Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwasikiliza wakenya matamshi yao,huwa naskia kichefuchefu,mfano siku ile watoto waarusha walipopata ajari nilimsikia raisi wao kwenye kampeni akisema "nawauliza ndugu zangu tusimame dakika moja kuwaombea watoto...." Kwa hiyo ndugu zangu jitaidini kuongea vizuri kama watz,Rwanda Burundi ,Zanzibar Nk
Hahahaahha haaaya we mjuaji maana unabishana na kamusi... unaambia uandike kwa ufasaha unaleta habari za vivumishi na viwakilishi... fundisha na ngeli kabisa chaaaaNdio maana nikasema mnatia huruma, uandishi wenu kwenye lugha ya Kiswahili ni majanga.
'Hovyo' na 'ovyo' ni vivumishi na pia ni visawe.
'Jamani' na 'Jameni' ni visawe pia.
Mbona unaweka nomino mbele ya vihisishi na vivumishi ....hahahahhahahaUmedandia kwa mbele bila kujua treni inakoenda au inakotokea, hebu rudi hatua kadhaa nyuma halafu uje upya.
Lakini tukubali ukweli ya kwamba ni wakenya ambao wako katika mstari wa mbele kabisa katika harakati za kuendeleza kiswahili na kuifanya kupata hadhi ulimwenguni. Wasomi wengi wanaojihusisha katika harakati hizi kama kutafsiri programu za kompyuta ama ripoti, mfano zile za Umoja wa Kimataifa nk, wahadhiri wa Kiswahili katika vyuo vikuu vya nchi za mbali zinazofunza lugha hii ni wakenya.Lugha tunaifaham, tatizo kubwa linalotusibu ni kutokuwa makini pale tunapotumia lugha ya maandishi (written) na lugha ya maongezi (oral/spoken).
Watanzania wengi hatuko makini kwenya written language (sio kiswahili tu, ni lugha nyingi tunapuuzia vitu vya msingi),
Lakini pia kwa sababu ya asili (mother tongue) inachagiza suala hilo! Hapa tz kuna makabila mengi sana, kuna baadhi ya makabila wao wanachezesha sana ndimi zao, hivyo "R" inatamkwa haraka zaidi kuliko L, wengine ndo hivyo hawezi kutumia R badala yake huweka L kila sehemu, iko mifano mingi!
Hata hivyo hii haiondoi dhana kwamba hatukijui hata hicho kiswahili, La hasha! Ni kukosa umakini tu kwa baadhi ya watu!
Suala la Wakenya kuajiriwa kwa wingi na makampuni makubwa ya kimataifa lina sababu nyingi!
Tuanzie kwenye ile video ya kwanza inayozungumzia maisha ya Yesu, baada ya Mkenya mmoja kuwa amepata tenda ya kuingiza maneno ya Kiswahili kwenye video ile, jamii ya kimataifa iliifahamu Kenya kama kitovu cha kiswahili na hapo ndo nyota yenu iling'aa! Lakini kiswahili kilichoingizwa kilikuwa hakijanyooka!
Baada ya hapo hao Wakenya wachache walikuwa ni kivutio kwa wenzao, zikitokea nafasi huko walikuwa wanawataarifu haraka wakenya wenzao hivyo wakajikuta wakiongezeka!
Lakini kama unafuatilia vizuri masuala, wakati Facebook wametoa tenda kwa wakenya kutengeneza Menu ya kiswahili, waliomba msaada kwa watanzania ili kuingiza kiswahili kilichonyooka! Mtu kama Prof Masamba amefanya kazi kubwa tu ya kutengeneza ile menu!
Pamoja na hayo mambo nihitimishe kwa kusema, Kiswahili sio cha Tanzania pekee, ni cha Africa Mashariki na kati! Kwa hiyo hata kama ni Mkenya au Mtanzania au Mrundi anakikuza nje ya mpaka ni jambo jema! Zaidi ni kuona kiswahili kikikua!
Sikutumia kihisishi hata kimoja, duh! Hehehehe! Kwa mwendo huu tutaogopana humu na kuishia kuandika sentensi moja moja kwa makini.Mbona unaweka nomino mbele ya vihisishi na vivumishi ....hahahahhahaha
Tukianza kusisitiza ya kwamba lugha ni sharti litumiwe kwa kufuata sheria na katitika uhalisia wake, na kwamba tutashinda tukisahihishana makosa madogo madogo, basi hapo lugha itapoteza utamu wake pamoja na ubunifu.Mbona unaweka nomino mbele ya vihisishi na vivumishi ....hahahahhahaha
sisi tulishakijenga hichi tangu 2014 nyie ndo mmeibuka sasa hivi..kiswahili chetu badooo....mombasani hapo!!!
OFFICIAL OPENING OF UWANJA WA MBUZI MINI-STADIUM
Source
Quote:
It was fun galore last night at the inauguration of Uwanja wa Mbuzi Mini Stadium in Kongowea as we played the maiden match between the Mombasa Legends and Team 001. The modern stadium is fitted with Astro Turf Pitch, changing rooms, flood lights and has a capacity of over 2000 people. We will continue to develop such world class facilities around the County, to nurture the sporting talents of our youth and make them be competitive globally in the sports industry.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kukosa elimu ni shinda.....wewe ata kupewa elimu tofauti kati gauge za standard,cape Na meter rail itakua kupoteza muda...byesisi tulishakijenga hichi tangu 2014 nyie ndo mmeibuka sasa hivi..
Hahahahahah jipe moyo unajua sana kiswazi... yale yale ya kusema treni imetia nanga hlf unaona umepatiiiaaa haahhahahaSikutumia kihisishi hata kimoja, duh! Hehehehe! Kwa mwendo huu tutaogopana humu na kuishia kuandika sentensi moja moja kwa makini.
Umeona eeee ... nimekuelewa ila watu wanajifanya kukosoa watu hlf wanaandika sentensi kinyume nyume ukiwaambia wabishi kama niniTukianza kusisitiza ya kwamba lugha ni sharti litumiwe kwa kufuata sheria na katitika uhalisia wake, na kwamba tutashinda tukisahihishana makosa madogo madogo, basi hapo lugha itapoteza utamu wake pamoja na ubunifu.
Haya makosa madogo ni heri kuyasamehe tu.
Kuna posti hapo imesema kuwa mlikosa msimamo wa lugha. Kiswahili hovyo,Kiingereza hovyo kina lafudhi kama vilugha vyenu vya asili.'Rugha' ndio nini, jameni mnatia kichefuchefu, uandishi wenu wa Kiswahili ni ovyo, Kingereza kilishawapiga chenga, lugha zenu za asili ziliwashinda eti mnasema ni ushamba, mnaishi kama watu wasiokua na asili yaani watumwa.
Huyu ni M'BONGO KUTOKA DAR
Kuna posti hapo imesema kuwa mlikosa msimamo wa lugha. Kiswahili hovyo,Kiingereza hovyo kina lafudhi kama vilugha vyenu vya asili.
Ukweli kuwa Wakenya ni wengi kwenye taasisi za kimataifa kuliko Watanzania unaweza usiwe na ubishi, lakini una sababu zake! Hata hivyo tofauti hiyo inazidi kupungua ukilinganisha na huko nyuma! Najua takwimu sahihi sio rahisi kuzipata lakini ukiongea na watu wanaofanya kazi sehemu hizo wanashuhudia hilo!Lakini tukubali ukweli ya kwamba ni wakenya ambao wako katika mstari wa mbele kabisa katika harakati za kuendeleza kiswahili na kuifanya kupata hadhi ulimwenguni. Wasomi wengi wanaojihusisha katika harakati hizi kama kutafsiri programu za kompyuta ama ripoti, mfano zile za Umoja wa Kimataifa nk, wahadhiri wa Kiswahili katika vyuo vikuu vya nchi za mbali zinazofunza lugha hii ni wakenya.
Sina uhakika kuhusu ukweli wa maadai nimewahi kusikia ya kwamba hata hizi maneno zinazotumiwa katika ICT kama utandandawazi, viungambali vilibuniwa na wakenya.
Sidhani hawa wakenya waliojihusisha katika kutafsiri lugha za menu za kompyuta walitafuta usaidizi ya watz eti kwasababu kiswahili chao hakikuwa sawa, bali ilikuwa tu kutafuta kuweka maneno ambayo yangekubalika na wazungumzaji wa lugha hili kutoka pande zote.
Je, umewahi kuinstall programu ya Microsoft kwenye kompyuta? Hapo.kwenye menu wanakoulizia ni lugha gani ungependa litumike, utaona English (UK), English ( US), ikija kwa Kiswahili ni (Kenya).
Kiswahili kinahusishwa zaidi na Kenya.
kwasababu wakenya ndio wapo katika kipaumbele kukiendeleza na kupata kutajika kote ulimwenguni.
Harakati zetu hizi za kuhamasisha dunia kuhusu eneo letu la Afrika mashariki ndizo zimepeleke hata mlima Kilimanjaro na Serengeti na wamasaai kuhusishwa zaidi na Kenya, huku nyinyi mkidhani tunawaibia heritage zenyu.