Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

Kwanini wakimbizi walioingia nchini kinyemela, wote waonekana kuwa na akili kubwa hakuna mapoyoyo

Hata huko Rwanda Kuna watz pia wapo wanafanya kazi huko!!hasta south Africa na nchi nyingi za Africa Hali ipo hivyo hivyo!!

Ni mambo ya kawaida Sana mbona!!

Kina prof wambadiawamba
Umenikumbusha mbali sana. RIP Prof. Wamba. Namkumbuka pia mke wake wa Kimarekani Helen
 
Back
Top Bottom