Kwanini Wakenya hawajui kiswahili!!!

Kwani kingereza ni rugha yenu?! Kama mnaongea kiswahili kibovu na hata kingereza mtakuwa mnaongea cha hovyo
Kiswahili chako kwanza kibovu na kinatisha kama haya macho yako. Ni vipi nyinyi huweka "r" penye l na "l" penye r?

Usishangae ya wakenya na Kiswahili chao. Serikali zetu za kwanza hazikutilia maanani sana kuendelezwa kwa lugha kiswahili Kenya, wala kuwafanya wananchi kujikita katika lugha moja kama ilivyofanya serikali ya kwanza hapo Tanzania.

Kizungu kikapendelewa zaidi juu inachukuliwa kama lugha ya hadhi, kisomi na kujipatia fursa ya kikazi. Kiswahili kikapuuzwa.
 
Reference uliyotumia sio sawa, alitamka kwa mazuri na walitoa support, umeharibu siku za wengi hasa tulioguswa moja kwa moja na mauti za wanetu, mwenyezi mungu akusaidie busara huko uendako.
 
Wewe ndiye hujui kabisa kiswahili unazidiwa hata na MK254 ambaye ni Mkenya!

Hapo Umeandika kiswahili kibovu kabisa!
 
wakenya>>>>> Wakenya
Naskia kichefuchefu>>>>>Nahisi kichefuchefu
waarusha>>>>>>Wa Arusha
Jitaidini>>>>>>Jitahidini
Rugha>>>>>>Lugha
 
bado nipo...kenya bwana wewe ni kischana kimeoga kweli.....

Ondoa mapicha picha yako hapa, hili gari moshi wenzako tunalo tangu 70s. Wachina wamewaingiza choo cha kike. Kilichondolewa hapo ni reli ya vyuma na kuwekwa reli ya simenti, ila garimoshi na mabehewa yake ni sawa sawa na garimoshi letu la Tazara.

Mmeibiwa na serikali yenu, kuchamba kwingi.....
 
mtuache tupumue jamani, wengine ndo tunaabir vitu vya sgr baby[emoji3] [emoji3] [emoji109]
 
Sema msiharibu miundombinu ya serikali yenu hovyo maana wafrika utashangaa watu wanang'oa vyuma chorachora hovyo kodi ZENU hizo
 
Tulia jamaa. Wakenya wako very euphoric juu ya hii launch ya treni mpya. Kwa sasa ni kama watoto wadogo waliopata toys mpya, wanataka kuonyeshana.
 
Reactions: bdo
Speed yake ni 120km/hr average maximum ni 158 km/hr ...ata kama ni mzee aje bora itufikishe Mombasa in 4.5 hrs
 
Speed yake ni 120km/hr average maximum ni 158 km/hr ...ata kama ni mzee aje bora itufikishe Mombasa in 4.5 hrs
Sasa subirini chuma cha umeme na diesel engine kinakuja, min speed 160km/hr - max 190km/ hr.

This time mpaka mseme poo
 
wakenya>>>>> Wakenya
Naskia kichefuchefu>>>>>Nahisi kichefuchefu
waarusha>>>>>>Wa Arusha
Jitaidini>>>>>>Jitahidini
Rugha>>>>>>Lugha
Na ni Mtanzania!
Kwa hivyo hata nynyi hii lugha hamuijui sana kwa ufasaha mnavyodai. Yeye si wa kwanza kumuona akiandika hicho Kiswahili.
Sisi kwetu kuchanganya hili lugha na ndimi zingine hakumaanishi hatulijui. Tazama utafiti zinazoonyesha ya kwamba wanafunzi wa Kenya hufanya vyema katika somo la Kiswahili kuliko.wa Tanzania.

Ni vipi basi wakenya wengi zaidi ya watanzania wameajiriwa na makampuni ya teknolojia kama Facebook, Microsoft ama Google kutafsiri maagizo za programu zao kwa Kiswahili? Hata maprofesa wengi wanaofunza lugha hii katika vyuo kadhaa ni wakenya- wengi wao!

Ni dhahiri ya kwamba wakenya ndio wanaobobea katika lugha hili, na ndio walio kwenye mstari wa mbele kabisa kuendeleza lugha hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…