Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kwa kawaida tajiri wa kiislamu akijenga msikiti huwa inakuwa habari kiasi kwamba hata mtu asiye muislamu atajua.Hapo hajazingatia. Ila wastani unaonyesha muislam mmoja tajiri anaweza kujenga misikiti 5, ila tajiri mmoja mkristo anaweza kutoa 20K mchango wa majengo ili asijulikane anapesa wakamsumbua.
Katika ukristu hiki kitu kipo kwa baadhi ya makanisa Ila mfano RC ni nadra sana kwa sababu sadaka ni SIRI...
Na ukitaka kujua kuwa wakristu wanatoa, usisali kwenye vigango vyetu hivi, sadaka ikifika milioni mbili watu wanashangilia. Nenda st peters au sehemu za kishua. Sadaka kukunja milioni 20 kwa misa moja ni kawaida. Sasa hapo utajua kuwa watu hutoa kiasi gani na usishangae ujenzi au maintenance ya kanisa ambayo ni ghali zaidi ikafanikishwa kirahisi bila wewe kujua ni nani kafanikisha
Kwa hiyo, katika ukristu si rahisi kujua sababu Sadaka ni SIRI