Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Kwanini waislamu hawasherehekei Krismasi ila husherekea mwaka mpya?

Ww jamaa utakuwa ni mlokole lazima
Sasa mambo ya Diamond yananihisu nini?
Je unaushahidi kula sijawahi kutoa sadaka?
Usinilazimishe Mimi kuwa Diamond
Huna hela wewe sadaka zako hizo za mia mbili mia mbili zitajenga nini zaidi masheikh wakanunulie maandazi au gahawa.
.
Wajenzi wa misikiti Tanzania nzima wanafahamika lazima media ya kiislamu itakuja kuripoti huo uzinduzi na tena mimi ni mfuatiliaji mkubwa wa hizo media sijui Tv iman na nyingine
 
Mbona siwaoni hapo hao waislam

Sent using Jamii Forums mobile app
😝😝 kwenye ardhi yao inatumika sheria gani?
Katiba yai inasemaje kuhusu dini?
.
Je ni halali kwa taifa kama lile kufanya hayo ikiwa lenyewe ni la imani fulani na tena ni watu wenye vinasaba na marehemu Muhammad?
 
View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Hawajui

Ni Wanafiki hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha kati ya typing error na hoja uliyoulizwa,acha kukimbilia huko ili ujifiche,jibu swali.
Toa ushahidi wa namna waislamu wanavyosherehekea kwa mujibu wa dini yao,full stop.
Acha kuja na mambo ya kitoto kwa kusimamia typing erro,we vipi,
V.U mmeshanichoshaga siwaelewi kabisa.
Dini yenu hairuhusu ila ninyi wafuasi wa dini ya mnyazi Mungu mnasherehekea why?😝
.
Haki nasema hapa kama Ninga hukusherekea mwaka mpya kuanzia mapokezi yake na jana yenyewe kwa namna yoyote sema neno la laana kutoka kwenye koran likupate maana nyie ni wazee wa milaana
 
Hata mwaka mpya hawasheherekei

SABABU ZA KUTOFAA MUISLAM KUSHIRIKI KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA
1- Ni itikadi ya kufa kwa Yesu( hii ni kinyume na iman ya kiislam kwani yesu hajafa)
2- Hata ingekua si hivyo, siku ya kidini huisha pale linapozama jua ( saa 12 mara nyingi) na si saa sita usiku kama inavyoaminika na wengi
3- Kama ni kuisha kwa mwaka, ni pamoja na umri kupungua, ni jambo la ajabu umri wa mtu kupungua umauti kukaribia kisha akashangilia na kupiga makelele, hii ni pamoja na kusherehekea siku ya kuzaliwa.

Tudumishe aman upendo na kujali utu
Unamfahamu huyu?

Umeshika Dini ya kiislam kuliko huyu?
Screenshot_20200102-114848.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachopaswa kujua hao wanaosherehekea mwaka mpya ilhali ni waislam wanakosea full stop, mambo ya kusema saudia sijui uarabuni ni upuuzi mtu na sielewi ubongo wako umeweka wapi. Unazani dhambi ikifanywa na watu wengi inakuwa sio dhambi tena? Embu chukulia zinaa ni wangapi wanafanya iwe wakristo au waislam je twaweza sema Mungu amefuta dhambi ya zinaa kisa wanaofanya ni wengi? Kama hujanielewa na hapa basi
Kwa hiyo jana hukufurahia sikukuu wala mapokezi yake?
 
Maka na Riyadh ni miji miwili tofauti na sheria tofauti kama mfano Tanzania bara na visiwani wanavyokuwa na maraisi wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee usintanie nipe utofauti wa sheria zao aisee naweza kupata jambo jipya.
.
Nafahamu maka ni kwa ajili ya waislamu tu je kuna kingine?
 
Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.
Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Kwa bahati mbaya wanaofanya biashara haramu hasa ya madawa ya kulevya hapa nchini wengi waislam

Tulishabainishiwa majina yao humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hata doctors huwa hawaamini mtu anapozimia halafu waliomleta wanasema alizimia zaidi ya saa nzima
Wakati ukweli huyo angekuwa kafa kabisa
Turudi kwenye mada hapo kwenye 99.9%
Wakati mimi na familia yote tukiwa ndugu wote zaidi ya 40 hatukusherehekea hiyo asilimia 99.9% unaigawaje?
Mpaka sasa sijapata hata msg moja ya heri ya mwaka mpya kutoka kwa waislam
Kwa mimi sioni tofauti ya siku zaidi ya kuona mvi tu kichwani


Sent from my iPhone using Tapatalk
Katika miaka ya kiislam hakuna mwaka mpya? Miaka haibadiliki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu ndio maana nilisha kwambia ya kwamba kichwa chako kimejaa matope.
Hivi unaweza kutuonesha ni wapi waislam walishaenda msikitini kusali kwa ajiri kuupokea mwaka mpya kama nyinyi mnavyolala makanisani mkisali kwa ajili ya mwaka mpya?
Yaan ww jamaa sijui upataga faida gani unapo kuwa unaanzisha mada zinazo leta hisia za udini.
Hawa ni Waislam wa Marekani Taifa kubwa na lenye population kubwa sheikh
images%20(40).jpeg
images%20(66).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu ndio maana nilisha kwambia ya kwamba kichwa chako kimejaa matope.
Hivi unaweza kutuonesha ni wapi waislam walishaenda msikitini kusali kwa ajiri kuupokea mwaka mpya kama nyinyi mnavyolala makanisani mkisali kwa ajili ya mwaka mpya?
Yaan ww jamaa sijui upataga faida gani unapo kuwa unaanzisha mada zinazo leta hisia za udini.
Hapa ni Saudi Arabia mwaka jana kuupokea 2019.

Angalia sasa inavyopendeza yakhee
View attachment 1310039
images%20(38).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ww waliokuletea dini yako ndio watetezi wakubwa wa ushoga wakati wewe unajifanya kuupinga .
Ukitaka kiongea jambo fikiria ndugu.
Waislamu ndio waasisi wa ushoga.

Ndio maana pwani ina mashoga wengi na ushoga wanaita mambo ya pwani.

Tazama Mombasa, Zenji n.k

Waislam duniani wanahusudu hilo


images%20(52).jpeg
images%20(55).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom