hakuna solution, kama unasolution weka hapa
Sahv over 95% ya vijiji Tz ukiongea kiswahili unaeleweka..Hizo lugha mama zinapotea,na wataozipoteza ni hawa watoto wa sahivi... Mimi kama Mimi wazazi wangu walihamia miaka ile kutoka BK kuja Mwanza.Nimezaliwa na kukulia Mwanza hapohapo.Tena pale mjini,mitaa ya Uhuru. Wazazi wangu walienda na Mimi BK siku za sikukuu na penyewe 1 week tunageuza.Hivyo mimi ni kiswahili tu toka nakua hadi hapa nilipo.Nawasilianaje kwa kihaya sasa hapo? Ukinisema nakuelewa ila kukujibu ndo siwezi.Sasa hawa watoto wa karne hii Mama Mzigua,Baba Mhaya wanajulia wapi lugha zao hizi?Hao ni wachache kati ya kundi kubwa lililopo Tanzania
Inaelekea wewe haujafika vijijini, vijijini kiswahili hakipo na watoto kiswahili kinaishia shule wakifika nyumbani ni kikwao tu, tumeshuhudia kwenye mkutano ya viongozi wanakuwepo watu wa kutafsiri.Sahv over 95% ya vijiji Tz ukiongea kiswahili unaeleweka..Hizo lugha mama zinapotea,na wataozipoteza ni hawa watoto wa sahivi... Mimi kama Mimi wazazi wangu walihamia miaka ile kutoka BK kuja Mwanza.Nimezaliwa na kukulia Mwanza hapohapo.Tena pale mjini,mitaa ya Uhuru. Wazazi wangu walienda na Mimi BK siku za sikukuu na penyewe 1 week tunageuza.Hivyo mimi ni kiswahili tu toka nakua hadi hapa nilipo.Nawasilianaje kwa kihaya sasa hapo? Ukinisema nakuelewa ila kukujibu ndo siwezi.Sasa hawa watoto wa karne hii Mama Mzigua,Baba Mhaya wanajulia wapi lugha zao hizi?
Ni kweli mwishowe mtu anakuwa kiongozi Mkubwa halafu anashindwa hata kuhudhulia mikutano ya kimataifa....... hahahahahahahsasa hapa wizara ya elimu inatakiwa iangalie uwezekano wa kutatua tatizo, dunia ya sasa bila kiingereza jamani utaibika tu hata uwe na pesa kiasi gani