Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hujui tu, Matajiri wengi hapa nchini ni Waislamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JUhudi zako ungezielekeza kumpinga aliyekùambia hilo jambo.Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Nikiwa huko mwanza nilikuwaga naambiwa dar kuna waislam wengi lakin baada ya kuja kufika dar takiliban miiaka 15 iliyopita nilikuwa na nimegundua dar es salaam waislam ni wachache sana
Na wakristo ni wengi sana na kila siku idadi yao inazid kuongezeka huku idadi ya waislam ikiendelea kupungua kwa kasi
Kwanza utamadun wa kiislam dar es salaam umepotea kabisa
Hata ikifika ijumaa ni ngumu sana kujua kama leo ni ijumaa ila ikifika jumapili siyo jambo hata la kuuliza kuwa leo ni siku ya ibada
Ukiwa unaingia posta huwez ona hata msikiti mmoja misikiti kuiona mpaka usogee magomen na bugurun
Ukiingia kariakoo kila duka mwenye duka watu wanasikiliza gospel
Mitaa yote ya kishua wanakaa wakristo na wahindi,
Waislam mitaa yao imebaki mwanyamala na mbagala
Kilichonishitua zaid ni idadi ya wakoliki katika sensa ya kanisa iliyofanywa mwaka jana na kupata idadi ya wakristo wakatoliki zaid ya million mbili na lakin sita kwa jimbo zima ya dar es salaam hao ni wale wanaohudhilia jumuiya tu ambao hawaend jumuiya hawajahesabiwa
Dar es salaam ni kitovu cha ukristo maana hata mwanza waislam wapo ila ndo hivyo mitaa yao ni igogo na shede nao ni waha na wanyamwezi
Asanten
LONDON BOY