Kwanini Wakristo tunashinikiza kufunga macho tunapoomba wakati siyo takwa?

Kwani weye usipofumba macho watakuchapa?Malalamiko mengine aisee!
 
Tunaposikiliza neno takatifu vp?
Tunapoimba vipi?
Tunapobatizwa vipi?

Sembuse tunapoomba
Fanya kile unachokiamini mkuu.
Nimeshasema kufumba macho si lazima ila kama ukitaka ku concentrate ukiwa unamuabudu Mungu basi fumba macho. Mimi hata nikiimba nafumba macho mara nyingi.
Pia tofautisha maombi na mafundisho/mahubiri. Huwezi kufumba macho wakati wa kujifunza neno.
Mwisho wa siku shikilia kile unachokiamini bila kuwakwaza wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…