Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan.
Na hawa ni waislam wenzao
 
this is SUDAN
 
Attachments

  • 469B417B-8D4C-4CA0-A78E-AA2C7987F66F.jpeg
    469B417B-8D4C-4CA0-A78E-AA2C7987F66F.jpeg
    49.2 KB · Views: 4
Ni wanafiki, wanajipendekeza kwa waarabu wa mashariki ya kati wakati waislam wenzao wa sudan wanafanyiwa unyama
 
Hutapata majibu mzee. Miafrika ni bure kabisa. Hapa Congo kila siku watu wanauawa watu tuko bize na Palestine.
kuna huyu Ritz anaweza akaandika hata kurasa 100 za hamas kwa siku lakini huwezi kukuta kaandika kuhusu watu mili 7 waliouliwa DRC au maelf wa sudan
 
Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan.
Na hawa ni waislam wenzao

View: https://x.com/YASIR_MOS91/status/1796253556606963933

Islam mdugu yake ni Islam hivyo si vizuri kuingilia ugomvi wavwana ndugu sababu wakichoka watarudi kwenye wuran ambaye inawaelekeza jinsi ya kupatana.
Wapalestina tunawatetea sababu wanayegombana naye siyo ndugu yao ndiyo maana tunaungana na ndugu zetu Maislam ya Palestina kuyapinga Mayahudi.
 
Back
Top Bottom