Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Mimi ni Muislam, mtu pekee aliyenitumia salaam za mwaka mpya ni demu wangu Jesca, mkristo na Eliza, rafiki yake.

Wananifahamu ni mtu wa misimamo. Na najua ninachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
8506495676687783.jpg
riyadh saudia
Ina maana wewe waujua uislamu kuwazidi hawa?
 
Mfano kipi unadhani hatukielewi?


Wapi kuna hayo yanafanyika?
.
View attachment 1309045hapa ni Riyadh makao makuu ya Saudia wakiukaribisha mwaka mpya na hawa ndio wenye uislamu wenyewe sasa
Mbona ww waliokuletea dini yako ndio watetezi wakubwa wa ushoga wakati wewe unajifanya kuupinga .
Ukitaka kiongea jambo fikiria ndugu.
 
وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِ



ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
Huu mstari wa koran bado haujawa translated?
 
Mbona ww waliokuletea dini yako ndio watetezi wakubwa wa ushoga wakati wewe unajifanya kuupinga .
Ukitaka kiongea jambo fikiria ndugu.
Walioleta dini ya Kikristo Tanzania unawajua RTI?
 
Ndugu ndio maana nilisha kwambia ya kwamba kichwa chako kimejaa matope.
Hivi unaweza kutuonesha ni wapi waislam walishaenda msikitini kusali kwa ajiri kuupokea mwaka mpya kama nyinyi mnavyolala makanisani mkisali kwa ajili ya mwaka mpya?
Abdoool acha porojo.
.
Hiyo sherehe ni yetu na huwa tunamshukuru Mungu na kuomba yaliyo mema kwa mwaka unaofuata.
Screenshot_20200101-092342~2.png

Hii ni page rasmi ya asas diaries hawa hata siku moja huwezi kuwaona wamepost merry xmas ila mwaka mpya why?

Yaan ww jamaa sijui upataga faida gani unapo kuwa unaanzisha mada zinazo leta hisia za udini.
Nimeuliza swali RTI kwanini mnasherehekea mwaka mpya nikatoa na aya hapo juu je wewe husherehekei?
.
Gavana abdool mkubwa njoo
 
Back
Top Bottom