Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polee Babu MatofaliUnaujua moyo wa mtu ukipenda lakini..ohoooooo
Kudadadeki...ulikuwa silent killer.live like better male and have an attitude of an alpha binafsi sina muonekano wa kihuni wala sio mtu wa kutembea na mademu au kuongozana basi walikuwa wananiona descent sana, tofauti ilikuwa kile tunachoongea na kufanya tukiwa wawili kilikuwa out of this world I had balls and guts niliwatia sana vidole LRB.
hii ya uji wa msibani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza play boy Ana swagger....anajua kucheza na hisia za demu,ku mpa attention....pia wanajua ku break the ice....saa wee upo upo Kama uji wa msibani hauna chumvi Wala sukari.
Acha kufatilia windo langu basi
😀😀😀Achana nae huyo bhana hana swaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we sio khadija kopa kwel?
Kaa ulinilipia ada vile...hayaa x wako namm tunahusianajethe name ur using belongs to my ex girl friend please use it wisely
Ulivyoacha wewe ukajua umeondoka nao?hivi huo uhuni wa kuvalia suruali chini ya makalio bado upo?
Achangamkaje na wakati hata nafasi hawapewi, Wanawake wengi hawapendi wanaume wastaarabu na walio tulia huo ndo ukweliWastaarabu wengine wanakuwaga wakimya(wapole mpaka wanaboa. Mwanaume hata kama ni mpole mstaarabu ila kwenye hiyo sector inatakiwa uchangamke.