Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

We jamaa mpumbavu sana, umetoka kusema vyakula ni bei chini ya kutupa saivi unasema cost of living ipo juu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Please watch your language
Then you must realise living is not food only you need more than food to survive
 
Umerudi kwenye utopolo wako baada ya kushindwa kuonesha mahindi ya 36k? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Umeshindwa kudefend kwanini Kikwete alipingana na cow, kuzuia magari ya watalii yasiingie Tanzania, kupiga ban KQ, wakenya kuweka pingamizi Tanzania isijenge barabara serengeti, isiuze shehena ya vipusa yote hiyo ni enzi ya Kikwete

Umebaki ukiharisha tu kwa mdomo!
Hizo zote no bla bla tu mimi ninayo hotuba ya kikwete akihutubia bunge la kenya na kuwaambia Tanzania na Kenya we never been riverlies but we are alliance
 
Pinga points zangu kuhusu Nyerere kukorofishana na Kenya hadi kufungiana mipaka na Kenya. Pinga kama hayo yote niliyosema ni uongo ili nikuwekee ushahidi hadharani.

Wewe tatizo hujui lolote zaidi ya chuki dhidi ya Magufuli. Kenya ni nchi korofi Sana. Kitendo cha Nyerere kukorofishana na Kenya, ni dalili ya wazi kwamba Kenya ni wakorofi, tatizo lako wewe unachukulia kila abayekorofishana na Kenya, basi yeye ndiye mkorofi, kwanini unauliza kwamba "Mimi ninataka kusema kwamba mwalimu alikua haitakii Kenya men's? ",kwanini hukutaka kujua kwanini Nyerere alikua hapatani na Kenya?.

Acha kuwatetea wakenya, watu ambao wenyewe kwa wenyewe hawpatani, na wanakwaruza na majirani zao wote.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Basi mimi nipo hapa Namanga pia kuna biashara nataka kufanya upande wa Kenya mbona sioni ubaya wao?
Mimi sio mtu wa kuamini porojo nataka uniambie kwa sasa Hivi sio eti Mwalimu alisema Hivi na vile wakati Mwalimu hakua na shida yeyote na Kenya,,,,,
Tatizo la Tanzania na Kenya limeanza mara tu Lissu alivyo pokelewa na kutibiwa kule Ndio mtu fulani anaefikiri yeye amamiliki uhai na umauti akaanza kuleta fitna Zake
Mungu pekee Ndio mwenye sifa ya kutoa na kutwaa
 
Please watch your language
Then you must realise living is not food only you need more than food to survive
Food alone constitutes more than 50% of Kenyans' costs of living. In Tanzania almost 30%, it is enough to define cost of living for majority of countries especially in Third World
 
Hizo zote no bla bla tu mimi ninayo hotuba ya kikwete akihutubia bunge la kenya na kuwaambia Tanzania na Kenya we never been riverlies but we are alliance
Hata Magufuli alipokwenda Kenya alisema hana tofauti zozote na Kenya kama watu wanavyofikiria, kwamba mara kwa mara huwa anampigia simu Uhuru Kenyatta na kupiga story, bahati mbaya tu simu ni kati ya watu wawili, sasa utasikฤฏliza na kuamini hotuba au utaangalia matendo?, kama ni hotuba wote wamesema hakuna tofauti zozote kati ya hizi nchi mbili, lakini nyuma ya pazia wote wamekwaruzana vyakutosha.
 
Nenda ufunzwe kingereza ndio uje kujadili na mimi chochote, kujua kingereza kunaboresha IQ yako unaacha kuwa kilaza kilaza, huwa nakupuuza maana nakudharau hadi ujiboreshe.
Hizo shule mnakwenda kufundishwa kingereza kisha mnatoka kapa kwa mlivyo wazembe.
Fuata hizi taarifa hapa uone kwa kutkujua kingereza mnawachosha watalii hadi hawarudi kwenu tena, mnakenua meno tu ze ze ze
Umeshashiba makande ya kibera unabwatuka na kujamba bila breki.

Si ajabu Borris akikuomba boga kwa kizungu unabong'oa na kumkabidhi lote alitusue.

Nyang'au unafoka balaa. Na kizungu chako KOKO hicho cha kuokoteza hapa na pale.
 
Basi mimi nipo hapa Namanga pia kuna biashara nataka kufanya upande wa Kenya mbona sioni ubaya wao?
Mimi sio mtu wa kuamini porojo nataka uniambie kwa sasa Hivi sio eti Mwalimu alisema Hivi na vile wakati Mwalimu hakua na shida yeyote na Kenya,,,,,
Tatizo la Tanzania na Kenya limeanza mara tu Lissu alivyo pokelewa na kutibiwa kule Ndio mtu fulani anaefikiri yeye amamiliki uhai na umauti akaanza kuleta fitna Zake
Mungu pekee Ndio mwenye sifa ya kutoa na kutwaa
Kwahiyo unakataa Nyerere hakufunga mpaka na kupeleka majeshi mpakani?
 
W
Hata Magufuli alipokwenda Kenya alisema hana tofauti zozote na Kenya kama watu wanavyofikiria, kwamba mara kwa mara huwa anampigia simu Uhuru Kenyatta na kupiga story, bahati mbaya tu simu ni kati ya watu wawili, sasa utasikฤฏliza na kuamini hotuba au utaangalia matendo?, kama ni hotuba wote wamesema hakuna tofauti zozote kati ya hizi nchi mbili, lakini nyuma ya pazia wote wamekwaruzana vyakutosha.
Wow sasa Tanzania na Kenya hakuna shida wala hatujawahi kua na matata?
Kumbe kuna mtu alikua anamshutumu Mwalimu bure tu
 
Mkuu kichwa chako kipo sawa kweli?, mimi ninakuambia kwamba hayo maneno ya Kikwete hata Magufuli pia aliyasema, lakini nyuma ya pazia hakuna urafiki wowote kati ya Kenya na Tanzania tangu enzi za Nyerere, wewe umekazania hotuba ya Kikwete kama ushahidi kwamba Kikwete hakukwaruzana na Kenya

Mkuu, hapo Namanga kama kweli upo hapo waulize watanzania watakuambia jinsi wakenya walivyo na fujo, haijawahi kutokea hata Siku moja upande wa Tanzania wakafunga barabara na kufanya fujo kuzuia magari, ila wakenya haipiti mwaka lazima upande wa Kenya watafanya fujo, wakidai Tanzania inawaonea, hivyo hivyo kati ya mpaka na Uganda, wakenya lazima wafanye fujo, sio Uganda.

Wacha kuwatetea wakenya hao ni watu wa fujo, angalia migomo na fujo za kisiasa, Mara watu wa pwani wanafanya fujo kuzuia SGR, mara Wafuasi wa Kieleweke wanazuia watu wa Tangatanga wasifanye mkutano na watu wanauliwa katika hizo fujo.
 
Umeshashiba makande ya kibera unabwatuka na kujamba bila breki.

Si ajabu Borris akikuomba boga kwa kizungu unabong'oa na kumkabidhi lote alitusue.

Nyang'au unafoka balaa. Na kizungu chako KOKO hicho cha kuokoteza hapa na pale.

Mshenzi kafunzwe kingereza ndio uje uongee na mimi, upo chini ya kiwango cha kujadili na mimi chochote hovyo wewe.....na mtaendelea kuwa maskini wa kutupwa kwa mlivyo wazembe. Kutokujua kingereza kwenu ndio mtaji kwetu....

Basi mimi nipo hapa Namanga pia kuna biashara nataka kufanya upande wa Kenya mbona sioni ubaya wao?
Mimi sio mtu wa kuamini porojo nataka uniambie kwa sasa Hivi sio eti Mwalimu alisema Hivi na vile wakati Mwalimu hakua na shida yeyote na Kenya,,,,,
Tatizo la Tanzania na Kenya limeanza mara tu Lissu alivyo pokelewa na kutibiwa kule Ndio mtu fulani anaefikiri yeye amamiliki uhai na umauti akaanza kuleta fitna Zake
Mungu pekee Ndio mwenye sifa ya kutoa na kutwaa

Huyu ndiye mtu unayemdhalilisha na kumuona hana maana na kumuita mpumbavu, anayeshinda tuzo mbalimbali, na hata anaposhindanishwa na marais wengine, wananchi wa kawaida kabisa ndani na nje ya Africa humchagua kwa kura nyingi sana, bado hata wananchi wa kawaida wote kwako unaona hawana akili zaidi yako wewe.
 
Kwaiyo hata wakati ule wa CoW au Wakati wa propaganda za Covid-19 pia kulikuwa na huyo lisu?
Ulipoandika Lisu nikajua wewe kweli ni Simba zee
 
Kwani Covid imeletwa na Kenya au ni janga la dunia nzima?
Kuna mtu fulani anataka kutawala hata nchi zingine... Mr Uhuru ni msomi na Tajiri sana hawezi kuchukua Amri za mtu fukara tena hohe hahe
 
Huyu ndiye mtu unayemdhalilisha na kumuona hana maana na kumuita mpumbavu, anayeshinda tuzo mbalimbali, na hata anaposhindanishwa na marais wengine, wananchi wa kawaida kabisa ndani na nje ya Africa humchagua kwa kura nyingi sana, bado hata wananchi wa kawaida wote kwako unaona hawana akili zaidi yako wewe.

Hata Hitler na farao walishinda matunzo mbali mbali yalio pigiwa kura na watu wao
Kumbe huelewi...
Kuna watu nchi hii wanafadhila sana na utawala huu
Mayanga construction wanapewa kandasi za ujenzi nchi nzima bila zabuni kwa sababu ni mume Mwanza wa jiwe unategemea atasema kitu?
Kuna watu wanajidai kutembelea viieitee sasa hao watasemaje?
Vipi maelfu kwa maelfu ya watanzania waliouawa na watu wasiojulikana?
Vipi waliofilisiwa?
Kuna viongozi wengi wa kiislamu mamia kwa maelfu wapo jela kwa kesi za uongo za Ugadi na uhujumu Uchumi
Huyu mtu ni katili afadhali ya Hitler
Huwezi kutesa watu namna hii eti kwa sababu mnatofautuana dini au itikadi za siasa
Huyu jamaa mwisho wake mbaya sana
Let's wait and see
Soma hapo wakati media ilipokua huru
 
Attachments

  • Screenshot_20210101-205159.jpg
    Screenshot_20210101-205159.jpg
    96.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20210101-205151.jpg
    Screenshot_20210101-205151.jpg
    113.2 KB · Views: 1
Mshenzi kafunzwe kingereza ndio uje uongee na mimi, upo chini ya kiwango cha kujadili na mimi chochote hovyo wewe.....na mtaendelea kuwa maskini wa kutupwa kwa mlivyo wazembe. Kutokujua kingereza kwenu ndio mtaji kwetu....

Aha haaa
Povuuu,
Huwa naburudika sana nikiona povu kama hilo.

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Hata Hitler na farao walishinda matunzo mbali mbali yalio pigiwa kura na watu wao
Kumbe huelewi...
Kuna watu nchi hii wanafadhila sana na utawala huu
Mayanga construction wanapewa kandasi za ujenzi nchi nzima bila zabuni kwa sababu ni mume Mwanza wa jiwe unategemea atasema kitu?
Kuna watu wanajidai kutembelea viieitee sasa hao watasemaje?
Vipi maelfu kwa maelfu ya watanzania waliouawa na watu wasiojulikana?
Vipi waliofilisiwa?
Kuna viongozi wengi wa kiislamu mamia kwa maelfu wapo jela kwa kesi za uongo za Ugadi na uhujumu Uchumi
Huyu mtu ni katili afadhali ya Hitler
Huwezi kutesa watu namna hii eti kwa sababu mnatofautuana dini au itikadi za siasa
Huyu jamaa mwisho wake mbaya sana
Let's wait and see
Soma hapo wakati media ilipokua huru
Kwahiyo hata hizi kura zinazoendelea sasa kwenye mitandao ambapo marais 4 wa Africa wameteuliwa kuwania hiyo tuzo na sasa hivi kura zinaendelea kupigwa mtandaoni dunia nzima pia huziamini?. Kila mtu anaruhusiwa kupiga hiyo kura popote pale duniani na mpaka sasa Magufuli anaongoza kwa mbali sana. Kwahiyo wewe unadhani dunia nzima hawajui hayo mabaya Magufuli unayoyasema, au wanalazimishwa kumchagua? , au CCM inaendelea kuiba kura?

Sasa kama haya yote yanayofanyika duniani kwako hayana maana, kwamba hao wote wanaopiga kura kwako wewe ni upuuzi na hawana akili, basi wewe hifai kuishi Africa au dunia hii, unapaswa kutafuta sayari tofauti ili uendani na watu wa huko, hapa duniani hapakufai mkuu.

Hivi aliyewafunga masheikh wa uamsho sio Kikwete unayemsifia?, mkuu wacha chuki za Kitoto.

Nimeongea na watu wengi kuwauliza kama wanajua chochote kuhusu kura zinazoendelea hawajui
Hizo kura za kwenye mtandao zinajulikana na waunga mkono wa juhudi batili za mtu mbaya
Kule pemba kaua watu mama kama sio maelfu halafu unasema eti dunia
Kaa ukijua haki ni haki na batili ni batili hata kama inaungwa mkono na minority au majority
Huyu mtu ni balaa na janga la taifa
Anyways nimesema ninyi ni wazee wa Mavi 8 hajui zahma tulizinazo Sisi
 
Attachments

  • Screenshot_20201231-210901.jpg
    Screenshot_20201231-210901.jpg
    80.7 KB · Views: 1
Hivi aliyewafunga masheikh wa uamsho sio Kikwete unayemsifia?, mkuu wacha chuki za Kitoto.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mashekh wa uamsho walikamatwa na SMZ wakati balaa hajakua Rais na kesi zao zilikua zinaendeshwa mahakamani
Lakini balaa alivyoingia madarakani akaagiza waletwe Tanganyika na kusimamisha kesi ili wakae jela waendelee kuteswa
Pia kuna mashekh wengine maelfu wamekamatwa kule mbeya, arusha, Tanga, dar es salaam n, k kuanzia 2016 wakati kafiri tayari ni Rais
Hakuna kwenda mahakamani wala nini
Huyu jamaa ni katili sana
Watanzania hatutaki waachiwe ila tunataka wapelekwe mahakamani kama wanamakosa wahukumiwe kama la waachiwe
 
Back
Top Bottom