Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Huu ni uongo wa kiwango cha SGR. Wakristo marajiri wapo wengi tu. Fanya utafititi kwa kina kwa kufwatilia matajiri kwa kina (maisha yao na imani zao).
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Kamsome Myles Munroe,alikuwa pastor,ameacha pesa kibao
 
Akili mtu wangu akili.

Wakristo wameharibiwa akili..yaani wanachezewa akili kwa kuaminishwa vitu vya uongo. Mfano wanaamini kuwa kila kitu hupangwa na Mungu.

Pili wanaamini zaidi KATIKA miujiza.

3 Hata kile kidogo wanachopata wanaenda kukigawa kanisani kama sadaka, kikumi n.k
We ni mjinga wa mwisho kabisa, yaani ni kizibo cha wanzuki
 
Nafaham wakristo wengi ambao ni matajiri kuliko alivyokuwa Mengi, hapa Tanzania. Sema wengi wao ni low-key.

Hata hivyo, wakristo wengi hawaamini juu ya utajiri kutoka kwa bwana (Hapa kanisa Katoliki limechangia kwa kiasi kikubwa kupumbaza akili za wakristo kwa usemi wa "ni vigumu tajiri kuona ufalme wa mbinguni, lakini ngamia atapenya kwenye tundu la sindano" )

Matajiri wakubwa duniani ni wayahudi (JEWS) ambao ni sehemu ya UKRISTO. Kama mkristo haamini katika JEWS wakati YESU mwenye alikuwa MYAHUDI sidhani kama atakuwa sahihi na huyo hajamjui YESU kwa kina kirefu.
 
Biblia inasema Yesu alifanyika masikini ili tuwe matajiri
Umekariri vibaya na usisome Biblia kama gazette kwamba unataka uone au usome kile unachokitaka na ukielewe kwa akili zako unavyotaka wewe.

Ulipoandikiwa kuwa utakuwa tajiri haikumaanishwa uje umiliki majumba magari na anasa za dunia hii ila ni utajiri wa nje ya sayari hii,ukiwa duniani itengeneze njia yako kwa kutoa kwa maskini na wahitaji mbalimbali ziada ya kile ulichobarikiwa,wala usipeleke kwa hao so called manabii sijui mitume au kuhani dunia ya leo hakuna anaeweza kusema hajui wapi maskini walipo,hajui wapi mayatima walipo wapi wagonjwa walipo huko kote ndo pakupata utajiri ulioandikiwa wewe kwenye Bible.
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?

Mbona mimi ni mkristo na ni tajiri!
 
Ukiwa mkristo tuu unaandamwa na michango kinyama kanisan , unaambiwa toa ndug toa ndug , unatishwa kinyama , kwamba mtolee Bwana ungali hai , alaf unaowatolea wanashindana kununua Magari , wakat huo huo unaambiwa ni vigumu tajiri kuingia kwenye ufalme wa Bwana 😊 , yaani hakuna link nzuri ya Imani ya kikristo na utajiri .... Alaf pia utajiri Una mambo mengi Sana makafara , dhuluma , utapeli , ufisadi n.k ni ngumu kuupata utajiri in a straight line , kimsimgi ni impossible ....!!! Ko Wakristo wengi wanabaki nusu nusu , hela Hana na Mbinguni hatoboi mana ni mzizi or mchawi ,mwisho wa sku unakula total loss ,
 
Usemacho ni kweli .Na Tofauti ya wakristo na hao wengine ambao si wakristo ni moja Tu Nayo ni hii;

Wakristo walio wengi Wana uchumi mzuri (kipato cha Kati na cha juu)...inclusive economy..Kwa lugha niyingine,sehemu yenye wakristo wengi wanaweza easier matajiri Sana lkn pia wanakuwa Wana maisha mazuri ya kupata three basic needs,food, clothes and shelter bila shida

Hao wengine ambao siyo wakristo anaweza kujitokeza mmoja au hata kumi wakawa matajiri wa kutisha lkn the rest wakawa walala Hoi wa kutupwa(masikini mbwa)..Hiyo ndy tofauti
Kinachoongelewa hapa ni Utajiri na sio kuweza kukidhi mahitaji yako ya kila siku elewa somo
 
Tatizo viongozi wakrsto wakinngia madarakani hawaibi kama wenzao waislam

Viongozi waislam huwa wanakomba kweli kweli na wakikomba huwekeza kwa wahindi na waarabu na wasomali na wamatumbi wachache

Ukiangalia kina bakhresa,dewj na wengine walibebwa na mwinyi akiwa rais

Awamu ya nne ivyo ivyo,na kuendelea
 
kwamba matajiri wakubwa ni waislam,wayahudi,wahindu na wabudha wakristo awamo!,kweli inafikirisha sana.
Wala isikufikirishe bro,ukifikia kuitwa tajiri jua wewe na pepo (kama unaamini ktk Mungu bila kujali dini yako)ni mbalimbali

Yatafakari maisha hivi;usiku wa leo dinner utayokula may be ni ya 100K bank account yako mpaka muda huu inasoma 5bil halafu yupo jirani yako analalia maji wote usiku huu mkafa unadhani ugeni wako utafikia wapi?5bil zitakusaidia nini?Mungu anampa mtu utajiri au kipato (maana tusije kusema siwezi kusaidia mtu kwa sababu bado sijawa tajiri) ili kupitia yeye awape wenzake na hii ni ili ku-balance dunia iende vizuri ila wengi walopewa nafasi hizi wamepora kile ilibidi wawape wanadamu wenzao wakaenda kujengea maghorofa,kula anasa au kuzijaza kwenye accounts.

Binafsi mimi bado ni maskini ila najitahidi sana ku-balance hili,kama unapata mahitaji yako muhimu unakula milo mitatu kwa uhakika watoto wanaenda shule familia inafurahia maisha una pakulaza ubavu the rest ni kujichosha tu haya mambo ya kukusanya hela anakufata mtu hotelini wewe unakula wali samaki wa kuoka wa 12K anakuomba umnunulie wali maharage wa 2K unasema huna hela hayafai hata kidogo.

In short hapo ulipo kama mfukoni una hela na mahitaji yako ya siku umeyamaliza vizuri hiyo change iliyobaki siyo yako kuna mtu ilitakiwa ukampe maana dk mbili zinazokuja mbele hujui utakuwa ktk hali na haitakusaidia chochote.
 
Usemacho ni kweli .Na Tofauti ya wakristo na hao wengine ambao si wakristo ni moja Tu Nayo ni hii;

Wakristo walio wengi Wana uchumi mzuri (kipato cha Kati na cha juu)...inclusive economy..Kwa lugha niyingine,sehemu yenye wakristo wengi wanaweza easier matajiri Sana lkn pia wanakuwa Wana maisha mazuri ya kupata three basic needs,food, clothes and shelter bila shida

Hao wengine ambao siyo wakristo anaweza kujitokeza mmoja au hata kumi wakawa matajiri wa kutisha lkn the rest wakawa walala Hoi wa kutupwa(masikini mbwa)..Hiyo ndy tofauti
Hapa ndio akili zenu zilipoishia, sishangai kesi ya daimond kufyatua video kanisani mkamlaumu yeye na kuwaacha waliomruhusu
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Mtu unahubiriwa masuala ya ngamia na tundu la Sindano, sasa unategemea nini?
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Rockefeller, Sullivan, Ufalme wa UK, Trump,
 
Back
Top Bottom