Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?

Bado hujaelewa tu? Nimekwamba hata chaGPT inayotumiwa na mamilioni ya watu duniani, inaeneza Ukristo kwa asilimia kubwa sana bila kutumia nguvu wala kuwaambia watu directly wasubscribe
Kuhabarisha kuhusu ukrisro kwa kutumia chatgpt ni tofauti na kumbadilisha mtu na kumbatiza awe commited Christian, walio wengi hawawezi tumia hiyo AI, na ndyo wanaohitaji gospel, wengi tulio na access ya hiyo AI bado haijaweza kutupa jipya kuhusu maajabu ya injili
 
Hiyo AI ni mfano mmoja tu niliokupa wa jinsi Ukristo unavyoenezwa kwa kasi bila kutumia nguvu. Kuna njia na mbinu nyingi zinazotumika sasa hivi kuhubiri Injili ulimwenguni.
Kama huna habari, huko Mashariki ya Kati watu hata hawahubiriwi publicly, lakini Mungu anawaotesha tu ndoto kisha wanaokoka!
 
Nimeshakuelekeza, technological advancement inapunguza waumini wa dini (inversely correlated)

AI and Declining Religious Belief:
  • Evidence suggests a link:
    Several studies, including those based on large datasets and individual-level analysis, indicate a correlation between exposure to automation technologies (like robotics and AI) and decreased religious belief and practice, even when controlling for other factors like socioeconomic status.
 
Nafikiri tunaongea vitu viwili tofauti. Mimi nimekueleza kwamba Ukristo (nikimaanisha Injili ya Yesu Kristo) unaenezwa kwa kasi bila kutumia nguvu; na wewe unaeleza jinsi waumini wanavyopungua. Hayo ni mambo mawili tofauti. Yesu alitabiri zamani sana kwamba siku za mwisho upendo wa wengi utapoa na wengine wataiacha imani. Hivyo hayo yanatimiza unabii tu kwamba hizi ni siku za mwisho, karibu Yesu atarudi.
 
Siku za.mwi

Siku za mwisho (end of time) ni illusion ya dini, ni vitisho ya kumdhibiti binadamu, hakuna mwisho wa dunia, ila kila mtu ana mwisho wake (Kifo), na hakuna afterlife
 
Una ushahidi wa hayo unayosema? Ulikufa wewe ukajua kuwa hakuna afterlife? Usikubali kudanganywa na shetani. Shetani anaamini na kutetemeka. Kifo sio mwisho wa maisha. Ndio sababu Yesu alikufa kisha akafufuka. Na bado kitambo kidogo atakuja kutunyakua na kutupeleka mbinguni. Siku hiyo, waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.
 
Back
Top Bottom