Kwanini wakatoliki wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara na siyo ya utajiri kama vile Mungu alivyosema atatubariki?

Alichokuwa anaongelea ni kile kuwa wanachukua simenti na nzege wanachanganya wanatengeneza sanamu ya bikira maria halafu wanaisimamisha wanaanza kusali mbele yake ndio akasema wanaabudu simenti na nzege
Kumbe mkuu ulimsikia umeeleza vizuri
 
Ndugu..

Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.

Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa sadaka yako ilipo ndipo na moyo wako utakapo kua.

Sasa unapo wasikia na kuwaona wakatoliki wakisali rozari .

KWENYE MATENDO YA FURAHA,. utaona wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara ambao ni moyo wa kimasikini kupita kiasi huku wakisahau kwamba Yesu akisema mtu awazavyo moyoni mwake ndivyo alivyo na pia alituambia tuulinde moyo maana ndipo zitokapo chemchem za uzima ,

1: Kwanini hawa wakatoliki basi wanaomba Mungu awajalie Moyo wa ufukara kwanini hawautaki utajiri kutoka kwa Mungu ila wao wanataka wawe mafukara?

2: Je, wana sali na kuamini kitu wasicho kijua?

3: Je, huko Roma- vatican ni kwamba wameweka maombi ya mtego kwa waumini wa kikatoliki ili kuwafunga maisha yao wabakie kua mafukara huku wao wakijitajirisha na kuneemeka na sadaka zao pamoja na harambee za kila kukicha?

Naomba kuwasilisha
Inategemea na context. Kumbuka Padri wa Katoliki lazima asome miaka mitatu ya falsafa na mingine mitatu ya teolojia. Fikiria hazina ya mkusayiko wa watu hao, inabidi ueleze elimu yako kabla hujachallenge
 
Atujalie moyo wa ufukara" ina maanisha kuomba neema ya kuwa wanyenyekevu, kutokutegemea mali za dunia, na kuwa na moyo wa kusaidia wengine bila ubinafsi. Au kutokutegemea majini kwenye uchaguzi 🙂🙂

Na si hivyo unavyo fikiria kichwani mwako ✍️✍️.

Mmmh!
 
Alichokuwa anaongelea ni kile kuwa wanachukua simenti na nzege wanachanganya wanatengeneza sanamu ya bikira maria halafu wanaisimamisha wanaanza kusali mbele yake ndio akasema wanaabudu simenti na nzege
Inategemea na elimu yake. Mwingine akiota ndoto yupo mbinguni kesho anaanzisha kanisa, halafu ili kupata kiki lazima awashambulie Wakatoliki ambao by default ni wasomi
 
Moyo wa ufukara ni moyo wa huruma, unyenyekevu.
Mafukara wana roho nzuri sio kama matajiri wana majivuno na majigambo. Hivyo ndivyo wanavyomaanisha. Na sio kwamba wao wawe mafukara kwenye umiliki wa mali.
 
Jiulize...
Ni mafukara?
Na dhehebu lao lina ufakara?!

Ufukara ni tendo mtambuka,
Kwa lugha nyepesi ni kujishusha..

Maombi yame elekezwa kwenye kuwa na moyo wa ufukara na sio ufukura wa mali...

Katika imani ya kikristo, moyo unahusiana na kitu cha ndani tusichoweza kukishika ni mahali ambapo uzima wa mtu ulipo...

Hiyo lugha wanayoitumia haijakaa sawa in a spiritual realm...
 
Ndugu..

Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.

Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa sadaka yako ilipo ndipo na moyo wako utakapo kua.

Sasa unapo wasikia na kuwaona wakatoliki wakisali rozari .

KWENYE MATENDO YA FURAHA,. utaona wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara ambao ni moyo wa kimasikini kupita kiasi huku wakisahau kwamba Yesu akisema mtu awazavyo moyoni mwake ndivyo alivyo na pia alituambia tuulinde moyo maana ndipo zitokapo chemchem za uzima ,

1: Kwanini hawa wakatoliki basi wanaomba Mungu awajalie Moyo wa ufukara kwanini hawautaki utajiri kutoka kwa Mungu ila wao wanataka wawe mafukara?

2: Je, wana sali na kuamini kitu wasicho kijua?

3: Je, huko Roma- vatican ni kwamba wameweka maombi ya mtego kwa waumini wa kikatoliki ili kuwafunga maisha yao wabakie kua mafukara huku wao wakijitajirisha na kuneemeka na sadaka zao pamoja na harambee za kila kukicha?

Naomba kuwasilisha
Kwani ndugu unaabudu kwa mchungaji nani? 😄
 
Dini ni Imani, Mambo ya wakatoriki waachie wanaoiamini wewe pambana na Imani yako. Sijawahi kusikia wakatoliki wanajadili Imani nyingine kwa sababu wanatekeza amri kuu ya upendo.
 
Ndugu..

Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.

Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa sadaka yako ilipo ndipo na moyo wako utakapo kua.

Sasa unapo wasikia na kuwaona wakatoliki wakisali rozari .

KWENYE MATENDO YA FURAHA,. utaona wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara ambao ni moyo wa kimasikini kupita kiasi huku wakisahau kwamba Yesu akisema mtu awazavyo moyoni mwake ndivyo alivyo na pia alituambia tuulinde moyo maana ndipo zitokapo chemchem za uzima ,

1: Kwanini hawa wakatoliki basi wanaomba Mungu awajalie Moyo wa ufukara kwanini hawautaki utajiri kutoka kwa Mungu ila wao wanataka wawe mafukara?

2: Je, wana sali na kuamini kitu wasicho kijua?

3: Je, huko Roma- vatican ni kwamba wameweka maombi ya mtego kwa waumini wa kikatoliki ili kuwafunga maisha yao wabakie kua mafukara huku wao wakijitajirisha na kuneemeka na sadaka zao pamoja na harambee za kila kukicha?

Naomba kuwasilisha
Moyo huwa unamiliki mali? Moyo wa ufukara ni moyo usiomiliki utajiri wa mawazo wa mabaya na nia ovu.
 
Umepewa kifungu unaanza kurukaruka kama maharage jikoni. Ufukara ndio umaskini, moyoni ndio rohoni ni maneno yanayotumika interchangeably. Na ndio maana huwa tunasema jamaa ana moyo/roho nzuri ama mbaya, ya wivu ama ya ubinafsi nk
Mkuu ngoja kwanza. Hivi Kinacho kufa ni moyo au ni roho..

Tumia akili kujibu
 
Moyo wa ufukara ni moyo wa huruma, unyenyekevu.
Mafukara wana roho nzuri sio kama matajiri wana majivuno na majigambo. Hivyo ndivyo wanavyomaanisha. Na sio kwamba wao wawe mafukara kwenye umiliki wa mali.
Kunatofauti ya ufukara , unyenyekevu na huruma..
Utatimizaje matendo ya huruma kwa muhitaji ilihali wewe ni fukara.. na kama moyo wa ufukara ni wa huruma kama wao wanavyo maanisha kwanini basi viongozi na makasisi wa kikatolik wasiwe na huruma kwa waumini wao na wawatake watoe kiduchu kadiri ya mapato yao , pia wasifute harambee na michango lukuki..
 
Akili na imanii? Leta mada ya sayansi tutumie akili
Sawa twende kiimani namna hii

Hivi ukifa .. kinacho kufa ni moyo au ni roho..je kinachoenda kwa baba mbinguni ni huo moyo wako au ni roho yako na je , huo moyo hujui kama unabaki kaburini ndani ya mwili na unaoza?
 
Uko sahihi Kinachokufa ni moyo, roho haifi
 
"Moyo wa ufukara"
Ufukara wa moyo ni katika imani, na ni tofauti na ufukara wa mwili. Kumbuka ombi hilo limetanguliwa na tendo la Yesu kuzaliwa katika mji wa Bethlehemu; ambapo inasadikiwa alizaliwa katika mazingira duni, katika zizi la ng'ombe/mbuzi/kondoo. Imani hii inamjenga mkatoloki kuwa tayari kupokea hali yoyote katika imani, kutokuwa m-binafsi na kuwa tayari kumshukuru Mungu katika kila jambo na kila hali. Usipokuwa na moyo thabiti wa ufukara, ukitetereka kidogo hata katika biashara au kazi, unaweza kumkufuru Mungu.
 
Ndugu..

Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.

Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa sadaka yako ilipo ndipo na moyo wako utakapo kua.

Sasa unapo wasikia na kuwaona wakatoliki wakisali rozari .

KWENYE MATENDO YA FURAHA,. utaona wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara ambao ni moyo wa kimasikini kupita kiasi huku wakisahau kwamba Yesu akisema mtu awazavyo moyoni mwake ndivyo alivyo na pia alituambia tuulinde moyo maana ndipo zitokapo chemchem za uzima ,

1: Kwanini hawa wakatoliki basi wanaomba Mungu awajalie Moyo wa ufukara kwanini hawautaki utajiri kutoka kwa Mungu ila wao wanataka wawe mafukara?

2: Je, wana sali na kuamini kitu wasicho kijua?

3: Je, huko Roma- vatican ni kwamba wameweka maombi ya mtego kwa waumini wa kikatoliki ili kuwafunga maisha yao wabakie kua mafukara huku wao wakijitajirisha na kuneemeka na sadaka zao pamoja na harambee za kila kukicha?

Naomba kuwasilisha
Ukifikiria sana hii dunia utagundua ni kujidanganya tu. Kila kitu ushenzi mtupu. Raha hailetwi na chochote zaidi ya kuridhika kuwa na kiasi, kumuomba Mungu na kupata aman ya moyo. Ni vizur kupambana lakin ni vizur zaid kuulinda moyo wako kuliko unachopigania
 
Back
Top Bottom