leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,441
- 1,853
Shida ni wao wakubalike na ukilitambua hilo huwezi gombana nao akisema kitu we mkubalie hamna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
je huwa mnasheherekea mwaka mpya..?Mwezi ni lazima uandame kila mwezi na siku zinajulikana ni 30
Kwa hiyo unapopotea na siku zinajulikana
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mlipotoka 1440 kuingia 1441 mlisheherekea?Mkuu mwaka huu ni 1441
Sent from my iPhone using Tapatalk
je huwa mnasheherekea mwaka mpya..?
Unamfahamu huyu?
Umeshika Dini ya kiislam kuliko huyu?View attachment 1310026
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani! Lets close this issueKwa hiyo jana hukufurahia sikukuu wala mapokezi yake?
Nimekwambia ulete ushahidi kwa mujibu wa dini ya uislamu kuwa waislamu wanasherehekea mwaka mpya au chochote kile kilicho kinyume na dini ya.V.U mmeshanichoshaga siwaelewi kabisa.
Dini yenu hairuhusu ila ninyi wafuasi wa dini ya mnyazi Mungu mnasherehekea why?😝
.
Haki nasema hapa kama Ninga hukusherekea mwaka mpya kuanzia mapokezi yake na jana yenyewe kwa namna yoyote sema neno la laana kutoka kwenye koran likupate maana nyie ni wazee wa milaana
Kwa mujibu wa uislamu ni haramu kusherehekea sikukuu wanazoziita za kikafiri.Nimekwambia ulete ushahidi kwa mujibu wa dini ya uislamu kuwa waislamu wanasherehekea mwaka mpya au chochote kile kilicho kinyume na dini ya.
kwani kwa mfano,kama kuna mchungaji kakamatwa akiwanga,wakristo watahesabika ni wachawi,au basi tutazame kuhusu yale yalozuka katika kanisa la Anglikan,na ule nao ni ukristo.
Nabaki pale pale kwa juzi,lete ushahidi kwa mujibu wa uislamu kwamba waislamu wanasherehekea mwaka mpya.
Sniper birthday yako husherehekeagi?Ndio mkuu huwa tunasherehekea
Na sherehe zetu ni mbili tu
Ya kwanza ni baada ya mfungo wa Ramadhan na sherehe ya pili ambayo ndio ya kufungia mwaka ni Eid kubwa ambapo ni wakati wa Hijja, baada ya Hijja Eid na mwaka mpya unaingia na mwezi wa kwanza huitwa Muharram
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sniper birthday yako husherehekeagi?
Unaungana na mimi kwamba waislamu karibu wote isipokuwa wachache Tanzania husherehekea siku zao za kuzaliwa?Sujawahi mkuu
Kwa sababu sio utamaduni wetu
Tangu nimezaliwa sijawahi kufanyiwa wala kusherehekea birthday
Mkuu kila siku ni birthday kama umeamka salama na kumshukuru Mungu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mbona ww waliokuletea dini yako ndio watetezi wakubwa wa ushoga wakati wewe unajifanya kuupinga .
Ukitaka kiongea jambo fikiria ndugu.
Unaungana na mimi kwamba waislamu karibu wote isipokuwa wachache Tanzania husherehekea siku zao za kuzaliwa?
Sasa kwa nini musiite hiyo sikukuu mwaka mpya sasa, mnaita majina ya kiarabuNdio mkuu huwa tunasherehekea
Na sherehe zetu ni mbili tu
Ya kwanza ni baada ya mfungo wa Ramadhan na sherehe ya pili ambayo ndio ya kufungia mwaka ni Eid kubwa ambapo ni wakati wa Hijja, baada ya Hijja Eid na mwaka mpya unaingia na mwezi wa kwanza huitwa Muharram
Sent from my iPhone using Tapatalk
Yes I do! But in islamic wayNot agreed!
Do you celebrate your birthday?
Wasipokuelewa na hapa basi ile aya inayosema "hawatokuwa radhi mayahudi na manaswala hadi mfate....."Wapo wengi tu
Nasema hivyo kwa sababu nimeona ila kwa takwimu sijui na siwezi kutoa ushahidi huo
Dini ni kufuata yaliokubaliwa na kuacha yaliyokatazwa ni hilo tu
Wanaofanya yao ni wao na kila mtu atabeba thawabu zake na dhambi zake Mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sasa kwa nini musiite hiyo sikukuu mwaka mpya sasa, mnaita majina ya kiarabu