Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

Hapa ndio akili zenu zilipoishia, sishangai kesi ya daimond kufyatua video kanisani mkamlaumu yeye na kuwaacha waliomruhusu
Hoja upingwa Kwa Hoja.Hapa umeleta kioja badala ya hoja

Wapi nimetajwa diamond na kanisa Hadi uniquote hivyo?
 
Warren Bufet
Carlos slim
John Rockerfeller
Donald Trump
Na wanahudhuria Kanisani

Hawanywi Pombe wala kuvuta sigara
Wote hawa ni wakristo
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Tajiri hata urithi ufalme wa mbinguni.
 
Kwasababu hawafugi Majini na hawafanyi Makafara, ila Wamebarikiwa Utajiri mkubwa wa Akili ( Fikra ) Mwenyezi Mungu ndiyo maana 98% ya Waislamu wengi Wamesoma katika Shule, Taasisi na Vyuo Vikuu vya Wakristo hasa wa Roman Catholic.
 
Kuwa masikini si jambo zuri, na kuwa tajiri ni majaliwa ya mungu, kwahiyo jitahidi upate chakula yako ya siku,
Utajiri anatoa mungu
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Mimi ni muislamu lakini sikubaliani na wewe.

Mwarabu tajiri kuliko wote ni Mkiristo, jina lake anaitwa Nasseff Sawiris ni raia wa Misri. U ca google him
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Kwani Ukristo ni dini?
 
Wala isikufikirishe bro,ukifikia kuitwa tajiri jua wewe na pepo (kama unaamini ktk Mungu bila kujali dini yako)ni mbalimbali

Yatafakari maisha hivi;usiku wa leo dinner utayokula may be ni ya 100K bank account yako mpaka muda huu inasoma 5bil halafu yupo jirani yako analalia maji wote usiku huu mkafa unadhani ugeni wako utafikia wapi?5bil zitakusaidia nini?Mungu anampa mtu utajiri au kipato (maana tusije kusema siwezi kusaidia mtu kwa sababu bado sijawa tajiri) ili kupitia yeye awape wenzake na hii ni ili ku-balance dunia iende vizuri ila wengi walopewa nafasi hizi wamepora kile ilibidi wawape wanadamu wenzao wakaenda kujengea maghorofa,kula anasa au kuzijaza kwenye accounts.

Binafsi mimi bado ni maskini ila najitahidi sana ku-balance hili,kama unapata mahitaji yako muhimu unakula milo mitatu kwa uhakika watoto wanaenda shule familia inafurahia maisha una pakulaza ubavu the rest ni kujichosha tu haya mambo ya kukusanya hela anakufata mtu hotelini wewe unakula wali samaki wa kuoka wa 12K anakuomba umnunulie wali maharage wa 2K unasema huna hela hayafai hata kidogo.

In short hapo ulipo kama mfukoni una hela na mahitaji yako ya siku umeyamaliza vizuri hiyo change iliyobaki siyo yako kuna mtu ilitakiwa ukampe maana dk mbili zinazokuja mbele hujui utakuwa ktk hali na haitakusaidia chochote.
Usitishe watu. Unaweza kua Tajiri na bado mbinguni ukatoboa na unaweza kua masikini na mbinguni usitoboe. Kua Masikini au Tajiri sio kigezo cha kukutobolesha Mbinguni. Tena masikini ana nafasi finyu ya kutoboa kwa Mungu. Akiri ya masikini walio wengi ni Chuki, Nyongo, Fitina, Uongo, roho mbaya, uchawi na roho ya kisirani.
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?

Wakristo hatufeki life
 
1) waislam wengi hawasomi sana,huanza biashara udogoni hivyo kupata muda wa kutosha wa kutajirika

2)Ni rahisi muislam kwenda kwa mganga kubusti biashara na kuweka kings kuliko mkristo. sio kuwa wakristo hawaendi,wamezidiwa.

3)uhusiano wa waislam na Asia ni mkubwa kuliko wakristo na wazungu hivyo kuwa rahisi kwa waislam kupata mtaji
4) Biashara inahitaji ubahili na kutoa toa hela , waislam kipengele hicho wako vizuri kuliko wakristo.
 
Usitishe watu. Unaweza kua Tajiri na bado mbinguni ukatoboa na unaweza kua masikini na mbinguni usitoboe. Kua Masikini au Tajiri sio kigezo cha kukutobolesha Mbinguni. Tena masikini ana nafasi finyu ya kutoboa kwa Mungu. Akiri ya masikini walio wengi ni Chuki, Nyongo, Fitina, Uongo, roho mbaya, uchawi na roho ya kisirani.
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 kweli kabisaaaa
 
History inabeba haya mambo, hivi ulishawahi kuona Mangi ana butcher? mzaramo ana duka? Wachaga wataendelea kufungua maduka, wagogo kuuza nyama na wazaramo kucheza ngoma na kuendelea... Jamii ya kiislamu biashara ni sehemu ya maisha yao enzi na enzi na hasa jamii za Kiarabu, wahindi wana tabia ya kuendeleza walichofanya wazee elimu haijawahi kuwa muhimu sana wanatumia elimu kuongeza chachu kwenye biashara zao ndio wakati wakristo toka enzi elimu na vyeti muhimu kwa Babu alikuwa mwaajiriwa, Baba na Mama mtoto anakuwa anajuwa ndio njia na yeye anataka kuajiriwa inakuwa ndio mafanikio kwenye familia ila wa Asia wao mafanikio ni kuwa na biashara yako tunaigana kizazi na kizazi. Japo hili sio 100% lakini liko hata katika jamii zetu. Kukuta mchaga kaajiriwa unaona sio kawaida, Mgogo kufungua butcher kwao mafanikio, msukuma shamba kubwa mafanikio, Masai mifugo mingi mafanikio, Mhaya kuwa na degree mafanikio, Mkurya kuwa jeshini.... na wengi tu kuna mnyororo fulani katika jamii zetu tunaona ni mafanikio. Wengine kukuza biashara za family kubeba jina ndio mafanikio na ndio tunayaona mitaani. Ila wako wachache wamechukuwa njia tofauti kidogo.
 
Kwani Ukristo ni dini?
Nini kitampelekea mwanadamu kuiona pepo?

Ni kwasababu ya dini yake, au matendo yake?

Tutahesabiwa vipi na mwenyezi MUNGU kuwa ni wenye haki, ni kuishi kwa unyenyekevu, au kuwa upande wa Dini unayoiona ni ya haki?

Majibu tafadhali, kwa faida ya wengi .
 
Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo.

Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana.

Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa ametajirikia hukohukp kwenye dini na sio kwa kufanya biashara, mfano T. D. Jakes, Odeyempo, nk.

Kwa bongo tajiri Mkristo aliyekuwa mfanyabiashara ni Mengi peke yake.

Ukipenda kwa matajiri wote utakuta ni Waislam, Wahindu, Islailiya na dini nyingine.

Kitu Gani kinachosababisha Wakristo wasiwe matajiri wakubwa?

Ni wapi wanapokosea?
Kwasababu wanatoa misaada kwa wahitaji kama ilivyo agizwa na Biblia.
 
Back
Top Bottom