Kwanini Waislamu wakisoma Quran wanakuwa kama wanaimba?

Huu uchokozi sasa ,dini ya wengine
Unaingilia nini!

Ova
Hamna uchokozi, Ni swali iliulizwa, kwamba kwann waisilamu wakiwa wanasoma koroani wanaisoma kwa kuiimba?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…