Kumbe mkuu ulimsikia umeeleza vizuriAlichokuwa anaongelea ni kile kuwa wanachukua simenti na nzege wanachanganya wanatengeneza sanamu ya bikira maria halafu wanaisimamisha wanaanza kusali mbele yake ndio akasema wanaabudu simenti na nzege
Inategemea na context. Kumbuka Padri wa Katoliki lazima asome miaka mitatu ya falsafa na mingine mitatu ya teolojia. Fikiria hazina ya mkusayiko wa watu hao, inabidi ueleze elimu yako kabla hujachallengeNdugu..
Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.
Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa sadaka yako ilipo ndipo na moyo wako utakapo kua.
Sasa unapo wasikia na kuwaona wakatoliki wakisali rozari .
KWENYE MATENDO YA FURAHA,. utaona wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara ambao ni moyo wa kimasikini kupita kiasi huku wakisahau kwamba Yesu akisema mtu awazavyo moyoni mwake ndivyo alivyo na pia alituambia tuulinde moyo maana ndipo zitokapo chemchem za uzima ,
1: Kwanini hawa wakatoliki basi wanaomba Mungu awajalie Moyo wa ufukara kwanini hawautaki utajiri kutoka kwa Mungu ila wao wanataka wawe mafukara?
2: Je, wana sali na kuamini kitu wasicho kijua?
3: Je, huko Roma- vatican ni kwamba wameweka maombi ya mtego kwa waumini wa kikatoliki ili kuwafunga maisha yao wabakie kua mafukara huku wao wakijitajirisha na kuneemeka na sadaka zao pamoja na harambee za kila kukicha?
Naomba kuwasilisha
Atujalie moyo wa ufukara" ina maanisha kuomba neema ya kuwa wanyenyekevu, kutokutegemea mali za dunia, na kuwa na moyo wa kusaidia wengine bila ubinafsi. Au kutokutegemea majini kwenye uchaguzi 🙂🙂
Na si hivyo unavyo fikiria kichwani mwako ✍️✍️.
Inategemea na elimu yake. Mwingine akiota ndoto yupo mbinguni kesho anaanzisha kanisa, halafu ili kupata kiki lazima awashambulie Wakatoliki ambao by default ni wasomiAlichokuwa anaongelea ni kile kuwa wanachukua simenti na nzege wanachanganya wanatengeneza sanamu ya bikira maria halafu wanaisimamisha wanaanza kusali mbele yake ndio akasema wanaabudu simenti na nzege
Sio tu ufukara kitendo cha wao kusema "maria mtakatifu utuombee" hua nashangaa sana
Jiulize...
Ni mafukara?
Na dhehebu lao lina ufakara?!
Ufukara ni tendo mtambuka,
Kwa lugha nyepesi ni kujishusha..
Kwani ndugu unaabudu kwa mchungaji nani? 😄Ndugu..
Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.
Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa sadaka yako ilipo ndipo na moyo wako utakapo kua.
Sasa unapo wasikia na kuwaona wakatoliki wakisali rozari .
KWENYE MATENDO YA FURAHA,. utaona wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara ambao ni moyo wa kimasikini kupita kiasi huku wakisahau kwamba Yesu akisema mtu awazavyo moyoni mwake ndivyo alivyo na pia alituambia tuulinde moyo maana ndipo zitokapo chemchem za uzima ,
1: Kwanini hawa wakatoliki basi wanaomba Mungu awajalie Moyo wa ufukara kwanini hawautaki utajiri kutoka kwa Mungu ila wao wanataka wawe mafukara?
2: Je, wana sali na kuamini kitu wasicho kijua?
3: Je, huko Roma- vatican ni kwamba wameweka maombi ya mtego kwa waumini wa kikatoliki ili kuwafunga maisha yao wabakie kua mafukara huku wao wakijitajirisha na kuneemeka na sadaka zao pamoja na harambee za kila kukicha?
Naomba kuwasilisha
Moyo huwa unamiliki mali? Moyo wa ufukara ni moyo usiomiliki utajiri wa mawazo wa mabaya na nia ovu.Ndugu..

Mkuu ngoja kwanza. Hivi Kinacho kufa ni moyo au ni roho..Umepewa kifungu unaanza kurukaruka kama maharage jikoni. Ufukara ndio umaskini, moyoni ndio rohoni ni maneno yanayotumika interchangeably. Na ndio maana huwa tunasema jamaa ana moyo/roho nzuri ama mbaya, ya wivu ama ya ubinafsi nk
labda wanasema hivyo sababu ya lile fungu:Kwenye kamusi ya kiswahili sanifu, neno fukara nimekuta lina maana moja tu na ni kama ilivyoelezewa chini:
fukara:
mtu maskini sana
Akili na imanii? Leta mada ya sayansi tutumie akiliMkuu ngoja kwanza. Hivi Kinacho kufa ni moyo au ni roho..
Tumia akili kujibu
Kunatofauti ya ufukara , unyenyekevu na huruma..Moyo wa ufukara ni moyo wa huruma, unyenyekevu.
Mafukara wana roho nzuri sio kama matajiri wana majivuno na majigambo. Hivyo ndivyo wanavyomaanisha. Na sio kwamba wao wawe mafukara kwenye umiliki wa mali.
Sawa twende kiimani namna hiiAkili na imanii? Leta mada ya sayansi tutumie akili
Uko sahihi Kinachokufa ni moyo, roho haifiSawa twende kiimani namna hii
Hivi ukifa .. kinacho kufa ni moyo au ni roho..je kinachoenda kwa baba mbinguni ni huo moyo wako au ni roho yako na je , huo moyo hujui kama unabaki kaburini ndani ya mwili na unaoza?
Ukifikiria sana hii dunia utagundua ni kujidanganya tu. Kila kitu ushenzi mtupu. Raha hailetwi na chochote zaidi ya kuridhika kuwa na kiasi, kumuomba Mungu na kupata aman ya moyo. Ni vizur kupambana lakin ni vizur zaid kuulinda moyo wako kuliko unachopiganiaNdugu..
Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha.
Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa sadaka yako ilipo ndipo na moyo wako utakapo kua.
Sasa unapo wasikia na kuwaona wakatoliki wakisali rozari .
KWENYE MATENDO YA FURAHA,. utaona wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara ambao ni moyo wa kimasikini kupita kiasi huku wakisahau kwamba Yesu akisema mtu awazavyo moyoni mwake ndivyo alivyo na pia alituambia tuulinde moyo maana ndipo zitokapo chemchem za uzima ,
1: Kwanini hawa wakatoliki basi wanaomba Mungu awajalie Moyo wa ufukara kwanini hawautaki utajiri kutoka kwa Mungu ila wao wanataka wawe mafukara?
2: Je, wana sali na kuamini kitu wasicho kijua?
3: Je, huko Roma- vatican ni kwamba wameweka maombi ya mtego kwa waumini wa kikatoliki ili kuwafunga maisha yao wabakie kua mafukara huku wao wakijitajirisha na kuneemeka na sadaka zao pamoja na harambee za kila kukicha?
Naomba kuwasilisha
labda wanasema hivyo sababu ya lile fungu:
Heri walio maskini....