Hongera, mkuu, naona dini yenu haina masharti mengiKitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa:
Kwanza ni muhimu kukumbuka kwamba, Yesu Kristo alipokuja duniani, Mungu hakuendelea kukaa katika hekalu lililotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. Yesu Kristo alizaliwa na kuishi pamoja nasi. Yesu ni Emmanueli, yaani Mungu pamoja nasi (Mathayo 1:23). Hii inamaanisha kwamba hatuhitaji kugeukia upande fulani ili kumfikia Mungu, maana Mungu yupo nasi kila mahali na upande wowote.
Na sisi wenyewe sasa ni Hekalu la Mungu. Biblia inasema: “Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu?” (1 Wakorintho 6:19). Hivyo Hekalu haliko tena Yerusalemu peke yake. Popote alipo Mkristo, ndipo hekalu la Mungu lilipo. Kwa sababu hiyo hatufungwi kusali kwa kuelekea upande fulani.
Katika mahubiri yake, Yesu alimwambia mwanamke Msamaria:
“Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.” (Yohana 4:23).
Hapo tunaona Yesu akionyesha kuwa ibada na sala hazifungwi tena na uelekeo wa mahali hekalu lilipo. Tunachotakiwa tu ni kusali kwa roho na kweli, mahali popote.
Yesu mwenyewe aliomba bila kuelekea upande maalum. Yesu aliomba jangwani, mlimani, katika bustani, na msalabani, bila kuashiria mwelekeo maalum.
Hicho ni kielelezo kwamba sala ni mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu. Mungu yupo kila mahali na katika kona zote za dunia.
Paulo na Sila waliomba wakiwa gerezani, na milango ya gereza ikafunguka (Matendo 16:25–26). Wakati wanaomba, hawakugeukia Yerusalemu.
Labda unajiuliza tena: kwanini basi Sulemani aliomba huku akielekea Yerusalemu? Huyo alikuwa anafuata maagizo ya kipindi ambacho hekalu lilikuwa ishara ya uwepo wa Mungu. Lakini kama tulivyoona, baada ya kuja kwa Yesu Kristo, ufunuo ulitimia: Mungu yupo pamoja nasi kila mahali, na sisi wenyewe tumekuwa hekalu lake. Hivyo Wakristo tunaposali, hatuna haja ya kuhangaika kujua Yerusalemu iko wapi. Tunaomba kwa kuelekea upande wowote, na Mungu anasikia na kutupatia haja zetu (Mathayo 7:7).
Asante mkuu. Kwenye title umeandika neno "Qibla" ni lugha gani hiyo?Ubarikiwe sana kama umetambua ukweli huo
Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa:
Kwanza ni muhimu kukumbuka kwamba, Yesu Kristo alipokuja duniani, Mungu hakuendelea kukaa katika hekalu lililotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. Yesu Kristo alizaliwa na kuishi pamoja nasi. Yesu ni Emmanueli, yaani Mungu pamoja nasi (Mathayo 1:23). Hii inamaanisha kwamba hatuhitaji kugeukia upande fulani ili kumfikia Mungu, maana Mungu yupo nasi kila mahali na upande wowote.
Na sisi wenyewe sasa ni Hekalu la Mungu. Biblia inasema: “Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu?” (1 Wakorintho 6:19). Hivyo Hekalu haliko tena Yerusalemu peke yake. Popote alipo Mkristo, ndipo hekalu la Mungu lilipo. Kwa sababu hiyo hatufungwi kusali kwa kuelekea upande fulani.
Katika mahubiri yake, Yesu alimwambia mwanamke Msamaria:
“Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.” (Yohana 4:23).
Hapo tunaona Yesu akionyesha kuwa ibada na sala hazifungwi tena na uelekeo wa mahali hekalu lilipo. Tunachotakiwa tu ni kusali kwa roho na kweli, mahali popote.
Yesu mwenyewe aliomba bila kuelekea upande maalum. Yesu aliomba jangwani, mlimani, katika bustani, na msalabani, bila kuashiria mwelekeo maalum.
Hicho ni kielelezo kwamba sala ni mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu. Mungu yupo kila mahali na katika kona zote za dunia.
Paulo na Sila waliomba wakiwa gerezani, na milango ya gereza ikafunguka (Matendo 16:25–26). Wakati wanaomba, hawakugeukia Yerusalemu.
Labda unajiuliza tena: kwanini basi Sulemani aliomba huku akielekea Yerusalemu? Huyo alikuwa anafuata maagizo ya kipindi ambacho hekalu lilikuwa ishara ya uwepo wa Mungu. Lakini kama tulivyoona, baada ya kuja kwa Yesu Kristo, ufunuo ulitimia: Mungu yupo pamoja nasi kila mahali, na sisi wenyewe tumekuwa hekalu lake. Hivyo Wakristo tunaposali, hatuna haja ya kuhangaika kujua Yerusalemu iko wapi. Tunaomba kwa kuelekea upande wowote, na Mungu anasikia na kutupatia haja zetu (Mathayo 7:7).
Kwanini wakristo wa afrika hamna maendeleo ya viwanda kama walivyo wakristu wa Amerika na Ulaya ?Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa:
Kwanza ni muhimu kukumbuka kwamba, Yesu Kristo alipokuja duniani, Mungu hakuendelea kukaa katika hekalu lililotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. Yesu Kristo alizaliwa na kuishi pamoja nasi. Yesu ni Emmanueli, yaani Mungu pamoja nasi (Mathayo 1:23). Hii inamaanisha kwamba hatuhitaji kugeukia upande fulani ili kumfikia Mungu, maana Mungu yupo nasi kila mahali na upande wowote.
Na sisi wenyewe sasa ni Hekalu la Mungu. Biblia inasema: “Je, hamjui kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu?” (1 Wakorintho 6:19). Hivyo Hekalu haliko tena Yerusalemu peke yake. Popote alipo Mkristo, ndipo hekalu la Mungu lilipo. Kwa sababu hiyo hatufungwi kusali kwa kuelekea upande fulani.
Katika mahubiri yake, Yesu alimwambia mwanamke Msamaria:
“Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.” (Yohana 4:23).
Hapo tunaona Yesu akionyesha kuwa ibada na sala hazifungwi tena na uelekeo wa mahali hekalu lilipo. Tunachotakiwa tu ni kusali kwa roho na kweli, mahali popote.
Yesu mwenyewe aliomba bila kuelekea upande maalum. Yesu aliomba jangwani, mlimani, katika bustani, na msalabani, bila kuashiria mwelekeo maalum.
Hicho ni kielelezo kwamba sala ni mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu. Mungu yupo kila mahali na katika kona zote za dunia.
Paulo na Sila waliomba wakiwa gerezani, na milango ya gereza ikafunguka (Matendo 16:25–26). Wakati wanaomba, hawakugeukia Yerusalemu.
Labda unajiuliza tena: kwanini basi Sulemani aliomba huku akielekea Yerusalemu? Huyo alikuwa anafuata maagizo ya kipindi ambacho hekalu lilikuwa ishara ya uwepo wa Mungu. Lakini kama tulivyoona, baada ya kuja kwa Yesu Kristo, ufunuo ulitimia: Mungu yupo pamoja nasi kila mahali, na sisi wenyewe tumekuwa hekalu lake. Hivyo Wakristo tunaposali, hatuna haja ya kuhangaika kujua Yerusalemu iko wapi. Tunaomba kwa kuelekea upande wowote, na Mungu anasikia na kutupatia haja zetu (Mathayo 7:7).
Kwahiyo Allah ukigeukia upande mwingine network haisomi?
Sulemani aliomba huku akielekea Yerusalemu kwa kufuata agizo la Kum 12:5 kwamba mahali atakapochagua BWANA Mungu, apaweke jina lake, ni makao yake, hivyo waelekeze nyuso zao hapo. Yerusalemu ilichaguliwa iwe makao ya Mungu. Ndio sababu Sulemani alijenga hekalu la Mungu Yerusalemu. Kumbuka pia Danieli alipoomba katika chumba kile, madirisha ya chumba yalikuwa yamefunguliwa kuelekea Yerusalemu.Suleiman hakuwa Mkristo na wala hakuelekezwa na yeyote aelekee Yerusalem..
AminaQibra cha Wakristo kiko ndani ya mioyo yao! Maana wao ni Hekalu la Mungu na Roho wa Mungu yuko ndani yao,
(Yohana14:24)
(1Wakorintho3:16-17)
Kinachotakiwa ni Kulishika Neno la Mungu.
Kwa hiyo Wakristo hawahitaji kuelekeza Uso wao kokote kule!
Wanachofanya kwa sasa ni kumwabudu Mungu,wanapaswa kufahamu Mungu ni Roho,hivyo wanapaswa kumwabudu katika roho na Kweli.
(Yohana4:23-24)
Wanaosali kwa kuelekeza nyuso zao katika Hekalu la Yerusalem ambalo Shetani alilibomoa na Kujenga Msikiti wake,Msikiti wa Al aqisa,ni Wayahudi.
Siyo muda mrefu utabomolewa kupisha ujenzi wa Hekalu la Tatu.
Hebu jaribu kuwaza: Umetupwa katika msitu mnene usioujua, usiku wa manane na wenye giza totoro. Unasikia milio ya simba wakali. Unataka kumuomba Mungu akuokoe na hao simba lakini hujui Qibla, utafanyaje ili maombi yako ayasikie?Humpati na maombi yako hayafiki. Hayasikii.
Huwezi kuwa na hakika kwa vitu vya kusadikikaImani maana yake ni hii:
Ni kuwa na hakika ya mambo tunayotumainia; ni kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona. (Waebrania 11:1-3)
Ni vya kusadikika kwako usiyeamini.Huwezi kuwa na hakika kwa vitu vya kusadikika
Ni vya kusadikika kwako usiyeamini.
Mimi nakemea majambazi kwa Jina la Yesu, yanakimbia, wewe unasema ni vya kusadikika?!
Nakemea magonjwa napona, wewe unasema ni vya kusadikika?!Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma! Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua...www.jamiiforums.com
Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk. Muda hautoshi kuyaeleza kwa kina. Kwa haraka haraka naweza kusema tangu ujana wangu nimeugua zaidi ya...www.jamiiforums.com
Kwa Jina la Yesu, ashindwe huyo mbwa koko shetani aliyezipofusha fikra zako hata usiione nuru ya Injili
2 Kor 4:3-4
Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea; ambao ndani yao mungu wa dunia hii[shetani] amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.