Naaaam, sahihiUkiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waisla.
Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudi.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Marko : Mlango 8View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Kwanini idadi kubwa ya watu waliopo magereza ni Waislam?Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.
Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.
Ndo mana muislam ni bora aishi kwa shida kuliko kufungua baa au kufanya biashara haram. Kifupi tunavipaombele tofauti. Wengine tunaamin maisha ya dunia ni mapito na furaha ya kweli iko peponi hali ya kua wengine wanadhan duniani wamefika, wanatafuta maisha ya dunia hata kwa njia zisizo halali.
Niliuliza hili baada ya kuona tamasha la vichekesho huko Zanzibar sikujibiwa.View attachment 1308933
Asilimia 99.9 ya waislamu wote wa Tanzania wamesherehekea mapokezi ya mwaka mpya wa 2020 na wamefanya countdown vizuri tu.
.
Je wanafahamu historia ya kuanzishwa kwa sherehe za mwaka mpya CE?
Je wanafahamu kalenda yao inasema leo ni tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani?
.
Waislamu ukiwafikifiria sana huwezi kujua wanataka nini zaidi ya ku_conquer dunia
Waislam ni wengi kila sehemuKwanini idadi kubwa ya watu waliopo magereza ni Waislam?
Ok nimekuelewa. Ila kiuhalisia ukiachana na mikoa ya pwani bara Waislam ni wachache.Waislam ni wengi kila sehemu
Una uhakika? Ama nikuonyeshe nchi za kiarabu zilivyoupokea mwaka mpya?Hata mwaka mpya hawasheherekei
Mwaka mpya sio itikadi ya kufa kwa Yesu mwaka mpya ulianza wakati wa Christian Era itikadi ya kufa kwa Yesu Kristo pamoja na kufufuka kwake Masihi ni Pasaka.SABABU ZA KUTOFAA MUISLAM KUSHIRIKI KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA
1- Ni itikadi ya kufa kwa Yesu( hii ni kinyume na iman ya kiislam kwani yesu hajafa)
unachanganya madesa Mwaka mpya ni secular holiday.2- Hata ingekua si hivyo, siku ya kidini huisha pale linapozama jua ( saa 12 mara nyingi) na si saa sita usiku kama inavyoaminika na wengi
Hivi vyote usherehekeaji wa siku za kuzaliwa na mwaka mpya ni vitu vilivyoanza nyakati za CE na kalenda tuitumiayo imetoka huko.3- Kama ni kuisha kwa mwaka, ni pamoja na umri kupungua, ni jambo la ajabu umri wa mtu kupungua umauti kukaribia kisha akashangilia na kupiga makelele, hii ni pamoja na kusherehekea siku ya kuzaliwa.
Tudumishe aman upendo na kujali utu
Mfano kipi unadhani hatukielewi?Ukiwa mkiristo halafu close minded huwezi waelewa waislam.
Wapi kuna hayo yanafanyika?Kwa imani ya kiislam , starehe za dunia ni zenye mapito na zenye kupumbaza. Imani ya uislam imejengwa zaidi kwa maisha baada ya kifo kuliko dunia, na ndio maana waislam wametakiwa kutafuta riziki kma wataishi milele lakin pia wafanye ibada km wanakufa siku inayofata, lengo la kuumbwa ni kuabudu.