joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ila huko huko kwenye mitandao wakisema kwamba Magufuli ni Dictator anakandamiza uhuru wa habari, hizo ndio zinajulikana na watu wote sio?.Nimeongea na watu wengi kuwauliza kama wanajua chochote kuhusu kura zinazoendelea hawajui
Hizo kura za kwenye mtandao zinajulikana na waunga mkono wa juhudi batili za mtu mbaya
Kule pemba kaua watu mama kama sio maelfu halafu unasema eti dunia
Kaa ukijua haki ni haki na batili ni batili hata kama inaungwa mkono na minority au majority
Huyu mtu ni balaa na janga la taifa
Anyways nimesema ninyi ni wazee wa Mavi 8 hajui zahma tulizinazo Sisi
Hivi lile la Nyerere kukorofishana na Kenya na kufunga mpaka na Tanzania ndio umekimbia kulijibu?.
Mkuu wewe ni mtu unayeendeshwa na chuki na huna uelewa wowote wa mambo hapa duniani.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app