Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Jun 18, 2024 #21 Ukraine na Russia wote si wagalatia
Technophilic Pool JF-Expert Member Joined Jan 18, 2024 Posts 2,597 Reaction score 3,965 Aug 1, 2024 Thread starter #22 Accumen Mo said: KUndi la liberal ndio linapambana ndio ujinga wa mwafrica. Click to expand... Yaan utakao wakuta wanalaumu ni watu wengine kabisa
Accumen Mo said: KUndi la liberal ndio linapambana ndio ujinga wa mwafrica. Click to expand... Yaan utakao wakuta wanalaumu ni watu wengine kabisa
Technophilic Pool JF-Expert Member Joined Jan 18, 2024 Posts 2,597 Reaction score 3,965 Aug 1, 2024 Thread starter #23 mnyonge wa hali ya chini said: Hao waislamu wa hapo Sudani wao hawatuletei ngamia na tende acha wafe tu. Click to expand... πππ
mnyonge wa hali ya chini said: Hao waislamu wa hapo Sudani wao hawatuletei ngamia na tende acha wafe tu. Click to expand... πππ
ujoka JF-Expert Member Joined Nov 27, 2014 Posts 4,792 Reaction score 11,295 Aug 1, 2024 #24 LOTH HEMA said: Ni wanafiki, wanajipendekeza kwa waarabu wa mashariki ya kati wakati waislam wenzao wa sudan wanafanyiwa unyama Click to expand... hapo mpaka wauwaji wangekua infidels wamerekan au ulaya ndio ungesikia milio wanazinguliwa kinoma india burma au china huko hutowasikia wakilalamika
LOTH HEMA said: Ni wanafiki, wanajipendekeza kwa waarabu wa mashariki ya kati wakati waislam wenzao wa sudan wanafanyiwa unyama Click to expand... hapo mpaka wauwaji wangekua infidels wamerekan au ulaya ndio ungesikia milio wanazinguliwa kinoma india burma au china huko hutowasikia wakilalamika
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Aug 1, 2024 #25 Angalia kundi la vijana kwa maelfu waliopania kuingia bara ulaya kwa njia yoyote ile.....Unafikiri unaweza kuwashauri wakakuelewa? Hii ni biashara kubwa, biashara ya utumwa inayofadhiriwa ma mashirika ya kimataifa. mass migration of african youth to Europe - Suchen Videos www.bing.com
Angalia kundi la vijana kwa maelfu waliopania kuingia bara ulaya kwa njia yoyote ile.....Unafikiri unaweza kuwashauri wakakuelewa? Hii ni biashara kubwa, biashara ya utumwa inayofadhiriwa ma mashirika ya kimataifa. mass migration of african youth to Europe - Suchen Videos www.bing.com