Na pia Muhammad huyo huyo kwenye kufafanua aya za Qur'an anasema:
The universe imetokana na yakuti ya kijani iliyotolewa kwenye Arshi na Mungu. Na ilikuwa ni ndogo sana kwa maana: everything in the entire universe was condensed in an infinitesimally small singularity.
Kisha Allah akiitazama kwa jicho la kitisho la kiuungu ikasababisha mlipuko mkubwa sana.
"ARE, THEN, they who are bent on denying the truth not aware that the heavens and the earth were [once] one single entity, which We then parted asunder? – and [that] We made out of water every living thing? Will they not, then, [begin to] believe"..............Qur'an 21:30
Hakuishia hapo, akafafanua zaidi na kusema mbingu na nyota zimetokana na moshi mzito! Wanasayansi wanasema stars are born within the clouds of dust. Na Muhammad akaelezea imetokana na nini hiyo hali!
Kila mmoja wetu hata mapacha wa namna gani kwa kila mmoja ana fingerprint zake. Kwa maana nyengine identities za watu zimekuwa coded kwenye fingerprints zao.
Muhammad akawaambia watu kuwa mtarejeshwa kwa Mungu na kisha mtafufuliwa na kisha hukumu itapitishwa baina yenu kwa yale mliyoyatenda duniani. Wakaona ajabu wakabisha! Muhammad akawathibitishia hilo kwa kusomea Quran ya kuwa:
"Does the Man think that we shall not assemble his bones (and rise him up alive from grave)?? Verily we are powerful to restore his very
fingertips!” (Surah Qiyaamah 75; verses 3-4)
Kumbuka haya yamesemwa na Muhammad karne ya 7 na sayansi imefahamu hili karne ya 19.
Yapo mengi yamesemwa na Muhammad. Nakushauri msome kwanza kabla ya kumuona kwa taswira uliyonayo kwa sasa kwake. Kisha ujiulize hayo kayafahamu vipi?!