- Thread starter
- #101
Umekatazwa na nani kuwaunga mkono? Kila mtu na interest zake so usitulazimishe.
Wapi umelazimishwa au wapi nimesema nimekatazwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekatazwa na nani kuwaunga mkono? Kila mtu na interest zake so usitulazimishe.
Kwahio?Wote wachumia tumbo.Hata huyo uliyemu-quote Fidel Castro mwisho wa siku alimwachia nchi mdogo wake....
Achana nae HuyoWapi umelazimishwa au wapi nimesema nimekatazwa?
Huyu Mwabukusi ni kama Mugabe wakati wa ujana wake.
... hutokaa upoteze muda wako kuwafuatilia hawa wanaojinasibu kuwa wao wanafaa kuwa viongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwabukusi na wenzie wako IRRELEVANT kwa kuwa wananchi hawajui nini wanataka. Ndiyo maana wamewapuuzaJitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo.
Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi.
Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi?
Ikumbukwe ukombozi hauhitaji watu wote:
View attachment 2773394
Hapa ndipo zilipo tofauti zetu na kwingine pote.
"Mwoga yeyote asitwambie watanzania ni waoga. Mwoga yeyote asitwambie sisi ni tofauti na Kenya."
Tuwakumbushe waoga hawa kuwa Kwingine hawana urafiki wala uadui wa kudumu. Pia kwingine, na vigogo huwepo kwenye maandamano.
"Kwamba hakuna katiba mpya, hakuna chaguzi? Hiyo ndiyo agenda yetu peke ya turufu kwenye mustakabala wetu kama taifa, na inawezekana."
Jambo la kheri ni kuwa, vuguvugu la kina Mwabukusi limetuonyesha nani ni nani baina yetu.
mimi na mke wangu na watoto wangu, we vepee!!!Nani kajiona bora au mwema zaidi? Kwamba kumbe kuna u star unao au mnao u mind mno hapa?
Watu wa namna gani nyie?
Kuna hili la "sisi," kwani uko katika kum address nani kumbe?
Basi hata tuseme hata kama ulimaanisha "wao," yaani kina Mwabukusi, kulikoni kutokukaa angalau hata kimya tu, kama kuwatia moyo au kuwaunga mkono huwezi au hamuwezi?
Kamwe usiwaamini wana siasa walimwita Lowasa fisadi mwishoni wakamteua kuwa mgombea urais wao
Na katiba wanayoitaka wapinzani ni katiba ya kuwasaidia waingie madarakani si katiba ya wananchi wote.
... we vepee!!!
Mwabukusi na wenzie wako IRRELEVANT kwa kuwa wananchi hawajui nini wanataka. Ndiyo maana wamewapuuza
unaona sasa ulivyomuoga?Hii lugha niliposikia ikihusishwa na zile jinsia ngeni .. binafsi and without prejudice naliigopa kuliko ukoma.
Naingia.mkono hoja.
Watanzania sio wajinga, utapokelewa kwa kadri utakavyo waijia baada ya kukusoma, case closedJitihada za kina Mwabukusi ni zenye mlengo wa kuwakabili maadui zetu kwa vitendo.
Kina Mwabukusi hawaongelei agenda za vyama. Kina Mwabukusi wanaongelea agenda za wananchi.
Nini kilicho bora kuliko agenda za wananchi?
Ikumbukwe ukombozi hauhitaji watu wote:
View attachment 2773394
Hapa ndipo zilipo tofauti zetu na kwingine pote.
"Mwoga yeyote asitwambie watanzania ni waoga. Mwoga yeyote asitwambie sisi ni tofauti na Kenya."
Tuwakumbushe waoga hawa kuwa Kwingine hawana urafiki wala uadui wa kudumu. Pia kwingine, na vigogo huwepo kwenye maandamano.
"Kwamba hakuna katiba mpya, hakuna chaguzi? Hiyo ndiyo agenda yetu peke ya turufu kwenye mustakabala wetu kama taifa, na inawezekana."
Jambo la kheri ni kuwa, vuguvugu la kina Mwabukusi limetuonyesha nani ni nani baina yetu.
Dogo unaumia na unaketwa na cdmSIASA anazofanya Mbowe na genge lake zimepitwa na wakati na hazina impact yyt kwa Taifa hili chawa wa Mbowe mlijue. Hatutaki Siasa za kiwabembeleza watawala utadhani kufanya siasa ni hisani ya chama tawala. Tunataka SIASA za kuwawajibisha watawala pale wanapojiona wako juu ya katiba na sio SIASA za kuwabembeleza eti tupo kwenye maridhiano. Mnaridhiana nini na CCM?Wanauza bandari nyie mnaleta porojo za maridhiano, serious?Mnaacha kuungana na wanaopambana jino kwa jino na wezi nyie mnakuja na porojo za tuna ratiba zetu,mko serious?Toka mmeanza hizo operation mmeona CCM wakiangaika kujibu au kuwazuia?Lakini vipi hili valangati la akina Mdude?Hamuoni CCM wanakereka sana na SIASA za akina mdude kuliko zenu?
Watanzania sio wajinga, utapokelewa kwa kadri utakavyo waijia baada ya kukusoma, case closed
Tunza familia yako.Ili ufanikiwe katika hilo ni mwendo wa "SALA NA KAZI".(Ora et Labora).Tafuta timu ya Mpira nunua jezi za hiyo timu kama 6pcs,bakiza 2pcs nyingine gawia unaowapenda.Ya kaisari Mpe kaisari na ya Mungu Mpe Mungu🙏....Kumbe tuwapate wapi malaika ndugu?
Si hata mashetani wawili hakosekani mwenye unafuu?
Si tupate katiba mpya kuhakikisha wachumia tumbo hawapati nafasi?