narudi kesho
Senior Member
- Jul 5, 2024
- 177
- 270
binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti,
haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye kofia yake, anaweza akapita mistari yote, watu wataokaochangia sadaka wanaweza wakawa watano na usikute hata elfu 5 haifiki that why.
Kinachonishangaza kingine waislamu wengi wanajazana makanisani tofauti na wakristo kuja misikitini.
Hapa kuna shida gani kwa waislamu?