Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Wasipokuelewa na hapa basi ile aya inayosema "hawatokuwa radhi mayahudi na manaswala hadi mfate....."

Yaani
Mkuu najitahidi kuwaelewesha lakini wapi
Mwaka huu naona tumeuanza vizuri bila matusi na kashfa ni jambo la kufurahia pia
Maana huwa sipendi sana mijadala ya dini huwa inapelekea watu kutukanana sana
Asante Mkuu naona niishie hapo kujibu hoja
Kama wanasiasa wana usemi wao “mimi sio msemaji” [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mkuu ukiangalia majina na maneno hata neno Swahili ni la kiarabu
Maneno mengi sana ya kiswahili ni ya kiarabu au kihindi
Hata Xmas sio la kiswahili Mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Sikatai yapo maneno ya kiarabu, kireno, kijerumani, kiingereza kwenye lugha yetu, ila kuna vitu vingi vyenye majina ya kibantu ambavyo haina haja kutumia lugha za watu, mfano mwaka mpya tayari una jina lake la kibantu, iweje nyie mnauita tena kwa kiarabu sasa
Yaani kitu kina neno la kiswahili tayari nyie mnaita kwa kiarabu?
 
View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Hata nyinyi mnaojiita wakristu wengi wenu mnaoongozwa na akili za watu wachache lakini mnajiona superior sana.
 
Sikatai yapo maneno ya kiarabu, kireno, kijerumani, kiingereza kwenye lugha yetu, ila kuna vitu vingi vyenye majina ya kibantu ambavyo haina haja kutumia lugha za watu, mfano mwaka mpya tayari una jina lake la kibantu, iweje nyie mnauita tena kwa kiarabu sasa
Yaani kitu kina neno la kiswahili tayari nyie mnaita kwa kiarabu?

Daaa mkuu sasa haya maneno ya kiarabu kama Eid yanatumika kwa waislam 2B na ushee duniani kote na sio Tanzania tu kama unavyofikiria
Hiyo inasaidia duniani kote ukisema tu today is Eid waislam wanakuelewa wote kwa ujumla
Hata neno Xmas na Mexico wanaliita hivyo hivyo ili muelewane tu
Ni mambo ambayo yamekuwepo tangu enzi na mimi na wewe hatuwezi kubadilisha mkuu
Have a nice day buddy

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huna hela wewe sadaka zako hizo za mia mbili mia mbili zitajenga nini zaidi masheikh wakanunulie maandazi au gahawa.
.
Wajenzi wa misikiti Tanzania nzima wanafahamika lazima media ya kiislamu itakuja kuripoti huo uzinduzi na tena mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa hizo media sijui Tv iman na nyingine
Hukuna limitations ya kutoa sadaka Mungu anapokea sadaka ndogo pia anapokea sadaka kubwa
Mungu humlipa mtu kutokana na uwezo wake wa kimali sasa Mimi huwezi kunilinganisha na wengine

Kipato changu kidogo na sadaka natoa kidogo,nikiwa na kipato kikubwa na sadaka nitatoa kubwa
Sasa povu la nini Mkuu
 
Mufti mkuu wa Tanzania unamzidi nini kwenye hiyo dini?
.
Yeye aliwatakia watanzania heri ya mwaka mpya wewe nani unapinga?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzeee wa taifa la kikristu

Hivi kwanini msuva kaenda kucheza morroco?

Sent using Jamii Forums mobile app
Simon Hapygod Msuva ni mchezaji wa mpira sio muhibiri swali la kijinga sana hili.
Yuko kule kwa maslahi yake na familia yake na taifa kwa mbaaaali ila sio ya dini uliza maswali ya maana.
 
Mufti mkuu wa Tanzania unamzidi nini kwenye hiyo dini?
.
Yeye aliwatakia watanzania heri ya mwaka mpya wewe nani unapinga?
Hanizidi wala simzidi
Dini ni matendo siyo cheo
Sasa umesha sema amewatakia heri ya mwaka mpya watanzania

Ingekuwa kawatakia heri ya mwaka mpya Waislamu wa Tanzania hapo tungeendelea na mjadala
 
Yes I do! But in islamic way
Is celebrating birthday not a western (kafir) culture?
.
Mufti mkuu wa tanzania alituwish heri ya mwaka mpya
 
Wapo wengi tu
Nasema hivyo kwa sababu nimeona ila kwa takwimu sijui na siwezi kutoa ushahidi huo
Dini ni kufuata yaliokubaliwa na kuacha yaliyokatazwa ni hilo tu
Wanaofanya yao ni wao na kila mtu atabeba thawabu zake na dhambi zake Mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwa hiyo mufti mkuu ni mjinga kuwatakia watanzania heri ya mwaka mpya?
 
Hanizidi wala simzidi
Dini ni matendo siyo cheo
Sasa umesha sema amewatakia heri ya mwaka mpya watanzania

Ingekuwa kawatakia heri ya mwaka mpya Waislamu wa Tanzania hapo tungeendelea na mjadala
Kututakia heri ya mwaka mpya ni inshara ya kuitambua. Mashia siku ya Noel walifanya hadi press conference ina maana wanaitambua.
.
Je ni halali kwa kiongozi mkubwa kama mufti kusherehekea sherehe mnazoziita za kikafiri?
Kama mufti anaitambua ina maana si jambo baya au unasemaje?
 
Is celebrating birthday not a western (kafir) culture?
.
Mufti mkuu wa tanzania alituwish heri ya mwaka mpya
Mzee ubongo wako unamatatizo sio bure, mtume wetu alikuwa ikifika siku yake ya kuzaliwa kwanza anafunga pili anashinda akisoma qur an tukufu nami ndicho nafanya, kuhusu mufti sasa mimi nifanyeje ikiwa yeye ni mwanadamu kama mimi na anamapungufu yake kama mimi nilivyo na mapungufu yangu, au unahisi mufti hakosei? Au mufti unazani anachaguliwa na Mungu?
 
View attachment 1309109
Sijahukumu uislamu nimeuliza swali kwanini ninyi waislamu wa Tz mnasherehekea mwaka mpya wa kalenda ya Gregory ilihali mna yenu?
Ni swali rahisi sana
.
Huyo ni diamond akizindua msikiti Kigoma je kama mnaweza kuukubali huo msikiti na mafundisho yenu yanapinga utakataa hamsherehekei mwaka mpya wa Gregorian? Come on buddy
Mkuu samahani lakini naona uwezo wako wa kufikili ni mdogo au unafanya makusudi katika uislamu huo mwaka mpya haupo na hatuja ambiwa tuusheelekee,ndio maana hakuna kiongozi hata mmoja wa kiislam aliyetangaza kusheelekea huo mwaka.pombe ni haram kwa waislam ila wapo waislamu wanakunywa hayo ni matwakwa yao.pia ukiona muislam anafanya kitu ambacho kimeharamishwa kwa waislamu ujue hayo ni matakwa ya watu binasfi sio UISLAM .usilazimeshe nyeusi kuwa nyeupe.

Thank you
Hapo kama hataki kuelewa ni kutafuta ligi tu
Watu tunajifunza na kutoa hoja bila kejeli wala matusi
Kama mtu anatafuta ubishi ni vizuri kumuelimisha
Beside kuna watu sio kuwa wanataka kujifunza laa bali ni kutaka tu kukashifu
Mijadala hii ingekuwa ni bora kama tunajifunza na si vinginevyo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kututakia heri ya mwaka mpya ni inshara ya kuitambua. Mashia siku ya Noel walifanya hadi press conference ina maana wanaitambua.
.
Je ni halali kwa kiongozi mkubwa kama mufti kusherehekea sherehe mnazoziita za kikafiri?
Kama mufti anaitambua ina maana si jambo baya au unasemaje?
Mufti kawatakia heri ya mwaka mpya ila hajasema anawatakia heri waislam wa Tanzania sasa kipi ambacho hukielewi!
Mimi mwenyewe Ndugu zangu,jamaa zangu,marafiki zangu wasio waislam niliwatakia heri ya mwaka mpya
Na walinialika kwenye pilau na nimekula na kunywa
Yote ni kudumisha Amani na upendo kwenye jamii yangu inayonizunguka

Mtu kumtakia heri mwingine ni kudumisha Amani na mshikamano
 
Back
Top Bottom