Weka andiko kijanaNimweka picha hapo huoni🤣🤣🤣hata Ndungai mbona kaenda au unatakaje? Bisha kama izo picha ni za uongo.
Wakristo hakuna andiko la kubusu ukuta wala hakuna andiko la kubusu msalabaNimweka picha hapo huoni🤣🤣🤣hata Ndungai mbona kaenda au unatakaje? Bisha kama izo picha ni za uongo.
Unaelew maana ya kukiss ? Haswa kama sehemu ni holy ?Weka andiko kijana
Jiwe linabusiwa na andiko lipo linafuta dhambi
...bin Ubaid bin Umair that a man said: "O Abu abdur-Rahman, why do I only see you touching these two corners?" He said: "I heard the Messenger of Allah say: 'Touching them erases sins.' And I head him say: 'whoever circumambulates seven times, it is like freeing a slave.'" Sunan an-Nasa'i 2919
Kijana jiwe la macca ni ibada na mnalisujudia na linamaana kulibusu Allah kaweka wazi , hao wakristo wanaobusu wanafanyia nje ya maandiko ni uamuzi wao na hauma impact kwenye ImaniUnaelew maana ya kukiss ? Haswa kama sehemu ni holy ?
Wakristo mna kiss misalaba.
Wakristo mna kiss sanamu ya yesu na maria.
Wakristo hawa viongozi wa juu Wana kiss each other .
Wakristo Wana kiss wall of Jericho in Israel.
Hapo chini mkienda tembelea hilo kanisa Kuna baadhi ya michoro ya kale mnakiss👇👇
View attachment 2482113
Mbona hushangai mtu akimkiss mama ake au mpenzi wake?
Kuna kiss la upendo.
Kiss la peace and justice.
Tafuta uhalali wa Kaaba kwanza sio unasema kukiss ndo nn? Swali lako huwezi kuelezewa hata Qur an kwa vile ni holy na inamaanisha dini ya amani na upendo tunakiss kama watu huru.
Mzee mrema hakuacha kuvaa barakashia ,, mpk anakufa nayo...Hujui maana ya kuabudu nenda darasani kajifunze kwanza ,hakuna anyejali kuhusu nyota na mwezi na wala vitu hivyo havipo katika dini bali watu wameamua kuweka tu kama identify na pambo .
Mtu akivaa saaa au kofia basi ndio anabudu hivyo ? Au akipaka ndani kwake rangi nyeupe nasi ndio anaabudu hiyo ?
Kajifunze maana ya kuabudu kabla ya kukomenti na kudhihirisha ujinga wako hapo..
Kijana jiwe la macca ni ibada na mnalisujudia na linamaana kulibusu Allah kaweka wazi , hao wakristo wanaobusu wanafanyia nje ya maandiko ni uamuzi wao na hauma impact kwenye Imani
Tofauti na jiwe litakalo hukumu siku ya mwisho
Maandiko ndio Cha muhimu, ao wanaubusu ni wamejitungia tu hakuna andiko na hakuna Cha maana utakachopata ukibusu msalaba au ukutaView attachment 2482119View attachment 2482120View attachment 2482121
Kiufupi hujui chochote 😂😂
Wenzio wanaenda Israel kwenda kukiss ule ukuta na huko ndo kweny dini yenu...pia hujui.
Endelea kuchunga Ng'ombe Masai😂😂
Niwekee andiko kama hili la ukuta ,Wenzio wanaenda Israel kwenda kukiss ule ukuta na huko ndo kweny dini yenu...pia hujui.
Hamna hilo andiko sio kaabah iyo😂😂😂punguza uongo ile ni nyumba tangu enzi za nabii suleimanMaandiko ndio Cha muhimu, ao wanaubusu ni wamejitungia tu hakuna andiko na hakuna Cha maana utakachopata ukibusu msalaba au ukuta
Ila kubusu jiwe kwa waislamu Kuna maana na ni ibada Yani ukibusu jiwe dhambi zako zote zinakuwa zimefutwa na jiwe na pia jiwe litahukumu siku ya mwisho
Andiko la waislamu kuhusu jiwe
Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allah, Allah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Narrated by al-Tirmidhi, 961; Ibn Maajah, 2944
Kwa hyo kubusu msalaba ,kumkiss pope ,kubuss bible vyote ni dhambi?Maandiko ndio Cha muhimu, ao wanaubusu ni wamejitungia tu hakuna andiko na hakuna Cha maana utakachopata ukibusu msalaba au ukuta
Ila kubusu jiwe kwa waislamu Kuna maana na ni ibada Yani ukibusu jiwe dhambi zako zote zinakuwa zimefutwa na jiwe na pia jiwe litahukumu siku ya mwisho
Andiko la waislamu kuhusu jiwe
Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allah, Allah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Narrated by al-Tirmidhi, 961; Ibn Maajah, 2944
Sio dhambi ,ila havina umuhimu wowote kwenye Imani , Yani havikusaidii chochoteKwa hyo kubusu msalaba ,kumkiss pope ,kubuss bible vyote ni dhambi?
Lile lipo tangu enzi za nabii Ibrahim.. Ni holy stone sio la muhamad limelindwa vizazi na vizazi.Sio dhambi ,ila havina umuhimu wowote kwenye Imani , Yani havikusaidii chochote
Ila jiwe la macca linafuta dhambi ukilibusu , ndio ujue ile ni ibada ya jiwe
Na Lina maandiko kabisa kwamba linafuta dhambiLile lipo tangu enzi za nabii Suleiman.. Ni holy stone sio la muhamad limelindwa vizazi na vizazi.
Lile lipo tangu enzi za nabii Suleiman.. Ni holy stone sio la muhamad limelindwa vizazi na vizazi.
😂😂Tatizo lako ushamba lipo ndio andiko ..Na Lina maandiko kabisa kwamba linafuta dhambi
Ndio maana nimekwambia kwa wakristo hakuna andiko la kubusu msalaba wala kubusu ukuta na hakuna faida utakayopata ukivibusu
Kwamba ni mojawapo ya masanamu yaliyotengenezwa ma majini kipindi Cha muislamu selemani?Lile lipo tangu enzi za nabii Suleiman..
Jiwe lina athari na linakuwa Shahid siku ya mwisho na linafyonza dhambi😂😂Tatizo lako ushamba lipo ndio andiko ..
Unachotakiwa sema upewa uhalali wa Al kaabah.
Kukiss mbona hata wapenzi wanakiss ni ishara ya amani na upendo...Haina athari kwa namna yeyote ndo maana huwezi kumkiss adui wako.
Corection kwenye ukristo hapo toa weka ukatolikibila sanamu hakuna ukirisito bila sanamu hakuna misaraba
Jiwe ni tofauti , unaua ,unabaka , ukienda akalibusu au kulipungia tu dhambi zako zinafyonzwa na jiwe na Allah anasema lilikuwa jeupe ila dhambi inazozifyonza inalifanya linakuwa jeusiKukiss mbona hata wapenzi wanakiss ni ishara ya amani na upendo...Haina athari kwa namna yeyote ndo maana huwezi kumkiss adui wako.