Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

Nimeongea na watu wengi kuwauliza kama wanajua chochote kuhusu kura zinazoendelea hawajui
Hizo kura za kwenye mtandao zinajulikana na waunga mkono wa juhudi batili za mtu mbaya
Kule pemba kaua watu mama kama sio maelfu halafu unasema eti dunia
Kaa ukijua haki ni haki na batili ni batili hata kama inaungwa mkono na minority au majority
Huyu mtu ni balaa na janga la taifa
Anyways nimesema ninyi ni wazee wa Mavi 8 hajui zahma tulizinazo Sisi
Ila huko huko kwenye mitandao wakisema kwamba Magufuli ni Dictator anakandamiza uhuru wa habari, hizo ndio zinajulikana na watu wote sio?.

Hivi lile la Nyerere kukorofishana na Kenya na kufunga mpaka na Tanzania ndio umekimbia kulijibu?.

Mkuu wewe ni mtu unayeendeshwa na chuki na huna uelewa wowote wa mambo hapa duniani.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mashekh wa uamsho walikamatwa na SMZ wakati balaa hajakua Rais na kesi zao zilikua zinaendeshwa mahakamani
Lakini balaa alivyoingia madarakani akaagiza waletwe Tanganyika na kusimamisha kesi ili wakae jela waendelee kuteswa
Pia kuna mashekh wengine maelfu wamekamatwa kule mbeya, arusha, Tanga, dar es salaam n, k kuanzia 2016 wakati kafiri tayari ni Rais
Hakuna kwenda mahakamani wala nini
Huyu jamaa ni katili sana
Watanzania hatutaki waachiwe ila tunataka wapelekwe mahakamani kama wanamakosa wahukumiwe kama la waachiwe
Mkuu wacha chuki za kitoto, weka ushahidi kwamba waliletwa bara kipindi cha Magufuli, weka ushahidi kwamba kesi zilisimamishwa kipindi cha Magufuli.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wacha chuki za kitoto, weka ushahidi kwamba waliletwa bara kipindi cha Magufuli, weka ushahidi kwamba kesi zilisimamishwa kipindi cha Magufuli.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hakuna chuki na ushahidi ni kwamba tangu aingie madarakani hawajapelekwa mahakamani na wengine wengi wameendelea kukamatwa kutwa kucha
Kama wewe unamapenzi ya kitoto ni wewe
Lakini ukweli ni kwamba jela zimejaa viongozi wa dini na viongozi wa kisiasa kwa kesi za kubambikiza
 
Weka ushahidi kuthibitisha kwamba Magufuli alipoingia mahakamani, wakazuiliwa kupelekwa mahakamani.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ila huko huko kwenye mitandao wakisema kwamba Magufuli ni Dictator anakandamiza uhuru wa habari, hizo ndio zinajulikana na watu wote sio?.

Hivi lile la Nyerere kukorofishana na Kenya na kufunga mpaka na Tanzania ndio umekimbia kulijibu?.

Mkuu wewe ni mtu unayeendeshwa na chuki na huna uelewa wowote wa mambo hapa duniani.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nyerere alifunga mipaka na nchi zote mpaka watu tukawa tunavaa matajiri sio Kenya tu
Kuhusu Uhuru wa Habari hatuhitaji mtu atueleze kwenye mtandao tunajionea wenyewe sekta ya media inakufa
 
Tuwekee ushahidi mkuu kwamba Nyerere alifunga mipaka na nchi zingine zaidi ya Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mshenzi kafunzwe kingereza ndio uje uongee na mimi, upo chini ya kiwango cha kujadili na mimi chochote hovyo wewe.....na mtaendelea kuwa maskini wa kutupwa kwa mlivyo wazembe. Kutokujua kingereza kwenu ndio mtaji kwetu....

Hahahaaaaaaa..... nyang'au usipaniki shubaamit zako.

Hicho Kiingereza peleka kibera huko kwa machokoraa wenzako!
 
Kingereza ndio kula yetu, ndio kinafanya tukwapue fursa zote na kuwafunika kote kote, kimewapiga chenga kwa mlivyo wazembe mumeishia kulialia tu....siku ukifundishwa kingereza utapata raha sana yaani unateleza ngeli mpaka raha kwenye kikao huku wabongo wenzio wamebaki kukenua meno tu na kudata.....hehehehe...safi sana aisei
 
Mbona nyang'au wenzako wanakufa njaa hapo kwenye majalala ya kibera haujawaokoa na hicho Kizungu chako cha kubangaiza!?
 
Siku ukijua kingereza kama mimi utapata raha sana....yaani utakua unajiamini popote pale....raha yaani.
 
Hili siyo jambo la kutoka povu. Ukiwa ughaibuni ni jambo la kawaida tu. Mimi natuma hela kijijini kwa urahisi kabisa. Kana kwamba niko Dar.

Ulisema unapata raha kwa povu zangu, sasa mbona unalialia tena? Nyie legelege na wazembe hamywezani na ujasiri wa Kikenya.
Diaspora wetu wanatuma hela mara kumi ya wenu.
 
Ila huko huko kwenye mitandao wakisema kwamba Magufuli ni Dictator anakandamiza uhuru wa habari, hizo ndio zinajulikana na watu wote sio?.

Hivi lile la Nyerere kukorofishana na Kenya na kufunga mpaka na Tanzania ndio umekimbia kulijibu?.

Mkuu wewe ni mtu unayeendeshwa na chuki na huna uelewa wowote wa mambo hapa duniani.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Unabishana na mtu ambae ana chuki binafsi na jiwe angalia vizuri post zake anarukia chochote ili tu atukane
 
Tuwekee ushahidi mkuu kwamba Nyerere alifunga mipaka na nchi zingine zaidi ya Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ushahidi ni kwamba hata mtumba ilikua haramu tulikua tunavaa na kutumia vitu vya ndani tu Ndio maana tulikua tunavaa viraka
Kuna watu walifungwa jela kwa kukutwa na saa au bidhaa kutoka ulaya
Nyerere alikua anajaribu kulazimisha watanzania kutumia bidhaa za ndani tu sio kama unayo Dhani wewe
Kila bidhaa kutoka nchi yeyote ilikua ni haramu
 
Nimekuekewa mkuu, asante sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom