LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Hapo mwanzo walikuwa ni wanyenyekevu na wenye nidhamu na ndoa zao. Walipopata fedha kiburi kikainuka wakawa hawana heshima na ndoa zao wanazitia majaribuni wapendavyo.
Hawafahamu kuwa nyimbo zao za mwanzo watu walizipenda sana lakini za siku hizi hata wafanye collabo na nani mkubwa hakuna mwenye hamu ya kusikiliza nyimbo za mwimbaji aliyeiasi ndoa yake.
Wanaonekana ni vituko tu kwa waliokuwa wanapenda nyimbo zao. Kuimba nyimbo za injili si mchezo yale ni maadili lazima uishi katika maadili hayo yaani kulinda ushuhuda mwanzo hadi mwisho