Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

Nimeona pia clip moja kwa Chahali Chief wa Buha,Kigoma akiongelea himaya yao akiwa Uganda katika ofisi ya mshauri wa rais Museven na wanashangiliana kabisa kwa makofi.
 
Hakuna tatizo hata kama wakiwa viongozi.kwa Nini marekane wameweza sisi tushindwe?
 
Hiz hbr umetoa wapi bwan mdg thibitisha bila kuacha ukizo
Hiyo siyo siri nenda kunduchi mtongani watu wengi wa siku nyingi walimfahamu Mzee Kabila yeye mwenyewe alikuwa akijinadi kama ni mfipa na wengi waliamini hivyo walikuja kushtuka mwaka 1997 waasi walipoingia Kinshasa na kumuona kiongozi wao ni yule jirani yao ambaye alipotea mtaani kwa muda mrefu bila kujulikana yupo wapi lakini kuhusu Joseph hata humu JF kuna picha zake kadhaa alizopiga akiwa kambini Jkt makutopora.
 
Telegram yake nimelipia mwak ila hajapost uzi wowote ule toka nilipie SMS ukimtumia hajibu anakera
 
Yule siyo mnyakiyusa Ni mnyia mpuuz wa mlowo
Kabila la mama yake ndio mnyiha ila baba yake ni mndali wa, milimani ileje nnja ndio iliyo msogeza mlowo,

Kashawahi kukaa jela miezi 5 kwa kosa la kuvusha pombe aina ya power kimagendo, diwani wa isongole ndiye aliemtoa kwa dhamana,

Baada ya hapo ndio akakimbilia nyimbili na ndiko anakoishi mpka sasa,
 
Sogelea telegram, ndo vita inapoanzaga hii angeimalizia tu
 
Tanzania huhitaji akili kua kwene hayo maeneo uliyotaja !
Unahitaji uwe na hela za kuwahonga wanasiasa!

Kifupi kama ni wakimbizi inamaana kuna kamati zinasukwa na hela za uhakika wanahongea wanasiasa wakuwapenyeza kwene hizo taasisi
 
Hizi ni porojo za kijiweni
 
Kwahiyo jela ndipo walipoiharibu akili yake
 
Hata huko Rwanda Kuna watz pia wapo wanafanya kazi huko!!hasta south Africa na nchi nyingi za Africa Hali ipo hivyo hivyo!!

Ni mambo ya kawaida Sana mbona!!

Kina prof wambadiawamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…