Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Please watch your languageWe jamaa mpumbavu sana, umetoka kusema vyakula ni bei chini ya kutupa saivi unasema cost of living ipo juu ππππ
Hizo zote no bla bla tu mimi ninayo hotuba ya kikwete akihutubia bunge la kenya na kuwaambia Tanzania na Kenya we never been riverlies but we are allianceUmerudi kwenye utopolo wako baada ya kushindwa kuonesha mahindi ya 36k? ππππ
Umeshindwa kudefend kwanini Kikwete alipingana na cow, kuzuia magari ya watalii yasiingie Tanzania, kupiga ban KQ, wakenya kuweka pingamizi Tanzania isijenge barabara serengeti, isiuze shehena ya vipusa yote hiyo ni enzi ya Kikwete
Umebaki ukiharisha tu kwa mdomo!
Basi mimi nipo hapa Namanga pia kuna biashara nataka kufanya upande wa Kenya mbona sioni ubaya wao?Pinga points zangu kuhusu Nyerere kukorofishana na Kenya hadi kufungiana mipaka na Kenya. Pinga kama hayo yote niliyosema ni uongo ili nikuwekee ushahidi hadharani.
Wewe tatizo hujui lolote zaidi ya chuki dhidi ya Magufuli. Kenya ni nchi korofi Sana. Kitendo cha Nyerere kukorofishana na Kenya, ni dalili ya wazi kwamba Kenya ni wakorofi, tatizo lako wewe unachukulia kila abayekorofishana na Kenya, basi yeye ndiye mkorofi, kwanini unauliza kwamba "Mimi ninataka kusema kwamba mwalimu alikua haitakii Kenya men's? ",kwanini hukutaka kujua kwanini Nyerere alikua hapatani na Kenya?.
Acha kuwatetea wakenya, watu ambao wenyewe kwa wenyewe hawpatani, na wanakwaruza na majirani zao wote.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Food alone constitutes more than 50% of Kenyans' costs of living. In Tanzania almost 30%, it is enough to define cost of living for majority of countries especially in Third WorldPlease watch your language
Then you must realise living is not food only you need more than food to survive
Hata Magufuli alipokwenda Kenya alisema hana tofauti zozote na Kenya kama watu wanavyofikiria, kwamba mara kwa mara huwa anampigia simu Uhuru Kenyatta na kupiga story, bahati mbaya tu simu ni kati ya watu wawili, sasa utasikΔ―liza na kuamini hotuba au utaangalia matendo?, kama ni hotuba wote wamesema hakuna tofauti zozote kati ya hizi nchi mbili, lakini nyuma ya pazia wote wamekwaruzana vyakutosha.Hizo zote no bla bla tu mimi ninayo hotuba ya kikwete akihutubia bunge la kenya na kuwaambia Tanzania na Kenya we never been riverlies but we are alliance
Umeshashiba makande ya kibera unabwatuka na kujamba bila breki.Nenda ufunzwe kingereza ndio uje kujadili na mimi chochote, kujua kingereza kunaboresha IQ yako unaacha kuwa kilaza kilaza, huwa nakupuuza maana nakudharau hadi ujiboreshe.
Hizo shule mnakwenda kufundishwa kingereza kisha mnatoka kapa kwa mlivyo wazembe.
Fuata hizi taarifa hapa uone kwa kutkujua kingereza mnawachosha watalii hadi hawarudi kwenu tena, mnakenua meno tu ze ze ze
Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...www.jamiiforums.com
Kwahiyo unakataa Nyerere hakufunga mpaka na kupeleka majeshi mpakani?Basi mimi nipo hapa Namanga pia kuna biashara nataka kufanya upande wa Kenya mbona sioni ubaya wao?
Mimi sio mtu wa kuamini porojo nataka uniambie kwa sasa Hivi sio eti Mwalimu alisema Hivi na vile wakati Mwalimu hakua na shida yeyote na Kenya,,,,,
Tatizo la Tanzania na Kenya limeanza mara tu Lissu alivyo pokelewa na kutibiwa kule Ndio mtu fulani anaefikiri yeye amamiliki uhai na umauti akaanza kuleta fitna Zake
Mungu pekee Ndio mwenye sifa ya kutoa na kutwaa
Wow sasa Tanzania na Kenya hakuna shida wala hatujawahi kua na matata?Hata Magufuli alipokwenda Kenya alisema hana tofauti zozote na Kenya kama watu wanavyofikiria, kwamba mara kwa mara huwa anampigia simu Uhuru Kenyatta na kupiga story, bahati mbaya tu simu ni kati ya watu wawili, sasa utasikΔ―liza na kuamini hotuba au utaangalia matendo?, kama ni hotuba wote wamesema hakuna tofauti zozote kati ya hizi nchi mbili, lakini nyuma ya pazia wote wamekwaruzana vyakutosha.
Mkuu kichwa chako kipo sawa kweli?, mimi ninakuambia kwamba hayo maneno ya Kikwete hata Magufuli pia aliyasema, lakini nyuma ya pazia hakuna urafiki wowote kati ya Kenya na Tanzania tangu enzi za Nyerere, wewe umekazania hotuba ya Kikwete kama ushahidi kwamba Kikwete hakukwaruzana na KenyaW
Wow sasa Tanzania na Kenya hakuna shida wala hatujawahi kua na matata?
Kumbe kuna mtu alikua anamshutumu Mwalimu bure tu
Umeshashiba makande ya kibera unabwatuka na kujamba bila breki.
Si ajabu Borris akikuomba boga kwa kizungu unabong'oa na kumkabidhi lote alitusue.
Nyang'au unafoka balaa. Na kizungu chako KOKO hicho cha kuokoteza hapa na pale.
Basi mimi nipo hapa Namanga pia kuna biashara nataka kufanya upande wa Kenya mbona sioni ubaya wao?
Mimi sio mtu wa kuamini porojo nataka uniambie kwa sasa Hivi sio eti Mwalimu alisema Hivi na vile wakati Mwalimu hakua na shida yeyote na Kenya,,,,,
Tatizo la Tanzania na Kenya limeanza mara tu Lissu alivyo pokelewa na kutibiwa kule Ndio mtu fulani anaefikiri yeye amamiliki uhai na umauti akaanza kuleta fitna Zake
Mungu pekee Ndio mwenye sifa ya kutoa na kutwaa
Kwaiyo hata wakati ule wa CoW au Wakati wa propaganda za Covid-19 pia kulikuwa na huyo lisu?Basi mimi nipo hapa Namanga pia kuna biashara nataka kufanya upande wa Kenya mbona sioni ubaya wao?
Mimi sio mtu wa kuamini porojo nataka uniambie kwa sasa Hivi sio eti Mwalimu alisema Hivi na vile wakati Mwalimu hakua na shida yeyote na Kenya,,,,,
Tatizo la Tanzania na Kenya limeanza mara tu Lissu alivyo pokelewa na kutibiwa kule Ndio mtu fulani anaefikiri yeye amamiliki uhai na umauti akaanza kuleta fitna Zake
Mungu pekee Ndio mwenye sifa ya kutoa na kutwaa
Kwani Covid imeletwa na Kenya au ni janga la dunia nzima?Kwaiyo hata wakati ule wa CoW au Wakati wa propaganda za Covid-19 pia kulikuwa na huyo lisu?
Ulipoandika Lisu nikajua wewe kweli ni Simba zee
Hata Hitler na farao walishinda matunzo mbali mbali yalio pigiwa kura na watu waoHuyu ndiye mtu unayemdhalilisha na kumuona hana maana na kumuita mpumbavu, anayeshinda tuzo mbalimbali, na hata anaposhindanishwa na marais wengine, wananchi wa kawaida kabisa ndani na nje ya Africa humchagua kwa kura nyingi sana, bado hata wananchi wa kawaida wote kwako unaona hawana akili zaidi yako wewe.
Mshenzi kafunzwe kingereza ndio uje uongee na mimi, upo chini ya kiwango cha kujadili na mimi chochote hovyo wewe.....na mtaendelea kuwa maskini wa kutupwa kwa mlivyo wazembe. Kutokujua kingereza kwenu ndio mtaji kwetu....
Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena. Maana yake ni kuwa sisi...www.jamiiforums.com
Aha haaa
Povuuu,
Huwa naburudika sana nikiona povu kama hilo.
π€£π€£π
Kwahiyo hata hizi kura zinazoendelea sasa kwenye mitandao ambapo marais 4 wa Africa wameteuliwa kuwania hiyo tuzo na sasa hivi kura zinaendelea kupigwa mtandaoni dunia nzima pia huziamini?. Kila mtu anaruhusiwa kupiga hiyo kura popote pale duniani na mpaka sasa Magufuli anaongoza kwa mbali sana. Kwahiyo wewe unadhani dunia nzima hawajui hayo mabaya Magufuli unayoyasema, au wanalazimishwa kumchagua? , au CCM inaendelea kuiba kura?Hata Hitler na farao walishinda matunzo mbali mbali yalio pigiwa kura na watu wao
Kumbe huelewi...
Kuna watu nchi hii wanafadhila sana na utawala huu
Mayanga construction wanapewa kandasi za ujenzi nchi nzima bila zabuni kwa sababu ni mume Mwanza wa jiwe unategemea atasema kitu?
Kuna watu wanajidai kutembelea viieitee sasa hao watasemaje?
Vipi maelfu kwa maelfu ya watanzania waliouawa na watu wasiojulikana?
Vipi waliofilisiwa?
Kuna viongozi wengi wa kiislamu mamia kwa maelfu wapo jela kwa kesi za uongo za Ugadi na uhujumu Uchumi
Huyu mtu ni katili afadhali ya Hitler
Huwezi kutesa watu namna hii eti kwa sababu mnatofautuana dini au itikadi za siasa
Huyu jamaa mwisho wake mbaya sana
Let's wait and see
Soma hapo wakati media ilipokua huru
Hivi aliyewafunga masheikh wa uamsho sio Kikwete unayemsifia?, mkuu wacha chuki za Kitoto.Hata Hitler na farao walishinda matunzo mbali mbali yalio pigiwa kura na watu wao
Kumbe huelewi...
Kuna watu nchi hii wanafadhila sana na utawala huu
Mayanga construction wanapewa kandasi za ujenzi nchi nzima bila zabuni kwa sababu ni mume Mwanza wa jiwe unategemea atasema kitu?
Kuna watu wanajidai kutembelea viieitee sasa hao watasemaje?
Vipi maelfu kwa maelfu ya watanzania waliouawa na watu wasiojulikana?
Vipi waliofilisiwa?
Kuna viongozi wengi wa kiislamu mamia kwa maelfu wapo jela kwa kesi za uongo za Ugadi na uhujumu Uchumi
Huyu mtu ni katili afadhali ya Hitler
Huwezi kutesa watu namna hii eti kwa sababu mnatofautuana dini au itikadi za siasa
Huyu jamaa mwisho wake mbaya sana
Let's wait and see
Soma hapo wakati media ilipokua huru
Nimeongea na watu wengi kuwauliza kama wanajua chochote kuhusu kura zinazoendelea hawajuiKwahiyo hata hizi kura zinazoendelea sasa kwenye mitandao ambapo marais 4 wa Africa wameteuliwa kuwania hiyo tuzo na sasa hivi kura zinaendelea kupigwa mtandaoni dunia nzima pia huziamini?. Kila mtu anaruhusiwa kupiga hiyo kura popote pale duniani na mpaka sasa Magufuli anaongoza kwa mbali sana. Kwahiyo wewe unadhani dunia nzima hawajui hayo mabaya Magufuli unayoyasema, au wanalazimishwa kumchagua? , au CCM inaendelea kuiba kura?
Sasa kama haya yote yanayofanyika duniani kwako hayana maana, kwamba hao wote wanaopiga kura kwako wewe ni upuuzi na hawana akili, basi wewe hifai kuishi Africa au dunia hii, unapaswa kutafuta sayari tofauti ili uendani na watu wa huko, hapa duniani hapakufai mkuu.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mashekh wa uamsho walikamatwa na SMZ wakati balaa hajakua Rais na kesi zao zilikua zinaendeshwa mahakamaniHivi aliyewafunga masheikh wa uamsho sio Kikwete unayemsifia?, mkuu wacha chuki za Kitoto.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app