Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe unavyotetea ulaji nyama ndivyo hivyo hivyo watu walivyotetea utumwa, wakapigana mpaka vita kuutetea.Ulaji nyama ni sehemu ya evolution ya binadamu, ulaji nyama kwa kiwango kikubwa ulileta mabadiliko makubwa katika ubongo na mwili mzima wa binadamu ulipelekea mabadiliko makubwa zaidi, kula nyama kwa binadamu ni moro of necessity than just a choice, tafiti mbalimbali zinaonyesha watoto vegan au watu vegan hukabiliwa na changamoto mbalimbali za afya zitokanazo na ukosefu wa virutubisho.
Lakini miaka ilivyoenda, moral consciousness ya dunia imeongezeka mpaka leo unawashangaa kwa nini walitetea utumwa.
Huwezi kuelewa somo la ubaya wa kula nyama leo kwa sababu muda wa kuelewa somo hilo kwa watu wengi haujafika bado.
Wajukuu wa wajukuu wako watakushangaa ulivyokula nyama leo kama wewe unavyowashangaa watu waliotetea utumwa.