Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo...
Punguani kweli wewe, nikutajie list ya wakristo matajiri Dunia ulinganishe na hao waislam?
1. King Solomon
2.Daud
3.Ayoub
4.Elon mask
5.Billgate
6.Markzugaberg
7.Mengi
8.Lowasa.
9.King Musukuma
10.Mizengo pinda na wengine wamejaa mtaani tele ila hawatakagi show off.
 
UTAJIRI WA LOWASSA NI KIASI GANI?
UTAJIRI WA MUSUKUMA NI KIASI GANI?
JE TUNAWEZA KUPATA TAARIFA ZAO ZA KIFEDHA? KINA SULEIMAN SIO WAKRISTO NI MAYAHUDI
 
Ukizingumzia Dar matajiri wakazi wengi wa Posta, Upanga, Kariakoo, Ilala, Masaki, Oysterbay nakadhalika ni waislamu.

Na maeneo haya kwa Dar ndo upper residential area.
 
Nabii Joshua, Gwagima, Kakobe, Mwingira na wengine wengi sio matajiri? Fanya urafiti wa kutosha, wakristu ndio matajiri wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo kwenye orodha ya matajiri Tanzania na Africa? Wanafanya biashara gani au ndo hizi za kuwakamua masikini wakristo wanaopeleka sadaka kwa kuamini miujiza ya mafanikio badala ya kufanya kazi?
 
Walikimbilia Elimu ya Mzungu,the white collar job kazi za kinyonyaji na za kimasikini, low wages to ensure retainment of labour power
 
Wakristo Pesa wanapeleka kwa Wachungaji,Wachungaji wanatajirika kupitia kwenye migongo ya Waumini
 
ungezungumzia kwa situation ya Bongo hapo sawa

kwa Tz ni kweli na hao waislam ni wale wenye asili ya Kiasia tu na sababu kubwa hawa jamaa bado wana principle za kikoloni katika kutafuta mali wao wakiwa wanatafuta wanaenda sehem zenye masikini wa kutupwa na kujijengea himaya yao kwa kuwanyonya na kuwatumikisha wazawa na wakishachuma wanahamia Dar, Mwanza na Arusha kuendelea kuwatumikisha Masikini kwenye viwanda vyao kwa ujira mdogo huku nyuma ya pazia wakitoa misaada na kulisha masikini .
 
Misadaka mingi na matoleo inatufilisi, hao wengine hawanyonyani

Joke
 
swadakta
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo...
Hivi unapozungumzia tajiri mkristo unamaanisha nini? Mfano kwenye list ya matajiri 10 duniani nani kasema yeye mkristo au muislamu?

Ukija Tanzania watu matajiri wana rangi gani? Na wana historia ipi? Je, ni matajiri kwa sababu ni waislam au kwa sababu wanatoka tabaka fulani? Ukienda Afrika kusini matajiri wanatoka matabaka yapi?

Nadhani swali lingekuwa kwanini Waafrika wengi weusi si matajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…