stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hii inatokea wakiwa kwenye foolish age,wakishafikisha miaka 30 akili ndio zinawakaa sawa wanaanza kujipendekeza kwa wastaarabu...Achangamkaje na wakati hata nafasi hawapewi, Wanawake wengi hawapendi wanaume wastaarabu na walio tulia huo ndo ukweli