Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wakristo pesa zao nyingi zinatokana na kuajiriwa kutokana na Elimu(kusoma SHULENI),
Waislam wengi wamejiajiri
Waislam wengi wamejiajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaMatajiri wengi waliona shule zin gewapotezea muda,wakristo wengi wanaamini zaidi katika elimu kuliko biashara.wengi wameajiriwa katika sekta rasmi kutokana na vyeti vyao
Huwezi kuwa bilionea kwa kuajiriwa
Waambie hao, wanaongea pasipo kufwatilia taarifa kwa kinaWarren Bufet
Carlos slim
John Rockerfeller
Donald Trump
Na wanahudhuria Kanisani
Hawanywi Pombe wala kuvuta sigara
Wote hawa ni wakristo
HuwEzi kufilisika kwa kutoa misaada. Tunabarikiwa kwa kusaidia wahitajiKwasababu wanatoa misaada kwa wahitaji kama ilivyo agizwa na Biblia.
Wafilipi 1:27Kwani Ukristo ni dini?
[emoji1787]Pesa wanazo ila wanawapatia makasisi wao mfano kina Malisa, mwamposa na TB Joshua kwa Nigeria n.k
BulldozerKwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.
Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.
Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.
Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.
Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.
Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?
Ni wapi wanapokosea?
Mkristo hatakiwi kuwa tajiri wa mali, anatakiwa kuwa tajiri wa rohoni.
Mimi ni muislamu lakini sikubaliani na wewe.
Mwarabu tajiri kuliko wote ni Mkiristo, jina lake anaitwa Nasseff Sawiris ni raia wa Misri. U ca google him
AminaMkristo hatakiwi kuwa tajiri wa mali, anatakiwa kuwa tajiri wa rohoni.
Tuko bize kuutafuta Ufalme wa mbinguni.Tunajitajirisha kwa Mungu zaidi.Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.
Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.
Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.
Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.
Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.
Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?
Ni wapi wanapokosea?
Akili za kimasikini hizi,nyie ndio ambao hua mnaamini kua tajiri ana Joka kubwa chumbani na ndio linalompa hela.Wakristo hawafugi majini, nasema uongo ndugu zangu?
Mkuu unafaa sana kumuuguza mgonjwa,unajua sana kufariji watu.Usemacho ni kweli .Na Tofauti ya wakristo na hao wengine ambao si wakristo ni moja Tu Nayo ni hii;
Wakristo walio wengi Wana uchumi mzuri (kipato cha Kati na cha juu)...inclusive economy..Kwa lugha niyingine,sehemu yenye wakristo wengi wanaweza wasiwe matajiri Sana lkn pia wanakuwa Wana maisha mazuri ya kupata three basic needs,food, clothes and shelter bila shida
Hao wengine ambao siyo wakristo anaweza kujitokeza mmoja au hata kumi wakawa matajiri wa kutisha lkn the rest wakawa walala Hoi wa kutupwa(masikini mbwa)..Hiyo ndy tofauti