Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

mbwigambwiga mmoja! EMUs zikiingia hutakaa kwa raha humu ndani!
Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
 
Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
Whether ITX or KTX they r both far advanced compared to anything in Sub Saharan Africa at the moment! Tuliza kiboga!
 
Ukishamwingiza lisu, huna Sera tena, disagreements with Kenya was before hata lisu hajazaliwa
 
Ile hotuba ndani ya Bunge la Kenya,Kiongozi awamu ya 4 akiaga alitoa kauli zenye kujenga na ndani ya hotuba kuna ukweli sana umezungumzwa!
 
Wewe vipi?, chakula chetu hakitoshelezi masoko ya kusini mwa Africa, Msumbiji, Zambia, Zimbabwe, DRC hadi Botswana wananunua Chakula kwetu, hao wakenya tunawauzia kwasababu wanatuomba tuwauzie, sio soko muhimu kwetu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu vyetu vyema wanavimezea mate muda mrefu. Pia walikuwa wanavitumia kiwizi wizi, kama ilivyo kawaida yao. Sasa wanaona tumewakazia, wanaanza kujenga chuki na sisi.
 
Hatujawahi kuwa na urafiki na Kenya hata mara moja, unakumbuka enzi za Kikwete Kenya iliongoza kundi la CoW kuitenga Tanzania na kukatokea mzozo mkubwa hadi Kikwete akaenda kujieleza bungeni?

Unakumbuka mzozo wa Kenya kupiga marufuku magari ya utalii kwenda Kenya na Tanzania kupunguza Safari za KQ kuja Tanzania hadi Uhuru Kenyatta akakutana na Kikwete Namibia wakayajenga?

Kama Lissu kulazwa Nairobi ilikua ni tatizo, iweje makamu wa rais alikwenda kumuona Hosputali Nairobi, wacha kufikiri kwa kutumia pua, Kenya wanagomba na majirani wao wote

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sibishi kwamba mtapokea EMUs. Mimi nabisha kwamba mtapokea ITX trains. Nawahakikishia kwamba mtapokea treni ya umeme lakini itakuwa sawia na mtungi wa chang'aa. Mark my words.
Mitungi ya chang'aa kama hiyo yen?, hiyo haiwezikani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi wa kenya wana penda kuniona they are superior na kuwa dharau wenzao as if they are useless on planet sasa ichu kitu watanzania 99 % hatukitaki including me hapo tu ndio shida ina anza lkn kama waki tanguliza respect wanapo kuwa na wa tz bac hapo tutaenda sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…