Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Hivi unafahamu kwamba Saudia kuna Mashehe wanafungwa na kuuliwa kwa kuikosoa serikali ya kifalme ya Saudia.
Halafu nani kakwambia kama Saudia inaongoongozwa kwa sheria kamili ya kiislamu ?
Nani kakkwambia kwamba Saudia ni taifa takatifu la kiislam?
Fuatilia kwanza mambo kabla ya kuzungumza.
Je hilo taifa ni secular? Linaongozwa na sheria za kisecular?
.
Je Saudia sio nchi takatifu kwa waislamu?
Muhammad enzi za uhai wake alisema Adam na Eva walivyotenda dhambi walishushwa maka haulifahamu hilo?

Kiwakilishi cha uislamu ni nini kama sio hiyo miji?
Miskiti yote duniani imeelekea maka nionyeshe msikiti ambao umeelekea Yerusalem

Israel sio taifa la Kikristo wala la Kiyahudi ni secular labda mpaka pale atakapoondoka Netanyahu.
.
Ila Saudia na UAE ni mataifa 100% ya kiislamu na yanayoongozwa kwa sheria na taratibi za kiislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kiswahili hukielewi? Kiingereza hukielewi? Nimepost kwa kiarabu kwa vile hizo lugha zote mbili zilishapostiwa, tusipangiane.
Mbona mnpost sana maandishi ya kiarabu mnayo google? Mi naandika mwenyewe.
حَيَوَان وَاحِد.

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
Nimecheka sana,"hayawani waheda"mwehu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi ?
ushahidi kwa mujibu wa dini si kwa mujibu wa mufti.
Mufti na wewe nani ni kiongozi wa waislamu Tanzania?
Mwezi ukiandama leo mufti akasema eid ni kesho kutwa na sio kesho utabisha?
 
Hivi unafahamu kwamba Saudia kuna Mashehe wanafungwa na kuuliwa kwa kuikosoa serikali ya kifalme ya Saudia.
Halafu nani kakwambia kama Saudia inaongoongozwa kwa sheria kamili ya kiislamu ?
Nani kakkwambia kwamba Saudia ni taifa takatifu la kiislam?
Fuatilia kwanza mambo kabla ya kuzungumza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitafute ukamilifu duniani!
Taifa lolote duniani lina Conservatives na liberals kaa ufahamu hilo.
.
Saudia inaongozwa na secular law au sharia?
 
Hata timu ya Taifa ya wanawake waislam ni wengi, kwa ujumla kwenye kila kitu waislam ni wengi isipokuwa serikalini tu kwasababu ya FIGISU.

Sent using Jamii Forums mobile app
😝😝😝 nyie ndio huwa mnashabikia jambo fulani kwa sababu watu wenye majina ya dini fulani ni wengi upumbavu tu.
.
Una hakika hao ni waislamu au wana majina ya kiarabu tu?
Uislamu unazungumza nini kuhusu wanawake wakaa kichwa wazi?
Nikupe picha uwaone saudia na iran wanawake wakiwa wanatumikia timu zao za taifa wamevaaje?
 
Mufti kawatakia heri ya mwaka mpya ila hajasema anawatakia heri waislam wa Tanzania sasa kipi ambacho hukielewi!
Mimi mwenyewe Ndugu zangu,jamaa zangu,marafiki zangu wasio waislam niliwatakia heri ya mwaka mpya
Na walinialika kwenye pilau na nimekula na kunywa
Yote ni kudumisha Amani na upendo kwenye jamii yangu inayonizunguka

Mtu kumtakia heri mwingine ni kudumisha Amani na mshikamano
Ngoja nipime uelewa wako in a very simple way.
.
Wakati wa Noel uliwatakia marafiki zako Wakristo heri ya Noel na kujumuika nao kula hilo pido na kunywa?
 
Mkuu samahani lakini naona uwezo wako wa kufikili ni mdogo au unafanya makusudi katika uislamu huo mwaka mpya haupo na hatuja ambiwa tuusheelekee,ndio maana hakuna kiongozi hata mmoja wa kiislam aliyetangaza kusheelekea huo mwaka.pombe ni haram kwa waislam ila wapo waislamu wanakunywa hayo ni matwakwa yao.pia ukiona muislam anafanya kitu ambacho kimeharamishwa kwa waislamu ujue hayo ni matakwa ya watu binasfi sio UISLAM .usilazimeshe nyeusi kuwa nyeupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mufti mkuu wa Tanzania sio sheikh wala ostadh hukumuona TBC1?
Kama yeye alisema tusherehekee kwa amani na upendo na kushauri mambo kadha wa kadha umepata wapi ujasiri wa kusema hakuna kiongozi wa dini yenu aliyetangaza kusherehekea?
.
Mimi na wewe mpaka hapa nani ana uwezo mdogo wa kufikiri?
Btw
Unaitwa ganster = gangster waombe mods urekebishiwe Muhammad mbaya sana aisee na wewe shule hujakwenda
 
That’s a hash word
Hata mimi nakutakia heri ya mwaka mpya Kinachokatazwa ni sherehe

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hii ni shirki kwa mujibu wa imani yako!
Sniper muislamu anaweza kusema Merry Christmas?
.
Kama ni ndio nakupa mipicha kibao ikionyesha kusema hivyo tu nikosa
 
Mzee ubongo wako unamatatizo sio bure, mtume wetu alikuwa ikifika siku yake ya kuzaliwa kwanza anafunga pili anashinda akisoma qur an tukufu nami ndicho nafanya, kuhusu mufti sasa mimi nifanyeje ikiwa yeye ni mwanadamu kama mimi na anamapungufu yake kama mimi nilivyo na mapungufu yangu, au unahisi mufti hakosei? Au mufti unazani anachaguliwa na Mungu?
Hahaha hata uislamu huujui dooooh!
.

Celebrating birthdays is not allowed
what is the evidence on celebrating birthdays,is it allowed in islam???
The evidence in the Qur’aan and Sunnah indicates that celebrating birthdays is a kind of bid’ah or innovation in religion, which has no basis in the pure sharee’ah. It is not permitted to accept invitations to birthday celebrations, because this involves supporting and encouraging bid’ah. Allaah, may He be glorified and exalted, says (interpretation of the meaning):“Or have they partners with Allaah (false gods) who have instituted for them a religion which Allaah has not allowed…?” [al-Shoora 42:21]“Then We have put you (O Muhammad) on a plain way of (Our) commandment. So follow that, and follow not the desires of those who know not. Verily, they can avail you nothing against Allaah (if He wants to puish you). Verily, the zaalimoon (wrongdoers) are awliyaa’ (protectors, helpers, etc.) to one another, but Allaah is the Wali (Protector, Helper) of the muttaqoon (pious).” [al-Jaathiyah 45:18-19]“Follow what has been sent down unto you from your Lord, and follow not any awliyaa’ (protectors, helpers, etc.) besides Him. Little do you remember!” [al-A’raaf 7:3]According to saheeh reports, the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Whoever does something that is a not part of this matter of ours (i.e., Islam) will have it rejected” (reported by Muslim in his Saheeh); and “The best of speech is the Book of Allaah and the best of guidance is the guidance of Muhammad (peace and blessings of Allaah be upon him). The most evil of things are those which have been newly invented (in religion), and every innovation is a going astray.” There are many other ahaadeeth that convey the same meaning.Besides being bid’ah and having no basis in sharee’ah, these birthday celebrations also involve imitation of the Jews and Christians in their birthday celebrations. The Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said, warning us against following their ways and traditions: “You would follow the ways of those who came before you step by step, to such an extent that if they were to enter a lizard’s hole, you would enter it too.” They said, “O Messenger of Allaah, (do you mean) the Jews and Christians?” He said, “Who else?” (Reported by al-Bukhaari and Muslim). The Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) also said: “Whoever imitates a people is one of them.”(/font>
Fataawa Islamiyyah, 1/115

Reply

Upvote

Mehreen Qaaf
Mehreen Qaaf

Feb 27, 2016 · 1 upvote
Again, an excellent and on-point answer.

Reply

Upvote

Abu Ubaydah Ayub
Abu Ubaydah Ayub

Jun 9, 2017
assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakaatuh, dear sister in islam, i want you to know that its is un-islamic to celebrate birth days,
what every age a man is going to spend on earth has already been written while he was in the womb of his mother as can be seen from the following hadith..
Abdullah ibn Mas’ud reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, narrated to us, for he is the truthful and the trusted, “Verily, the creation of each one of you is brought together in his mother’s womb for forty days as a drop, then he is a clot for a similar period, then a morsel for a similar period, then there is sent to him the angel who blows the spirit into him and he is commanded regarding four matters: to write down his provision, his life span, his deeds, and whether he is happy or miserable. By Allah other than whom there is no God, one of you acts like the people of Paradise until he is but an arm’s length from it, and what is written overtakes him so he acts like the people of Hellfire and he enters it. Verily, one of you acts like the people of Hellfire until he is but an arm’s length from it, and what is written overtakes him so he acts like the people of Paradise and he enters it.”
Source: Sahih Bukhari 7016, Sahih Muslim 2643
Grade: Muttafaqun Alayhi (authenticity agreed upon) according to Al-Bukhari and Muslim
from the above hadith,it is clear that man has a designated time to spend on earth, and as such if he is celebrating his discounts as birthdays, that means he is celebrating his closeness to his grave because once a man advances in age, he is termed to be using up his life span and getting closer to death.
the sahabah of the holy prophet sallallahu alayhi wasallah never took part in this celebration neither theirs nor that of the prophet muhammad.
All idea came from the kuffar and the prophet sallallahu alayhi wasallam had said that we should not imitate the people in an un-islamic acts as could be seen in the followig hadith….
Ibn Umar reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Whoever imitates a people is one of them.”
Source: Sunan Abu Dawud 4031
Grade: Hasan (fair) according to Ibn Hajar.
I want to believe that we all know the genesis of birthday celebrations, of course its not from an islamic origin but from the western counterparts.
may Allah make it easy for us to avoid bid’ah and be steadfast in adopting the sunnah of our beloved prophet sallallahu alayhi wasallam

Kusherehekea birthday ni western culture!
Noeli ni western culture!
Mwaka mpya ni western culture!
 
Hii ni shirki kwa mujibu wa imani yako!
Sniper muislamu anaweza kusema Merry Christmas?
.
Kama ni ndio nakupa mipicha kibao ikionyesha kusema hivyo tu nikosa

Nimekuelewa vizuri kuwa ni shirk kwani sio utamaduni wa muislam
Mimi sioni sababu ya malumbano katika dini kwani huwa inaleta kashfa, kejeli na matusi
Tuishi kwa amani na kila mtu afuate anachoamini wapo ambao kuzika kwao ni haram bali kuchoma ndio imani
Lakini siwezi kuwakebehi kwa imani yao
Imani ni very sensitive matter na ndio maana huwa tunajaribu kuikimbia mijadala kama hii
Naomba unielewe kwa hilo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hizi sherehe hazina maana ni upagani tu hata wakristo hawajielewi sherehe pekee unayoweza kusherehekea ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa labda
 
Hahaha hata uislamu huujui dooooh!
.

Celebrating birthdays is not allowed
what is the evidence on celebrating birthdays,is it allowed in islam???
The evidence in the Qur’aan and Sunnah indicates that celebrating birthdays is a kind of bid’ah or innovation in religion, which has no basis in the pure sharee’ah. It is not permitted to accept invitations to birthday celebrations, because this involves supporting and encouraging bid’ah. Allaah, may He be glorified and exalted, says (interpretation of the meaning):“Or have they partners with Allaah (false gods) who have instituted for them a religion which Allaah has not allowed…?” [al-Shoora 42:21]“Then We have put you (O Muhammad) on a plain way of (Our) commandment. So follow that, and follow not the desires of those who know not. Verily, they can avail you nothing against Allaah (if He wants to puish you). Verily, the zaalimoon (wrongdoers) are awliyaa’ (protectors, helpers, etc.) to one another, but Allaah is the Wali (Protector, Helper) of the muttaqoon (pious).” [al-Jaathiyah 45:18-19]“Follow what has been sent down unto you from your Lord, and follow not any awliyaa’ (protectors, helpers, etc.) besides Him. Little do you remember!” [al-A’raaf 7:3]According to saheeh reports, the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Whoever does something that is a not part of this matter of ours (i.e., Islam) will have it rejected” (reported by Muslim in his Saheeh); and “The best of speech is the Book of Allaah and the best of guidance is the guidance of Muhammad (peace and blessings of Allaah be upon him). The most evil of things are those which have been newly invented (in religion), and every innovation is a going astray.” There are many other ahaadeeth that convey the same meaning.Besides being bid’ah and having no basis in sharee’ah, these birthday celebrations also involve imitation of the Jews and Christians in their birthday celebrations. The Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said, warning us against following their ways and traditions: “You would follow the ways of those who came before you step by step, to such an extent that if they were to enter a lizard’s hole, you would enter it too.” They said, “O Messenger of Allaah, (do you mean) the Jews and Christians?” He said, “Who else?” (Reported by al-Bukhaari and Muslim). The Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) also said: “Whoever imitates a people is one of them.”(/font>
Fataawa Islamiyyah, 1/115
Reply
Upvote

Mehreen Qaaf
Mehreen Qaaf

Feb 27, 2016 · 1 upvote
Again, an excellent and on-point answer.
Reply
Upvote

Abu Ubaydah Ayub
Abu Ubaydah Ayub

Jun 9, 2017
assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakaatuh, dear sister in islam, i want you to know that its is un-islamic to celebrate birth days,
what every age a man is going to spend on earth has already been written while he was in the womb of his mother as can be seen from the following hadith..
Abdullah ibn Mas’ud reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, narrated to us, for he is the truthful and the trusted, “Verily, the creation of each one of you is brought together in his mother’s womb for forty days as a drop, then he is a clot for a similar period, then a morsel for a similar period, then there is sent to him the angel who blows the spirit into him and he is commanded regarding four matters: to write down his provision, his life span, his deeds, and whether he is happy or miserable. By Allah other than whom there is no God, one of you acts like the people of Paradise until he is but an arm’s length from it, and what is written overtakes him so he acts like the people of Hellfire and he enters it. Verily, one of you acts like the people of Hellfire until he is but an arm’s length from it, and what is written overtakes him so he acts like the people of Paradise and he enters it.”
Source: Sahih Bukhari 7016, Sahih Muslim 2643
Grade: Muttafaqun Alayhi (authenticity agreed upon) according to Al-Bukhari and Muslim
from the above hadith,it is clear that man has a designated time to spend on earth, and as such if he is celebrating his discounts as birthdays, that means he is celebrating his closeness to his grave because once a man advances in age, he is termed to be using up his life span and getting closer to death.
the sahabah of the holy prophet sallallahu alayhi wasallah never took part in this celebration neither theirs nor that of the prophet muhammad.
All idea came from the kuffar and the prophet sallallahu alayhi wasallam had said that we should not imitate the people in an un-islamic acts as could be seen in the followig hadith….
Ibn Umar reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Whoever imitates a people is one of them.”
Source: Sunan Abu Dawud 4031
Grade: Hasan (fair) according to Ibn Hajar.
I want to believe that we all know the genesis of birthday celebrations, of course its not from an islamic origin but from the western counterparts.
may Allah make it easy for us to avoid bid’ah and be steadfast in adopting the sunnah of our beloved prophet sallallahu alayhi wasallam

Kusherehekea birthday ni western culture!
Noeli ni western culture!
Mwaka mpya ni western culture!
Ok, kama kusherehekea ni haramu iweje sasa useme mbona mufti kafanya hivi ama kafanya vile? Mimi ni mwanadamu ninamadhaifu yangu ila madhaifu yangu yasihalalishe aliyoharamisha ALLAH, sijui kama umenipata
 
Mufti na wewe nani ni kiongozi wa waislamu Tanzania?
Mwezi ukiandama leo mufti akasema eid ni kesho kutwa na sio kesho utabisha?
Jibu swali,Mufti huwa atangazi mwezi kwa maamuyzi yake,anatangaza mwezi kwa mujibu wa kalenda ya kiislamu na taratibu za kiislamu,siyo nje ya hapo.
Mufti siyo kitabu cha Qurani wala sheria ya dini ya kiislamu,mufti ni sehemu ya viongozi wa dini ya kiislamu.
Swali langu lipo palepale,wapi uislamu umeruhusu x mas ?
 
X mas = Xmas
V.U muwe na akili
 
Halafu mbona mkishindwa huwa mnatazama sana,miandiko ?
Kwani miandiko huwa haifanyi swali likaeleweka,kha,nyie vipi.
 
Acha utoto.
Wapi uislamu umeruhusu xmas ?
Acha ushamba wa kimaandishi,jibu swali,au hii lugha hujaielewa
Zamani sana tulikuwa tunatumia hilo neno 1998 Bwiru sec wewe ulikuwa una miaka mingapi?😝
.
Nashukuru kwa kukubali masahihisho ya Xmas na sio x mas pia bado uko n blunder umeanza na herufi ndogo xmas ni Xmas.
.
Mufti mkuu wa Tanzania hutoa matangazo ya kusherehekea Eid na ndilo hufuatwa na serikali na kufanywa siku ya mapumziko!
Yapo mataifa tunayolingana nayo masaa husherehekea Eid siku moja kabla ya tangazo la Bakwata.
.
Mwenye mamlaka na uislamu Tanzania anaitwa Mufti kapiga marufuku dufu na hiyo amri yake lazima itiiwe, kasema watanzania tusherehekee kwa amani na upendo sherehe za mwaka mpya 2020 na kututakia kheri na fanaka waislamu wote wanapaswa kutii!
.
Mashia ndio huwa mnajifanya kichwa ngumu, Koran inapinga sherehe zenye utamaduni wa magharibi zinaita za kikafiri ikiwemo
1. Birthday (hii ni shirki)
2. Noel (mnasema Yesu hakuzaliwa hiyo tarehe)
3. Mwaka mpya (hii ni shirki)
4. Valentine
.
Kinachonitatiza mimi ni je kama hizi sherehe ni haramu tena kwa mujibu wa hadith na koran kwanini waislamu wanazisherehekea hili ndilo lengo la uzi.
MUFTI HAWEZI KUWATAKIA WATANZANIA KHERI YA NOELI ILA MWAKA MPYA ANASEMA WHY?
 
Back
Top Bottom