Alifungua ni mkristo sio muislamu leta picha tuone kama upo analazimisha kweny dini yetu wala hayupo na alishakanywa.๐๐๐wakristo Wana force tufanane kwanza hamna imam mwanamke.
Hakuna muislamu kwa hapo soma kama kingereza hujui utafsiriwe๐๐wakristo mnalazimisha mamboInside Cape Town's gay mosque
Friday prayers at the People's Mosque in Cape Town look like any other around the Islamic world, except the imam is openly gay.www.iol.co.za
Tuliza akili kijana Umar kasema jiwe halina manufaa yoyote ila analibisu kwa sababu muhammad kalibusuYeye ndo kamsikia nmekupa majibu kutokana na hadithi naona unarudi pale pale ๐๐
Kwani hadithi uliyoleta ni masimuliz ya nn si Umar?๐๐ Au umeleta kweny Qur anTuliza akili kijana Umar kasema jiwe halina manufaa yoyote ila analibisu kwa sababu muhammad kalibusu
Umar kaona jiwe halina manufaa yoyote
Na muhammad anasema jiwe lina manufaa
Yupi mkweli
1. Umar
2. Muhammad
Kama ibada ya jiwe haipo kwenye koran unaifanya ya Nini ?kwa Nini kila siku unasujudu kuelekea jiwe lilipo ? Na Kwa Nini picha Yako unaonesha ibada ya jiwe ?Leta kweny Qur an!!
Ni wapi kwenye Koran inasema mkabusu jiwe ? Na imesema Kwanini mkabusu jiwe?Au umeleta kweny Qur an
.. Na Mwenyezi Mungu amewawajibishia watu wafanye Hija katika Nyumba hiyo (Al-Kaโaba), yule awezaye kufunga safari kwenda huko. Na atakayekanusha (asiende na hali ya kuwa ana uwezo) basi Mwenyezi Mungu si muhitaji anayewahitajia walimwengu โ(3:9 7).Ni wapi kwenye Koran inasema mkabusu jiwe ? Na imesema Kwanini mkabusu jiwe?
Hakuna muislamu kwa hapo soma kama kingereza hujui utafsiriwe๐๐wakristo mnalazimisha mamboView attachment 2482500View attachment 2482501
Assume baba ako ndo anaolewa Tena kwa bible .๐๐
Jiwe ni ibada kamili ya Allah , tumemaliza.. Na Mwenyezi Mungu amewawajibishia watu wafanye Hija katika Nyumba hiyo (Al-Kaโaba), yule awezaye kufunga safari kwenda huko. Na atakayekanusha (asiende na hali ya kuwa ana uwezo) basi Mwenyezi Mungu si muhitaji anayewahitajia walimwengu โ(3:9 7).
Kijana mabano umeongeza wewe , acheni ku edit ibada ya jiwe ni lazima.. Na Mwenyezi Mungu amewawajibishia watu wafanye Hija katika Nyumba hiyo (Al-Kaโaba), yule awezaye kufunga safari kwenda huko. Na atakayekanusha (asiende na hali ya kuwa ana uwezo) basi Mwenyezi Mungu si muhitaji anayewahitajia walimwengu โ(3:9 7).
๐๐๐๐Kijana mabano umeongeza wewe , acheni ku edit ibada ya jiwe ni lazima
Kama wao walikuwa na nywele ndefu kama tujuavyo. Jee nn kipimo cha nywele ndefu? Inawezekena kipimo kilikuwa ni kiunon....na sio mabegani?Kwa nini anachorwa na nywele ndefu na bible inasema ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu? Si kumuabisha Yesu huko?
Ulipata wapi haya maneno kwamba ni mlevi naomba na mimi nione anavyolewaBrian Decon raia wa UK ambae SAsa hivi ni mlevi mbwa.
Jiwe la macca ni kiumbe hai mkiende kulibusu Lina feel kabisa na ukiligusa kwa moyo linakufutia dhambi zoteJiwe jeusi .Litaletwa siku ya kiyama (kwa) mfano wa mtu lishuhudie kwa kila aliyellishika na kulibusu katika watu wa Dunia."
Hata mikono ni kiumbe hai siku ya kiama kama ulishika vitu haramu itasema, mdogo kama ulitumia mdomo kutukana na dhambi nyingine itasema siku iyo.Jiwe la macca ni kiumbe hai mkiende kulibusu Lina feel kabisa na ukiligusa kwa moyo linakufutia dhambi zote
Najiuliza lilimvumilia vipi alkurmuti kulinyea
Ndio maana Umar alikosa heshima kusema jiwe halinufaishiHata mikono ni kiumbe hai siku ya kiama kama ulishika vitu haramu itasema, mdogo kama ulitumia mdomo kutukana na dhambi nyingine itasema siku iyo.
UnatapatapaNdio maana Umar alikosa heshima kusema jiwe halinufaishi
Kumbuka pia jiwe lile muhammad alisema ni mkono wa Allah
Sasa alkurmuti aliwezaje kunyea mkono wa Allah
Natapatapa vipi na nimethibitisha jiwe ni ibada kamili na Lina feeling's na ni kiumbe na mwisho ni mkono wa AllahUnatapatapa
Aisee!Brian Decon raia wa UK ambae SAsa hivi ni mlevi mbwa.