machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Siku zote shetani hukimbia mwenyewe kabla hajakimbizwa na nuru.Mnapenda sana kutuchokoza
Mnapenda sana kutuchokoza
Umeiandika kama utani, ila kukujuza ni kama hivi. Kuna desturi nyingi ambazo Waislamu hutumia kusoma Quran, lakini inaweza kuonekana kama wanaimba kwa sababu ya aina ya sauti na mtindo wa usomaji ambao unahusishwa mara nyingi na Quran. Kwa mfano, aina ya sauti ya Quran inayosomwa inajulikana kama "tajwid," ambayo ni utaratibu wa kutamka kila neno kwa usahihi wa kiitikadi na kivitendo. Utaratibu huu wa kutamka unahusisha kuongeza vipengele vya sauti, kusisitiza maneno maalum na kupunguza kasi ya sauti kwa wakati mwingine.
Wakati huo huo, kuna mtindo wa usomaji wa Quran unaojulikana kama "tilawah," ambao unahusisha kusoma Quran kwa sauti kubwa na yenye hisia. Hii ni kwa sababu Waislamu wengi wanaamini kuwa Quran ni zaidi ya kitabu tu, lakini ni neno la Mwenyezi Mungu lililotolewa kwa wanadamu kupitia Mtume Muhammad. Kusoma Quran kwa sauti kubwa na yenye hisia inaweza kuonekana kama njia ya kuwasiliana na maneno ya Mwenyezi Mungu na kusaidia kuchochea hisia za kiroho.
Kwa hiyo, wakati Waislamu wanaposoma Quran, wanaweza kuonyesha hisia kwa njia ambayo inaweza kufanana na kuimba, lakini hii ni kutokana na aina ya sauti na mtindo wa usomaji badala ya kuimba halisi.
Unataka kuona nini we mjamaa !? ..[emoji41]Na je wanawake huwa hawasali/swali "Taraweeh"?
Mbona camera humulika upande wa wanaume tu wawapo misikitini?
Sio mnyaazi mungu, bali mwenye enzi mungu kuu kama ujui kiswahili shauliyakoMmmmm. Mambo ya mnyaazi mungu hayo.
Jaribu na hiiWasalaam jamani.
Mimi ningependa kuuliza kwanini waislamu wakiwa wanasoma Quran wanaisoma kwa kuiimba? Halafu mkono mmoja wanaweka kwenye shavu.
Asante
Jaribu na hii
[emoji445]Bwana awe naaaaanyi[emoji445]
[emoji445]Aaaaaamin[emoji445]
[emoji445]Mueeeeende kwa salaaaama[emoji445]
[emoji445]Aaaaaaaamin[emoji445]
Mkuu mwamba kauliza kwa nia njema tuquran aiimbwi inasomwa.
Sema inasomwa kiufundi na ndivyo inavyotakiwa haswaa.
Nyie pia si mnanenaga kwa lugha tatizo liko wapi?
Sawa Mwl, naona na wewe kiswahili changamoto... Shauri yakoSio mnyaazi mungu, bali mwenye enzi mungu kuu kama ujui kiswahili shauliyako
Wanaahasira hao[emoji2][emoji2][emoji2]Hii mada itaanza taratibu, ila huko mbeleni lazima mparuane [emoji28][emoji28]
Hata mimi nimemjibu kwa nia njema tu.Mkuu mwamba kauliza kwa nia njema tu hilo neno kafiri linatokea wapi tena..
Sijui ni kwanini haya mambo ya dini yanafanyaga watu wanakuwa mapuuzi sana wakati mwingine..
Only because their prophet late mo did that [emoji2322][emoji137][emoji2322]Wasalaam jamani.
Mimi ningependa kuuliza kwanini waislamu wakiwa wanasoma Quran wanaisoma kwa kuiimba? Halafu mkono mmoja wanaweka kwenye shavu.
Asante