Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Nakfa

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
12,104
Reaction score
16,477
15727280_1370998419608308_7316943132325632014_n.jpg

Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
 
Hata mwaka mpya hawasheherekei

SABABU ZA KUTOFAA MUISLAM KUSHIRIKI KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA
1- Ni itikadi ya kufa kwa Yesu( hii ni kinyume na iman ya kiislam kwani yesu hajafa)
2- Hata ingekua si hivyo, siku ya kidini huisha pale linapozama jua ( saa 12 mara nyingi) na si saa sita usiku kama inavyoaminika na wengi
3- Kama ni kuisha kwa mwaka, ni pamoja na umri kupungua, ni jambo la ajabu umri wa mtu kupungua umauti kukaribia kisha akashangilia na kupiga makelele, hii ni pamoja na kusherehekea siku ya kuzaliwa.

Tudumishe aman upendo na kujali utu
 
Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.

Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.

Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti.

Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
 
Ndio maana hata doctors huwa hawaamini mtu anapozimia halafu waliomleta wanasema alizimia zaidi ya saa nzima
Wakati ukweli huyo angekuwa kafa kabisa
Turudi kwenye mada hapo kwenye 99.9%
Wakati mimi na familia yote tukiwa ndugu wote zaidi ya 40 hatukusherehekea hiyo asilimia 99.9% unaigawaje?
Mpaka sasa sijapata hata msg moja ya heri ya mwaka mpya kutoka kwa waislam
Kwa mimi sioni tofauti ya siku zaidi ya kuona mvi tu kichwani

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waisla.
Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudi.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Naaaam, sahihi

"Haikuwa uhai wa dunia ila ni upuuzi na starehe fupi na zenye kupumbaza" Qur an

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Marko : Mlango 8
36 Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
 
Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.
Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Kwanini idadi kubwa ya watu waliopo magereza ni Waislam?
 
View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Niliuliza hili baada ya kuona tamasha la vichekesho huko Zanzibar sikujibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mwaka mpya hawasheherekei
Una uhakika? Ama nikuonyeshe nchi za kiarabu zilivyoupokea mwaka mpya?

SABABU ZA KUTOFAA MUISLAM KUSHIRIKI KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA
1- Ni itikadi ya kufa kwa Yesu( hii ni kinyume na iman ya kiislam kwani yesu hajafa)
Mwaka mpya sio itikadi ya kufa kwa Yesu mwaka mpya ulianza wakati wa Christian Era itikadi ya kufa kwa Yesu Kristo pamoja na kufufuka kwake Masihi ni Pasaka.
.
Nani alikwambia Yesu hajafa au maandiko gani yanazungumza hivyo?
Kama ni koran nieleze ni nani wa kwenye koran ikiwemo marehemu Muhammad aliwahi kumshuhudia Yesu ama kuwa sehemu yake kwa namna moja ama nyingine

2- Hata ingekua si hivyo, siku ya kidini huisha pale linapozama jua ( saa 12 mara nyingi) na si saa sita usiku kama inavyoaminika na wengi
unachanganya madesa Mwaka mpya ni secular holiday.

3- Kama ni kuisha kwa mwaka, ni pamoja na umri kupungua, ni jambo la ajabu umri wa mtu kupungua umauti kukaribia kisha akashangilia na kupiga makelele, hii ni pamoja na kusherehekea siku ya kuzaliwa.

Tudumishe aman upendo na kujali utu
Hivi vyote usherehekeaji wa siku za kuzaliwa na mwaka mpya ni vitu vilivyoanza nyakati za CE na kalenda tuitumiayo imetoka huko.
.
Swali kwako je waislamu wote waTanzania wana dhambi? maana hakuna hata mmoja ambaye hakusherehekea na pilau leo atapika nimepokea salamu za heri ya mwaka mpya kutoka kwa waislamu zaidi ya 50 ila siku ya Krismasi hawakufanya haya
 
Ndugu ndio maana nilisha kwambia ya kwamba kichwa chako kimejaa matope.
Hivi unaweza kutuonesha ni wapi waislam walishaenda msikitini kusali kwa ajiri kuupokea mwaka mpya kama nyinyi mnavyolala makanisani mkisali kwa ajili ya mwaka mpya?
Yaan ww jamaa sijui upataga faida gani unapo kuwa unaanzisha mada zinazo leta hisia za udini.
 
Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.
Mfano kipi unadhani hatukielewi?

Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Wapi kuna hayo yanafanyika?
.
8506495676687783.jpg
hapa ni Riyadh makao makuu ya Saudia wakiukaribisha mwaka mpya na hawa ndio wenye uislamu wenyewe sasa
 
Back
Top Bottom