mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Sijui ipoje kwakweliRafiki yangu mmoja ana upepo na mademu wauza migahawaz wasaidizi au watoto wao since tuko advance. Mpaka sasa ana mademu cafeteria, migahawa ya nje na mamantilie kibao. Huwa sielewi hii