Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Halafu mbona mkishindwa huwa mnatazama sana,miandiko ?
Kwani miandiko huwa haifanyi swali likaeleweka,kha,nyie vipi.
Umeshinda kipi V.U?
Mimi naangalia typing errors zako tu
 
M
Zamani sana tulikuwa tunatumia hilo neno 1998 Bwiru sec wewe ulikuwa una miaka mingapi?😝
.
Nashukuru kwa kukubali masahihisho ya Xmas na sio x mas pia bado uko n blunder umeanza na herufi ndogo xmas ni Xmas.
.
Mufti mkuu wa Tanzania hutoa matangazo ya kusherehekea Eid na ndilo hufuatwa na serikali na kufanywa siku ya mapumziko!
Yapo mataifa tunayolingana nayo masaa husherehekea Eid siku moja kabla ya tangazo la Bakwata.
.
Mwenye mamlaka na uislamu Tanzania anaitwa Mufti kapiga marufuku dufu na hiyo amri yake lazima itiiwe, kasema watanzania tusherehekee kwa amani na upendo sherehe za mwaka mpya 2020 na kututakia kheri na fanaka waislamu wote wanapaswa kutii!
.
Mashia ndio huwa mnajifanya kichwa ngumu, Koran inapinga sherehe zenye utamaduni wa magharibi zinaita za kikafiri ikiwemo
1. Birthday (hii ni shirki)
2. Noel (mnasema Yesu hakuzaliwa hiyo tarehe)
3. Mwaka mpya (hii ni shirki)
4. Valentine
.
Kinachonitatiza mimi ni je kama hizi sherehe ni haramu tena kwa mujibu wa hadith na koran kwanini waislamu wanazisherehekea hili ndilo lengo la uzi.
MUFTI HAWEZI KUWATAKIA WATANZANIA KHERI YA NOELI ILA MWAKA MPYA ANASEMA WHY?
Mzee hivi ukristo umeruhusu zinaa? Wakristo wangapi wanazini? Dhambi kufanywa na wengi haiwi halal
 
M

Mzee hivi ukristo umeruhusu zinaa? Wakristo wangapi wanazini? Dhambi kufanywa na wengi haiwi halal
Huu mjadala unaihusu imani ya kiislamu! Wakristo sisi hata dhambi hatuna anzisha uzi nikupe nondo
 
View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Kwani mwaka mpya unaitwa Paulo au Joseph?
Kalenda haina dini waache watu wajimwage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwaka mpya unaitwa Paulo au Joseph?
Kalenda haina dini waache watu wajimwage.

Sent using Jamii Forums mobile app
😝😝😝 una hakika kalenda hazina dini au umekurupuka tu?
Kalenda ya kiislamu na mwaka mpya wao wa muharam unavijua wewe?
.
Hii kalenda unayoitumia leo hadi unajua leo ni tarehe 5 January 2020 unafahamu imetoka wapi?
 
Unapenda ligi zisizo na sababu, hamna dhambi mngekuwa mnapanga foleni kwa wanadamu wenzenu kuungama?
Fungua uzi unaowahusu wakatoliki tuje tujadili maana ndio utaratibu wa kanisa katoliki.
Hapa tunajadili waislamu na kusherehekea mwaka mpya tu
 
Back
Top Bottom