Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?

Kwani Yesu alisemaje kuhusu hilo?

Kumbukumbu la Sheria 22:5 linasema:
“Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanaume, wala mwanaume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako.”
Hii inaonyesha wazi kuwa kuna mipaka ya mavazi kulingana na jinsia, na kuvuka mipaka hiyo ni dhambi na ni chukizo mbele za Mungu.
 
Maponga mbishi sana 😁
siyo mbishi anachosema ni kweli 100% ndyo maana ulaya ilikotoka dini ya ukristo, wazungu wamekuja gundua dini ilikuwa ni mchongo tu, population ya wakristo inazidi kuporomoka, in fact moslems wataanza kuwa ni majority huko mbele kama hawatakwamishwa
"Religious practice, such as attending church services, is generally low in Western Europe, even among those who identify as Christian"

View: https://www.tiktok.com/@cup_of_facts_/video/7499366497668681015?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Reactions: Lax
Huijui Dunia.
Zimbabwe nilishangaa Kuna wakristo wanaitwa white garments,sehemu ya kuabudu ni chini ya mti, wanaume ni kanzu Nyeupe na wanawake ni magauni meupe marefu na vitambaa vyeupe.
Wanakaa chini japo hapo pembeni wa mausafiri makali tu. Wanawake hawaongozi ibada, kweli dunia ni flat earth.
 
Attachments

  • images (9).jpeg
    11.2 KB · Views: 23
Sasa kanzu na dera vinatofautiana vipi?
 
Kanzu sio vazi la ibada, ni vazi la kiutamaduni wa Waarabu
 
Kobazi watanuna,wao ni sheria na kanuni za tamaduni kiarabu kuanzia kuvaa hadi kula,ila mioyo yao iko mbali na imani,sio unaona pwani na visiwani kunavyoongoza kwa ustable marriages na kutinduana mitaro jumlsha ugaidi na upedophile ndio utapata jibu.
Swali lina husu wakristo sio waislam tulia kwenye hoja ama kapulize gesi
 
Soma
 
Attachments

  • Screenshot_2025-08-17_100142.jpg
    234.6 KB · Views: 23
"Religious practice, such as attending church services, is generally low in Western Europe, even among those who identify as Christian"
Acheni kujifariji. "Rais wa Dunia" ameishaamua lazima Ukristo upande tena juu
 
Kumbuka "gospel" au dini ilienezwa kwa kutumia mabavu, hila na ukoloni, kitu ambacho kwa karne hii hakuna nguvu/hil yoyote inayoweza eneneza tena dini

Spreading the gospel in the 21st century presents unique challenges due to shifting cultural landscapes, increased secularization, and the pervasiveness of competing worldviews. These factors contribute to a cultural "implausibility-structure" where many individuals find Christianity less credible or relevant. Additionally, internal challenges within the church, such as a lack of discipleship and biblical literacy, can hinder effective outreach.
 
Kwa hiyo unataka wakristo wastuck back in time kama dini nyingine , Kristo hakuelekeza hayo ya kuvaa kanza maana injini ilikua kwa ajili ya matifa yote na sio Midle east pekee.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbuka "gospel" au dini ilienezwa kwa kutumia mabavu, hila na ukoloni, kitu ambacho kwa karne hii hakuna nguvu/hil yoyote inayoweza eneneza tena dini
Trump anaposema lazima aurudishe juu Ukristo sio kwamba atatumia nguvu. Never. Mambo ya kutumia nguvu yameishapitwa na wakati. Ndio sababu chatGPT inaeneza 'gospel' kwa kasi sana bila ya kutumia nguvu
 
Kwa hiyo unataka wakristo wastuck back in time kama dini nyingine , Kristo hakuelekeza hayo ya kuvaa kanza maana injini ilikua kwa ajili ya matifa yote na sio Midle east pekee.
Inaonekana umerukia kuandika comment bila ya kusoma content. Tafadhali soma tena kwa makini mada yote utagundua kuwa am not supporting wearing 'kanzus' in church 😎
 
Hakuna methodology yoyote ya kushawishi watu wa subscribe kwa dini yoyote, kwa sabbu ya utandawazi, siku hizi watu wanajua gospel kuliko theologians, kwa sababu ya utandawazi, okay tell me watatumia njia gani mpya???
 
Bado hujaelewa tu? Nimekwamba hata chaGPT inayotumiwa na mamilioni ya watu duniani, inaeneza Ukristo kwa asilimia kubwa sana bila kutumia nguvu wala kuwaambia watu directly wasubscribe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…