Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

Tunza familia yako.Ili ufanikiwe katika hilo ni mwendo wa "SALA NA KAZI".(Ora et Labora).Tafuta timu ya Mpira nunua jezi za hiyo timu kama 6pcs,bakiza 2pcs nyingine gawia unaowapenda.Ya kaisari Mpe kaisari na ya Mungu Mpe Mungu🙏....

Mkuu hata ma CCM, bi tozo, Tulia na vibaraka wao wanayo mawazo kama yako. Vipi ndugu, ni wenzako?
 
Mkuu;
link hii hapa:,
 
Kwa hiyo ndugu nani walio relevant ambao wananchi hawaja wapuuza? Kingine, unafahamu tofauti ya wao kama binadamu na hoja zao?
Mkuu brazaj achana na hao utadharaulika. Mwabukusi ni mlevi mbwa anayelewa hadi kujikojolea bar, Mdude ni muathirika wa vitendo vya kulawitiwa akiwa mahabusu enzi za Magu so yuko desperate. Dr Slaa ni kama malaya wa corner bar tu kwa vile ukimpa hela anafanya chochote. Kumbuka alikuwa Padre halafu akaasi, alioa akaacha, akaoa Mushumbushi naye akamshindwa. Alikuwa CDM then akahongwa na Magu na kuwa CCM. Alipoachwa na Samia jobless ndiyo anatafuta pa kutokea
 

Uliyoyaandika hapa nabii Issa aliyoana milenia mbili zilizopita:

Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

Pole lakini ndugu .. mwana mpotevu anayo haki ya kurudi nyumbani.
 

Mkuu nilikuwa sijauona. Asante sana. Ngoja sasa nipige kambi hapo kuvuna madini.
 
Naaam umeongea ukweli

Shida ya Chadema ni chama chao sio wananchi na nchi na shida za wananchi..

Mikutano sio njia pekee ya kumkomboa Mtz. Wamekazana na kutafuta huruma kila wakati.
Press conference zao ni pale tu chama kimeguswa.

Serikali inafanya mengi mengi kinyume na Katiba wao wapo tu kuandika kwenye social media.
Kuna jambo tusilolijua
Wameacha kuungana na wanaharakati kutwa kuwasimanga…
Matumizi ya pesa ni makubwa but for nothing..

Chadema badilikeni kama kweli ninyi ni wapinzani.

Upinzani sio ku brand jina la chama mara sijui nguo sijui kofia ( hii ni rubbish)

Upinzani ni kupingana na serikali kwa hoja kwa bidii kwa lolote sio kukaa kwenye vikao visivyoisha mahotelini..

Semeni Fanyeni jambo wananchi wawasikie
Ikosoeni serikali ASUBUHI MCHANA JIONI
sio hadithi njoo utamu kolea.

Kwani Ruzuku kazi yake nini? Si mnachukua then what?

Mods tadadhalini sana msifute mawazo yangu..
 

Umeeleza vyema. Tatizo ni kuwa nia njema ya kufanya vyema zaidi ipo? Huu hapa ulikuwa uzi mwingine:

Kuzuiwa Lissu, habari na Propaganda CHADEMA mko wapi?
 
Dr. Slaa siyo mnafiki ni mtu anayechukia ufisadu kwa vitendo sasa kama chadema kilishirikiana na baadhi ya wana ccm kumchafua Lowasa na Dr. Slaa akiwemo wewe ulitegemea Slaa hamnadi Lowasa kweli? Huo sindio tunauita undumila kuili.
 

"Sikuwa nimeliona bandiko lako hili kabla. Majukumu si kidogo."

Mada mbona iko wazi mno ndugu? Chini ya kichwa:

"Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono."

Yenye kuwasilisha mawazo binafsi ya mleta mada kama mwananchi huru. Beberu akiita:

"Thinking aloud."

1. Hakuna popote palipoandikwa kina Mwabukusi wanataka support ya awaye yote.

2. Hakuna popote walipotajwa CDM, wala kuonyesha kuna malumbano na mtu yeyote achilia mbali na hao CDM unaowasema.

Jiridhishe ndugu, kwenye mada yaliyomo ni haya:

"Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi.

Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi?"


Uliyoyaandika wewe (ya wao kutaka support, CDM au malumbano) umeyatoa wapi au yanahusika vipi hapa ndugu?

Hayo ni maoni yangu. Kila mtu ana yake. Huo si ndiyo ustaarabu?
 
Dr. Slaa siyo mnafiki ni mtu anayechukia ufisadu kwa vitendo sasa kama chadema kilishirikiana na baadhi ya wana ccm kumchafua Lowasa na Dr. Slaa akiwemo wewe ulitegemea Slaa hamnadi Lowasa kweli? Huo sindio tunauita undumila kuili.
Uko sahihi, basi huyo Dr. Slaa naye asitake kuungwa mkono na hao mandumilakuwili.
 
Agenda za vyama ni za wananchi wa vyama hivyo pia.
 
Agenda za vyama ni za wananchi wa vyama hivyo pia.

Tofauti za mawazo haijawahi na wala haitakuja kuwa ni dhambi.

"Hata watoto mapacha hutokea wakati wakatofautiana." --chidumule.

Ikitokea hivyo, kistaarabu, mwamuzi huwa ni kura hata (huko) vyamani.

Ustaarabu ni kushawishiana kwa hoja. Hoja haipingwi kwa rungu.
 
Fuatilia vizuri lawama dhidi ya CDM kuhusu kuwaunga mkono akina Mwabukusi. Usijifungie kwenye mtazamo wako tu, tazama na wengine wanaongea Nini kwenye hilo suala la kina Mwabukusi na ushiriki wa cdm.
 
Fuatilia vizuri lawama dhidi ya CDM kuhusu kuwaunga mkono akina Mwabukusi. Usijifungie kwenye mtazamo wako tu, tazama na wengine wanaongea Nini kwenye hilo suala la kina Mwabukusi na ushiriki wa cdm.

Lawama na magomvi havisaidii kitu ndugu. CCM na vibaraka wao wanatutaka sana huko.

"Kulikoni kutojikita kwenye mada?"

Zingatia mada hii haihusiani na lawama wala magomvi yoyote unayoonekana kuongelea wewe.

Hapa chini niliandika, Machi 21, 2023:

Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

"Maudhui ya mada hiyo na hii hayana tofauti."

"Kama watu wazima kulikoni tusipime na kuchambua mambo na kuchagua wenyewe yaliyo bora zaidi?"

Kumbuka kama binadamu tunayo haki ya kuwa na maoni binafsi.

Kwani tatizo liko wapi hapo ndugu?
 
Ni kweli alimpatia mdogo wake lkn sababu ni kwamba hakuona aliyekuwa na uchungu na nchi zaidi ya huyo mdogo wake.

Kwa kungelea kabisa Kwa nyundo:

"mdogo wake naye alimwachia nani?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…