Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

Mkuu wewe unasema kijazba na kisiasa na mimi nakwambia kiuhalisia
Kule Songwe na Dodoma mahindi hayana wanunuzi
Jana tu niliuliza nikaambiwa vwawa na mloo mkoani Songwe debe ni 6000 gunia 36000
Nani kakwambia dar mahindi ni 90 000?
NRFA chang'ombe walikua wananunua kwa kilo Sh 600 then wanakata 2% kwa sasa wamesimama soko hamna
Ndugu mimi hii Ndio kazi yangu
Wanunuzi wakubwa wa mazao yetu ni Wakenya maana wao Ndio suppleyers wa nchi zenye ukame kama Somalia,. Eritrea. Ethiopia. Chad. South Sudan. Sudan n, k
Sio kwamba mazao yetu yote wanakula wao
SADC ni nchi za rutuba na wanalima sana mpaka Leo kuna wazungu wamechukua mamilioni ya hekta
Congo ni nchi ya kijani kuliko nchi yeyote duniani baada ya misitu ya Amazon
Mozambique ni Wakulima wazuri sana wapo wareno wanalima sana hakuna njaa huku kusini mwa jangwa la Sahara labda itokee janga kama Nzige au mvua zisitoshe
Nchi kama Somalia au Chad au Africa ya Kati ni nchi za jangwani kama sudan
Hao Ndio wanakua mchele, maharage, mahindi yetu kuliko yeyote yule
Anglia Google map sura ya nchi utaona jinsi gani hizo nchi zilivyo pauka
Kuhusu Matunda
Watu wa muheza na Tanga kwa ujumla soko Lao kubwa ni Kenya maana Kenya kuna viwanda vingi vya juices na wanasambza bidhaa zao kule kaskazini
Mkuu maisha ni kutegemeana na kuishi na watu kwa wema
Uadui hauna faida
ninyi mpo maofisini mkitoka mpo kwenye viietee hamjui mtaani kuna nini
Hahaha. Hio picha imenichekesha sana. Unaijua v-80 wewe?
 
Ulisema unapata raha kwa povu zangu, sasa mbona unalialia tena? Nyie legelege na wazembe hamywezani na ujasiri wa Kikenya.
Diaspora wetu wanatuma hela mara kumi ya wenu.

Sijakuelewa, diaspora katuma pesa kwao. Halafu mimi nilie.
 
Kwahiyo hata hizi kura zinazoendelea sasa kwenye mitandao ambapo marais 4 wa Africa wameteuliwa kuwania hiyo tuzo na sasa hivi kura zinaendelea kupigwa mtandaoni dunia nzima pia huziamini?. Kila mtu anaruhusiwa kupiga hiyo kura popote pale duniani na mpaka sasa Magufuli anaongoza kwa mbali sana. Kwahiyo wewe unadhani dunia nzima hawajui hayo mabaya Magufuli unayoyasema, au wanalazimishwa kumchagua? , au CCM inaendelea kuiba kura?

Sasa kama haya yote yanayofanyika duniani kwako hayana maana, kwamba hao wote wanaopiga kura kwako wewe ni upuuzi na hawana akili, basi wewe hifai kuishi Africa au dunia hii, unapaswa kutafuta sayari tofauti ili uendani na watu wa huko, hapa duniani hapakufai mkuu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Eq8hzhlVoAEco3j.jpeg

Anaongoza kwa mbali sana? Ama keshageuka kuwa Rais wa Ghana?
 
Utakuwa unaumwa wewe, siyo bure.
Nilie wakati nimetuma for both recurrent and investment expenditure for 10 years consecutively.

Sasa ndio utulize hicho kiherehere cha kike sio kudandia bila kujua wapi inakwenda, nyie ni watu wazembe sana hamuwezi kujilinganisha na diaspora wetu.
 
Mimi najitambua bwana mdogo. Na ndiyo maana hutaniona kwenye mijadala isiyo na tija. Sijui nani amefanya hiki au kile. That's non of my business. Mimi huwa naongelea issues.

Diaspora emittances, siyo jambo la ajabu kwangu. Natuma sana. Kwa hiyo sioni kama ni hoja.

Wee endelea kubishana na wenzako tu.
 
Aha wapi wewe kuna mjadala ambao huparamii humu, hivi kuna mpayukaji hukuzidi kweli, umevaa sare za mataga, mara Lumumba huna hoja usiokurupukia humu. Halafu nashangaa sana unajiita "dayaspora" wa Tanzania, ndio maana mpo nyuma hivi kama diaspora wa Tz ndio kama wewe.....hehehe
 
Siwezi shangaa, maana kuwa diaspora kwa Kenya, ni kama vile kwenda peponi.

I remember the other I was travelling to Washington DC. I met with a Kenyan girl at Dubai airport.
She asked me, "are you going to China?" Nikamwambia naenda Washington DC. Akawa mdogo kama piriton na hakuwa akiongea kwa shangwe kama hapo kabla. By the moment tunaongea hivyo, nikawa nasogelea na kuingia gate langu ili nikakamate Emirates nianze safari ya 17hrs non stop to Dulles International Airport.

So sishangai kwa wakenya kuwaona diaspora kama wako peponi vile. Nadhani ni kwa sababu ni kikuyu na jaluo ndiyo wanaokwenda ughaibuni. Wengine ni watazamaji tu.
🤣😂🤣
 
Kwa namna huwa unajitamba humu tukujue kama diaspora wa Tanzania ila unaandika kama kilaza cha Buza sishangai kwanini huwa mumefulia na kushindwa kutuma chochote cha maana nyumbani, ila japo inawezekana wewe sio diaspora utakua kajamba fulani hapo Buza umefanikiwa kupata simu maana hata kingereza chako huwa cha kubabaisha na kuokoteza.
 
Natuma hela na kuja kuhesabiwa kijijini kila mwaka. Hata sasa Niko sijaondoka.

Hilo ni jambo la kawaida kwangu.
 
Acheni kulalamika kama mazezeta, huwa mnakwenda shuleni kujifunza kingereza cha nini kama kimewashinda, tutaendelea kuwazidi kingereza hadi mkome na mtalialia kila siku, hovyoo sana nyie, tatizo lenu uzembe.
Wakenya ni matako sana nyie, Ethiopian and Somalian wengi hawajui Kingereza mbona hamuwashangai,ila mtz kutojua Kingereza is big deal
 
Kitambo kabla sijaja Tanzania nilikua nachukulia kingereza poa, sikua naona kama kitu kikubwa cha maana, kwa sababu nilianza kufundishwa na kukitumia tangu chekechea, ila niliona thamani ya kujua Kingereza nilipokwenda Tanzania na kukuta mnavyoteseka kwa kutokijua, namna kinawapa chenga, yaani watu wanakusanyika kwenye kikao halafu ikiamuliwa lugha itumike ya Kingereza, Watz wanaganda balaa, na kila mmoja anayejitutumua anateseka hadi huruma...ze ze ze nyingi kutunga sentensi kunawapa shida, kuanzia kwa wakurugenzi hadi makajamba wa kawaida.

Japo kingine nilichokiona, ukitaka kuzima umbea wa Kitz, sisitiza kikao kifanyike kwa kingereza, maana mkiachiwa mfanye kwa Kiswahili hatutakuza chochote maana mna maneno maneno mengi mpaka kikao mlichokusudia cha lisaa moja kinakwenda masaa matano na hamna cha maana mnachoibuka nacho, ni umbea umbea tu wa KISHILAWADU.
 
Umeshashiba makande ya kibera unabwatuka na kujamba bila breki.

Si ajabu Borris akikuomba boga kwa kizungu unabong'oa na kumkabidhi lote alitusue.

Nyang'au unafoka balaa. Na kizungu chako KOKO hicho cha kuokoteza hapa na pale.
Sindano limekuingia hehehehehh wazee wa ze ze ze ze zezeta.
 
Kitambo kabla sijaja Tanzania nilikua nachukulia kingereza poa, sikua naona kama kitu kikubwa cha maana, kwa sababu nilianza kufundishwa na kukitumia tangu chekechea, ila niliona thamani ya kujua Kingereza nilipokwenda Tanzania na kukuta mnavyoteseka kwa kutokijua, namna kinawapa chenga, yaani watu wanakusanyika kwenye kikao halafu ikiamuliwa lugha itumike ya Kingereza, Watz wanaganda balaa, na kila mmoja anayejitutumua anateseka hadi huruma...ze ze ze nyingi kutunga sentensi kunawapa shida, kuanzia kwa wakurugenzi hadi makajamba wa kawaida.

Japo kingine nilichokiona, ukitaka kuzima umbea wa Kitz, sisitiza kikao kifanyike kwa kingereza, maana mkiachiwa mfanye kwa Kiswahili hatutakuza chochote maana mna maneno maneno mengi mpaka kikao mlichokusudia cha lisaa moja kinakwenda masaa matano na hamna cha maana mnachoibuka nacho, ni umbea umbea tu wa KISHILAWADU.
yaani wewe unakijua kiingereza,halafu ukaja kuiona thamani yake tz[emoji23][emoji23][emoji23]

ndio ukajua kwamba una kitu cha maana sana kichwani[emoji38][emoji38]ama uligundua nini!!!

huku hakina thamani ndio maana hakiko popular kiivyo,tena hata wanaokijua hawakitumii,maana utaonekana mshamba.
hata hapo kwenye mkutano inawezekana mmiliki wa kampuni na uongozi wa juu wala hawakuwa na muda na broken,ila wewe sasa[emoji16][emoji16][emoji16],mpaka unahisi useme kitu kwa boss[emoji23][emoji23].
 
Nilikua nachukulia poa maana huku maofisini tunakitumia kama lugha ya kawaida tena kwa uzoefu mkubwa tu, ila nilivyoona Wabongo wanateseka kwa kutokujua kingereza na wanavyotuonea wivu hehehe nikajua kumbe kina thamani, kwanza kuna Wakenya wengi huko Bongo wamefanya kingereza kuwa mtaji.
 
Back
Top Bottom