Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kwa mwamposa wamama wengi ni akina aisha na majina ya kiislam au walibadili dini wakawa wakristoMh sijawahi kuona muislamu kanisani ila wakristo wengi wakiwa na shida huwa wanamtafuta shekhe awasaidie , kila tajiri wa kikristo ana shekhe wake kubali kataa
Nenda kwa Mwamposa utaona.Mh sijawahi kuona muislamu kanisani ila wakristo wengi wakiwa na shida huwa wanamtafuta shekhe awasaidie , kila tajiri wa kikristo ana shekhe wake kubali kataa
Hakuna muislamu wa hivyo anaenda kwa Mwamposa ....Uislamu lazima usome sio jina ....Majina hamna tatizo unaweza kuwa na wazazi waislmu ila usiwe muislamu ...Kiroho Mwamposa ni mganga yaani mshirikina acha waendembona kwa mwamposa wamama wengi ni akina aisha na majina ya kiislam au walibadili dini wakawa wakristo
Maisha yoyote yasiyoendana na kipato chako ni uchawi..!!!Jamaa sio kama hawana hela wengi wanaishi maisha simple
ukitekwa usitutafute
Baadhi ya vtu nakubaliana na wewMh sijawahi kuona muislamu kanisani ila wakristo wengi wakiwa na shida huwa wanamtafuta shekhe awasaidie , kila tajiri wa kikristo ana shekhe wake kubali kataa
ushamba ndio maana mnapiga kelele kama yule Vunjabei wakati wakina Gsm wanashinda na kanzu ila wana pesa ndefu ...Vunjabei kelele kibao ndio ushamba wa watu wa bara unaweza kufikiria yeye ndio tajiri namba moja kumbe hata 50 bora hayupo ..Maisha yoyote yasiyoendana na kipato chako ni uchawi..!!!
Hivi umenielewa kweli? Hata huyo vinjabei, kama anaishi tofauti na uwezo wake wa kipato ni uchawi..!!ushamba ndio maana mnapiga kelele kama yule Vunjabei wakati wakina Gsm wanashinda na kanzu ila wana pesa ndefu ...Vunjabei kelele kibao ndio ushamba wa watu wa bara unaweza kufikiria yeye ndio tajiri namba moja kumbe hata 50 bora hayupo ..
Vunjabei anajiona yeye anajua biashara sana kumbe mchuuzi wa kudandia hana baidhaa maalumu ni mpiga dili tu ila kujifanya anajua sana baishara .
naenda sana msikitini,majini ndo yanatumika kuchukua pesa kwenye maduka ya wa2 kwani hayaonekani kwa machosijawahi kuyaona kwa macho kwani wameubwa bila kiwiliwili,,,na kwa taarifa yako nimesoma juzuu zote mfano{suratul al-maida,yunus,suratul jinn'suratul raddi, fatih'suratul bakhara,suratul mariam,fills,an-far , suratul ban-israil n.k} lakini kwa kukufunga mdomo wako ni kwamba,...ALLAH alishusha sura iitwayo "suratul munafuqun",,,yaani sura hii inazungumzia wanafki kama wewe wanaopindisha ukweli wasiopenda kuusikia...mfano hii sra iitwayo SURATUL BAN-ISRAIL.........ALLAH alimwagiza MUSA na MUSA akamshirikisha HARUN nduguye kwa idhini ya Allah kuhusiana na nchi ya ahadi waliyopewa wana wa ISRAIL baada ya kuwakomboa wana wa israil kutoka kwa firaun,,,na,,akawapa nchi hiyo wanayikalia mpaka leo,,lakini WALLAH sura hii haijasomwa,haisomwi na haitakaa isomwe ktk msikiti wote duniani kwa sababu tu inazungumzia ahadi ya ARDHI takatifu walopewa wana wa israil toka kwa MOLA WAO!!! [unafiki mtupu}Unajua maana ya swahaba?
Kwahiyo zinachukuliwa chuma ulete na nani?
Umeshawahi kwenda msikitini ukayaona?
Majibu tafadhali
Ulitaka mtu aishi vip ? Unajua Bakhresa yupo simple kuliko vunjabei , mara apost magari yaani anafundisha watu utajiri kama sio uongo na ushamba ....Kuna madon hata mitandaoni hawapo wanashinda na kanzu tu achana na wachuuzi hawa wapiga kelel.Hivi umenielewa kweli? Hata huyo vinjabei, kama anaishi tofauti na uwezo wake wa kipato ni uchawi..!!
Mwamba naona hunielewi kabisa. Labda niongee kwa lugha nyingine. Say kipato chako ni Tshs 100/-. Wewe kuishi maisha ya Tshs 200/- ni uchawi, na vile vile kuishi maisha ya Tshs sent tano ni uchawi pia. Mimi sizungumzii wanaojimwambafai kitaa na kumbe hawana kitu..!!Ulitaka mtu aishi vip ? Unajua Bakhresa yupo simple kuliko vunjabei , mara apost magari yaani anafundisha watu utajiri kama sio uongo na ushamba ....Kuna madon hata mitandaoni hawapo wanashinda na kanzu tu achana na wachuuzi hawa wapiga kelel.
Huwa sipendi porojo,,,jibu maswali yangu kisha tuendelee na mjadalanaenda sana msikitini,majini ndo yanatumika kuchukua pesa kwenye maduka ya wa2 kwani hayaonekani kwa machosijawahi kuayona kwa macho kwani wameubwa bila kiwiliwili,,,na kwa taarifa yako nimesoma juzuu zote mfano{suratul al-maida,yunus,suratul jinn'suratul raddi, fatih'suratul bakhara,suratul mariam,fills,an-far , suratul ban-israil n.k} lakini kwa kukufunga mdomo wako ni kwamba,...ALLAH alishusha sura iitwayo "suratul munafuqun",,,yaani sura hii inazungumzia wanafki kama wewe wanaopindisha ukweli wasiopenda kuusikia...mfano hii sra iitwayo SURATUL BAN-ISRAIL.........ALLAH alimwagiza MUSA na MUSA akamhsisha HARUN nduguye kwa idhini ya Allah kuhusiana na nchi ya ahadi waliyopewa wana wa ISRAIL baada ya kuwakomboa wana wa israil kutoka kwa firaun,,,na,,akawapa nchi hiyo wanayikalia mpaka leo,,lakini WALLAH sura hii haijasomwa,haisomwi na haitakaa isomwe ktk msikiti wote duniani kwa sababu tu inazungumzia ahadi ya ARDHI takatifu walopewa wana wa israil toka kwa MOLA WAO!!! [unafiki mtupu}
siwezi kupeana elimu na wewe kwani wewe unataka kusikia kile utakacho tu!!"tuishie hapo"Huwa sipendi porojo,,,jibu maswali yangu kisha tuendelee na mjadala
Tutapeana elimu ukiwa muelewa
Nakusubiri
Sawa ila ukweli ni mchungu watu wa bara ni washamba sana kweny pesa ndio tofauti na watu wa Asia ,angalia jinsi mkipata pesa mlivyokuwa na tabu kwa sana , mara chache sana kumkuta mtu wa Asia akiwa motivational speakers hata awe na pesa kiasi gani ..Wenzenu wanaenda kweny makongamano ya biashara na kupata connection nyie wabara ni lomolomo hamna kitu kabisa mpaka nacheka .Mwamba naona hunielewi kabisa. Labda niongee kwa lugha nyingine. Say kipato chako ni Tshs 100/-. Wewe kuishi maisha ya Tshs 200/- ni uchawi, na vile vile kuishi maisha ya Tshs sent tano ni uchawi pia. Mimi sizungumzii wanaojimwambafai kitaa na kumbe hawana kitu..!!